Mkuu unajua blanks zinavyo pigwa kwenye silaha au ujui tukufahamishe.Nafikiri hapo walikuwa wanachezea blancs tu; kwa risasi za moto, hapo kuna watu wangejeruhiwa kwa vile kuna waliokuwa wanashika bunduki hizo bila kujua ugumu wa recoil yake.
Na mimi sasa harusi yangu ijayo mimi nitaiandaa hivyo hivyo ila kwa risasi za moto kwelikweli.
Ukikutana na wanawake wa kisomali ughaibuni, huwa hawapendi kuitwa wasomali, bali huwa wanajitambulisha kuwa ni Wakenya. Mara chache sana wataweza kukuambia kuwa ni waethiopia.
Siongezi neno hapa!!!!a kimachame walivyo pasua
Asante mtaalamu sie WA kuja tulijua njugu za ukweli. Ila hata kama ni Sauti Tu bi harusi wa kutoka Buza angepekekwa huko angezimia. Nahisi bunduki ni za kweli, bunduki harusini?Ni blancs hizo; aliyekuwa anamwonyesha mwezie aelekeze bunduki hewani ni kuzuia blancs hizo zisichome watu kwa vile blancs kwa umbali mfupi huwa zinachoma moto.
Risasi ya moto ukielekeza juu utapa reflection ya shockwave; ambayo husikii kwenye hiyo milipuko.
Chakula hawana, ila bunduki na risasi za Kukosha, Mungu kweli FundiView attachment 1715207
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.
Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.
Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.
Hizo ni live ammunition mkuu blanks zina upigaji wake kwenye silaha acha kulishwa matango pori.Asante mtaalamu sie WA kuja tulijua njugu za ukweli. Ila hata kama ni Sauti Tu bi harusi wa kutoka Buza angepekekwa huko angezimia. Nahisi bunduki ni za kweli, bunduki harusini?
South yemenHivi MA - GAMUTU NI WATU WA WAPI?
Acha uongo,u.s.a hawajahi kushindwa vita.somalia hakuna cha maana kuleView attachment 1715207
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.
Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.
Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.
Zinatoka Iran na Saudi Arabiahizi risasi wanatengeneza wenyewe au wananunua?
Hao unaowaona kwenye hiyo harusi sio Wasomali, hao ni Wayemen, hapo ni Yemen sio Somalia.
Huko maofisni wanoliwa na maboss wao ili wapate kitu fulani ni maskini? au hawauzi?Tajiri anajiuza vipi
Hiyo club ni kibokoNenda Mombasa kuna Club inaitwa Casablanca,wamejaa kibao wanajiuza wengi wao hawana antena
Wasomali wa Ethiopia wako Ogaden,Somalia wanalilia hilo jimbo liende kwao kwa miaka mingi sanasamahani mkuu hivi wasomali ndo hao hao waethiopia
Huko maofisni wanoliwa na maboss wao ili wapate kitu fulani ni maskini? au hawauzi?
Wana hela hao,jiunge tu tena unafananiaAl Shabaab kila siku wananishauri nijiunge nao, mi nawakatalia.
Kumbuka rushwa ni sehemu ya biashara,na huyo akipata hicho alichokihitaji ataendelea kutafuta vingine kwa mtindo huo huoHyo sasa ni RUSHWA.
Umemuuliza swali zuri sana na ukweli ni kwamba kwenye AK 47 blanks huwezi kupiga hivyo ganda huwa linakwama kwenye extractor hivyo ejector inashindwa kutoa ganda.Mkuu unajua blanks zinavyo pigwa kwenye silaha au ujui tukufahamishe.
Wakati wewe ukiona wanatumia risasi nyingi ila kwao wao ni kidogo sana, Wasomali, Wasudan kumkuta ndani kwake na pipa la risasi ni kitu cha kawaida!hizi risasi wanatengeneza wenyewe au wananunua?