Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Sijaona chakula hapoAisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Huyu ana akili sana, huwezi kupoteza 30m kwa ujinga wa siku moja. Walau kanunua kiwanja, tena Kulangwa ni sehemu moja nzuri sana, pale Half London sio poa hata kidogo...Kuna mwamba ndugu zake walitaka kumfanyia harusi hizo. Bajeti ilikuwa 30m+,mhuni akaongea na mweka hazina akachukua 15m akanunua kiwanja goba kulangwa then akampooza mhazini 3m..ulikuwa mtiti mrefu wa kifamilia.ila mwamba akafanya harusi moja Kali sana. Alifanyia kwenye garden ya mjomba wake huko kijichi..no mapambo no MC Wala nini..mwendo wa misodi mingi na bia tu
Basi kwenye harusi yako, utakuwa na Ndugu zako pekee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Mi ndoa yangu nimeplan isizidi 5M na mahari hukohuko ndani, hamna ukumbi, pombe wala mziki, na sitaki mchango wa mtu wala mimi sichangii harusi ya mtu.
Hiyo budget uliyoandika hapo pesa nyingi utakuta ni za kuomba michango , na ukichangiwa ujue na wewe lazima uje uchangie wenzako kwahiyo maisha baada ya hapo ni simu za michango kila siku.
Mi kuna mpuuzi aliniunganisha kwenye grp lake la harusi anataka michango nikajitoa kwenye grp akafuta namba zangu na mimi nikafuta zake, michango kibao ila ndoa haikutoboa miaka miwili
Kwamba wanawake wapo standard tofauti tofauti😄😄😄😄😄😄, kwanini mnapenda kuji-proud? ilihali wengi wenu ni wanuka mikojo na wachafu wachafu?Chagua wa standard yako… hawezi kukujibu hivyo
😂😂😂😂😂Tatizo wao wamezoea harusi za kufanyia ukumbi wa kanisa, hapo lazima ulishe na kuwanywesha uliowaita..!!
Halafu wakishiba wanakupa zawadi ya bahasha ndani wameweka buku 😹😹
😂😂😂😂😂Kuna mwingine kaka yake anaoa kadi single 75k na double 150k
Nimemwambia upuuzi huo sifanyi ndoa yangu nitafunga saa 12 asubuhi eti kaninunia 😀😀😀
KabisaaaHarusi zenyewe zimepoteza kabisa maana ya harusi yaani ni upuuzi upuuzi tu. No wonder hata ndoa zenyewe ni tafrani.
Hatukufanya sherehe yoyote kwakweli, tulitoka kanisani tumepiga picha zote za ukumbisho hapohapo, hakuna aliekula wala aliekunywa baada ya harusi kila mtu alienda kwao, baada ya hapo kwa gari, tulikodi nyumba nzima mwezi mmoja tulienda huko lakini tulikaa wiki2 tu tukarudi mjini kubeba boksiUlifanyaje hadi 2m ikatoshea na chenji kubaki 😁
Sasa kwani inatakiwa awepo nani? Haitakiwi wazidi watu 50Basi kwenye harusi yako, utakuwa na Ndugu zako pekee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kulingana na yeye alivyoongea , Halafu Mo sio si unit,Kama MO hatoi pesa yake kizembe zembe hivyo, wewe kwa nini unahisi jamaa ampe mtu pesa bila sababu ya msingi ?