Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Wenzako wanakwenda kutoa zawadi bila kuchangia chochote unakuta analeta zawadi ya mamilioni. Sasa ndugu yangu kama kimchango cha lak moja kinakuumiza kichwa, utakuwa na moyo wa kuleta hiyo zawadii ya uhakika kweli ?
naangalia ni zawadi ya gharama gani kulingana na hali ya uchumi wa bwana harusi na bibi harusi wake. Sasa kama wanafanya harusi ya mamilioni ya pesa kuna haja gani ya kuwapa zawadi chini ya hapo?
 
Unafikiri watu wote wanachanga kwa sababu hauna uwezo, watu wanakuchangia kukupa support na kuimarisha solidarity.
solidarity ya namna hii ina impact hasi, labda uchagishe matajiri wenzako mfanye solidarity yenu kwa kuwa mnafanana
 
Ndoa na harusi ni gharama man.Waislam wako vizuri wanafanya maisha kuwa mepesi(ni bajeti yako ya mchele na wale madogo janja wa kaswida na madufu umemaliza kazi)

Njoo sasa upande wa pili utajuta man
Kote hakuna ulazima wa kufanya hayo,ila asili ya tukio lenyewe ndio linafanya hata hawa waislam waliokuwa hawafanyi nao kuanza kufanya.

Hapo unapoanza kuhalalisha mchele,mbuzi na dufu ndio mwanzo wa safari hiyo ya gharama isiyo na kikomo kutegemea tu uwezo wa maharusi.
 
Ujue suluhu ya yote haya ni sogea tuishi tu japo watu hawajasanuka.Binafsi ni msomaji wa biblia ila nikiangalia wengi walio ishi maisha ya mke na mume hakuna mbwembwe zozote zile walifanya kama tunavyofanya sahivi(Nadhani kwa Isaac na kile kitabu cha Tobit ndio inaoneka walifanya sherehe za hatari)
 
naangalia ni zawadi ya gharama gani kulingana na hali ya uchumi wa bwana harusi na bibi harusi wake. Sasa kama wanafanya harusi ya mamilioni ya pesa kuna haja gani ya kuwapa zawadi chini ya hapo?
Wewe kwa sasa una uwezo wa kumpa mtu zawadi ya milion 100 bila kuathirika kiuchumi ?
 
Huo umoja na mshikamano unaoshadidiwa kwenye michango ya harusi ulenge wenye kufanana mizania ya uchumi na usi ombe uchangiwe mchango ambao ni mshahara mzima wa mtu kwa mwezi! Kuna harusi ukichangia mchango wako wala hauna thamani ni sawa na haujachangia kitu
 
Wakati huo hawakununua hata vocha, na wewe unaonaje ukiachana na matumizi ya simu ili uweze kufanana na hao jamaa wa Agano la Kale ?
 
Sahihi kabisa.
 
Nina Imani unajifariji , hebu Kama una kiburi icho tumia mwana jf mmoja alfu Tano tu ya vocha kwanza buku moja tu ili nipime unachoongea Kama sio hisia tu
Kama MO hatoi pesa yake kizembe zembe hivyo, wewe kwa nini unahisi jamaa ampe mtu pesa bila sababu ya msingi ?
 
Wakati huo hawakununua hata vocha, na wewe unaonaje ukiachana na matumizi ya simu ili uweze kufanana na hao jamaa wa Agano la Kale ?
Wakati huo hawakununua hata vocha, na wewe unaonaje ukiachana na matumizi ya simu ili uweze kufanana na hao jamaa wa Agano la Kale ?
Kiongozi mimi sina tatizo lolote.Ukitaka kutumia mamilioni kwenye harusi au pro wa hizo mambo(binafsi sina tatizo).Sema tatizo langu ni pale mnapoanza vilio na vile vingreza vyenu vya why this,why that?(hapa ndipo huwa nafurahi maana tunawasanua mapema tu)
 
Waungwana wana roho za kukunja ndio maana wanakosa pesa za kuchangia.
 
Hao wenye viingereza ni hao uliokutana nao, usi generalize mkuu.
 
Pambana na life lako mkuu acha kuchagulia watu namna ya kuishi. Kila Binadamu ana namna yake ya kutengeneza furaha yake.
 
Hao wenye viingereza ni hao uliokutana nao, usi generalize mkuu.
Hamna wengi wanaopenda ndoa na harusi za gharama kubwa vingreza huwa havikauki mdomoni sema huwa wanawapata wenza wanawapiga matukio hatari mpaka unasema hivi huyu mwanamke mbona hana huruma kwa mwenzake(amesahau kabisa bwana wake aliunguza milioni mia kwenye event yao).

Sema maisha haya Mungu amfanyie kila mtu wepesi apate kile kilicho bora kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…