Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria na mamlaka lina ukubwa wake.
Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia.
Kuna mataifa ya Kiarabu ambayo kwa kweli yanafurahia kile ambacho Israel inakifanya Mashariki ya Kati. Yanataka hali hiyo ibaki kama ilivyo. Mnakumbuka vita ya Ghuba? Iraq chini ya Saddam ilipokuwa inauwa Waislamu wenzie? Makafiri ndo walienda saidia. Mataifa mengine ya Kiarabu yalinyamaza.
Russia inashindwa kutoa full support kwa Iran maana naye ana kijipu uchungu cha Ukraine kinamsumbua.so ana wasiwasi sana.
Marekani na washirika wake amekaa anatizama kinachoendelea but akipata pa kuingilia kuingia miguu yote ataingia.akipata sababu. Putin mjanja ashagundua. Siku hizi hamumsikii akitoa vitisho kwa NATO. Toka marehemu yule jangili alipotaka ingia Russia kumuondoa Putin jamaa aligundua. Hayupo strong kama alivyodhani.
Mnawasikia Korea? Kuduku. Mnamsikia akibwabwaja? Ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Hata zile show off za kuonesha silaha. Mnaziona sana siku hizi? Mnawaona Marekani wakionesha? Hawafanyi hivyo
Mlishawahi zisikia Bunk Busters? Sidhani. Wanasema zipo silaha nyingine hazijulikani Duniani. Zimekaa tu standby kusubiri sababu ya kutumika.