Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Nina Imani unajifariji , hebu Kama una kiburi icho tumia mwana jf mmoja alfu Tano tu ya vocha kwanza buku moja tu ili nipime unachoongea Kama sio hisia tuTafuta hela za kutosha hicho ulicho andika hapo ni pesa ndogo sana ya kutoa mtu mmoja tu.
Sio dar yote, siku moja nikupe kadi uingie harusi zetu watu wa kkoo ujionee watu wanavyopeana kampani..!!Mambo ya Dar es Salaam haya mtu hana watu inabidi awakodi tu.
Sasa hiyo harusi au tamasha la fiesta?Wewe huna watu ukiona hivyo, kamati sisi tunakuwa hata 200 na kiwango cha kuanzia laki moja, na km huyo mtu mwanao sana unaweza kuchangia zaidi ya laki..!!
Ukiachana na kamati kuna zile kadi za single na doublΓ© unaweza kupata hata watu 300.
Kamati ndio inabeba sherehe kuanzia ukumbi, mapambo, Mc, vyakula, vinywaji, usafiri, cake, mziki na hao maids ambao wanajumuishwa kwenye kamati ya burudani..!!
Bwana harusi atagharamia nguo zake na mkewe, saloon ya kumpamba bi harusi inaingizwa kwenye kamati ya mapambo..!!
Pesa za kamati zote zikishakamilika pesa inayobaki inakuwa zawadi kwa maharusi, ndio zile zawadi mnazoziona kamati inakabidhi.
Dah kweli kikubwa tu ndoa na harusi bajeti isipite milioni kiongozi.Hapa sasa ndio wahuni wa sogea tuishi tunapata nguvu maana ukishapewa mimba ukazaa mmoja ata kwenye meza ya ku-negotiate nakuwa na power maana ukileta tu mauza uza nakwambia fresh hamna noma tuishi tuHotels zina package za kupiga picha pekee
Zipo..
Wewe uchange au usichange sisi lazima tufanye sherehe kubwa za kibabeUsitusumbue michango sasa.
Kwa harusi nilizoona ni hasara tu, hao watu 300 sijui 200 wa kutoa laki ni changamoto.Wewe huna watu ukiona hivyo, kamati sisi tunakuwa hata 200 na kiwango cha kuanzia laki moja, na km huyo mtu mwanao sana unaweza kuchangia zaidi ya laki..!!
Ukiachana na kamati kuna zile kadi za single na doublΓ© unaweza kupata hata watu 300.
Kamati ndio inabeba sherehe kuanzia ukumbi, mapambo, Mc, vyakula, vinywaji, usafiri, cake, mziki na hao maids ambao wanajumuishwa kwenye kamati ya burudani..!!
Bwana harusi atagharamia nguo zake na mkewe, saloon ya kumpamba bi harusi inaingizwa kwenye kamati ya mapambo..!!
Pesa za kamati zote zikishakamilika pesa inayobaki inakuwa zawadi kwa maharusi, ndio zile zawadi mnazoziona kamati inakabidhi.
Mkuu nasisitiza ukiwa na cash flow ya uhakika hauwezi kuthubutu kuwa na mawazo kama yako, tuendelee kumuomba Mungu atufungulie milango ya pesaishu si pesa mjuba, pesa zina matumizi ya kuleta maendeleo na si kufuja tu kwa shughuli zisizokuwa na maana kama anasa na starehe. Mambo ya karamu na sherehe za harusi mtu ajibebe mwenyewe asisumbue watu wamchangie ni aibu
Na ni mshahara wa mtu kwa miezi 5 na wengine miezi 10 na wengine mwaka mzima, kwahiyo kila mtu atafanya jambo kulingana na nafasi yake usitake watu walingane na hata ukitaka hawatalingana wewe fanya kwa nafasi yako kama ni mshahara wako wa wiki hiyo ni yako.Milion 5 ni mshahara wa mtu kwa week, aiseee tupambane tupate pesa.
pesa ninazo, kama nina pesa kuna haja gani ya kuchangiwa nifanye sherehe ya harusi kwa mifuko ya watu? Najibeba mwenyewe kwa gharama zangu, nyie ni kuwaalika tu mje mfurahie nami, tule, tunywe pamoja, hivyo ndivyo inavyotakiwa na sio kuomba michangoTafuta pesa mkuu, maisha ni kufurahia na wenzako
Hiyo sasa ndio harusi baada ya ndoa..!!Sasa hiyo harusi au tamasha la fiesta?
Haya mambo ni mahesabu, tatizo unakuta sherehe za wengine hamchangii hadi ikifika za kwenu mnaona aibu kuomba michango. You will never survive in isolation.Kwa harusi nilizoona ni hasara tu, hao watu 300 sijui 200 wa kutoa laki ni changamoto.
Nimeshiriki harusi kadhaa aloo michango inasuasua hadi sio poa, unaniacha mdomo wazi kwa hizo hesabu za mamilioni.
Kama ni hivyo basi kufanya harusi ni njia ya kua tajiri.
Mfano niki oa, Mimi watu hawato zidi 50, na hakuna kuchanga hata 100 mbovu.Kwa harusi nilizoona ni hasara tu, hao watu 300 sijui 200 wa kutoa laki ni changamoto.
Nimeshiriki harusi kadhaa aloo michango inasuasua hadi sio poa, unaniacha mdomo wazi kwa hizo hesabu za mamilioni.
Kama ni hivyo basi kufanya harusi ni njia ya kua tajiri.
Unafikiri watu wote wanachanga kwa sababu hauna uwezo, watu wanakuchangia kukupa support na kuimarisha solidarity.pesa ninazo, kama nina pesa kuna haja gani ya kuchangiwa nifanye sherehe ya harusi kwa mifuko ya watu? Najibeba mwenyewe kwa gharama zangu, nyie ni kuwaalika tu mje mfurahie nami, tule, tunywe pamoja, hivyo ndivyo inavyotakiwa na sio kuomba michango
Hayo ndio maneno ya kiumeNa ni mshahara wa mtu kwa miezi 5 na wengine miezi 10 na wengine mwaka mzima, kwahiyo kila mtu atafanya jambo kulingana na nafasi yake usitake watu walingane na hata ukitaka hawatalingana wewe fanya kwa nafasi yako kama ni mshahara wako wa wiki hiyo ni yako.
Mimi watu 50 wata tosha, sitaki mchango Wala mchongo wa mtu.Hiyo sasa ndio harusi baada ya ndoa..!!
Lazima waungwana tule tucheze na tufurahi watu kwenda kuanzisha migogoro ya kujitakia..!!
Halafu nyingi za hivi huwa hazidumu πΉπΉπ€£
Mi sina mpango wa kufanya sherehe hivyo nachanga au kutochanga kutegemea na mood na ukaribu wangu na huyo mtu.Haya mambo ni mahesabu, tatizo unakuta sherehe za wengine hamchangii hadi ikifika za kwenu mnaona aibu kuomba michango. You will never survive in isolation.
Ndivyo ilivyo, michango inaanza kuchangwa hata miezi 5 nyuma, uanze kuzunguka na kusumbua watu wakuchangie.Mfano niki oa, Mimi watu hawato zidi 50, na hakuna kuchanga hata 100 mbovu.
just a simple and chilling wedding, maana niki sema iwe ya wengi ukoo wetu wata fanya nipoteze mda na kukonda.
Tukio la siku 1 wata lifanya miezi 3-6 hukoo.
Hao watu itakuwa na wao hawakuwa watoaji ndiomana michango ilisua sua..!!Kwa harusi nilizoona ni hasara tu, hao watu 300 sijui 200 wa kutoa laki ni changamoto.
Nimeshiriki harusi kadhaa aloo michango inasuasua hadi sio poa, unaniacha mdomo wazi kwa hizo hesabu za mamilioni.
Kama ni hivyo basi kufanya harusi ni njia ya kua tajiri.
Wenzako wanakwenda kutoa zawadi bila kuchangia chochote unakuta analeta zawadi ya mamilioni. Sasa ndugu yangu kama kimchango cha lak moja kinakuumiza kichwa, utakuwa na moyo wa kuleta hiyo zawadii ya uhakika kweli ?Sisi wahudhuriaji wa harusi na sherehe yake tunachopaswa kuja nacho ni zawadi tu, nayo siyo lazima. Ni kuja kula na kunywa tufurahie harusi ila si kuchanga michango.