Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅🙄😅😀😀Eeeh sasa wewe ndo mbongo halisi haya ndo mambo yetu haya
Israel hawezi kuishiwa au kupungukiwa na chochote kwa sababu anapewa sapoti na mataifa yote makubwa Duniani yenye nguvu zote za Uchumi na za Kijeshi !Israel muda mwingi wapo vitani, kwanini huwa hawalalamiki wananchi wake kukosa mahitaji muhimu wala mfumuko wa bei?
Naona umewaongezea vitisho wanazengo washangiliaji. 😀😀Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria na mamlaka lina ukubwa wake.
Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia.
Kuna mataifa ya Kiarabu ambayo kwa kweli yanafurahia kile ambacho Israel inakifanya Mashariki ya Mbali. Yanataka hali hiyo ibaki kama ilivyo. Mnakumbuka vita ya Ghuba? Iraq chini ya Saddam ilipokuwa inauwa Waislamu wenzie? Makafiri ndo walienda saidia. Mataifa mengine ya Kiarabu yalinyamaza.
Russia inashindwa kutoa full support kwa Iran maana naye ana kijipu uchungu cha Ukraine kinamsumbua.so ana wasiwasi sana.
Marekani na washirika wake amekaa anatizama kinachoendelea but akipata pa kuingilia kuingia miguu yote ataingia.akipata sababu. Putin mjanja ashagundua. Siku hizi hamumsikii akitoa vitisho kwa NATO. Toka marehemu yule jangili alipotaka ingia Russia kumuondoa Putin jamaa aligundua. Hayupo strong kama alivyodhani.
Mnawasikia Korea? Kuduku. Mnamsikia akibwabwaja? Ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Hata zile show off za kuonesha silaha. Mnaziona sana siku hizi? Mnawaona Marekani wakionesha? Hawafanyi hivyo
Mlishawahi zisikia Bunk Busters? Sidhani. Wanasema zipo silaha nyingine hazijulikani Duniani. Zimekaa tu standby kusubiri sababu ya kutumika.
Main focus ya China ni kuimarisha uchumi wake ili amzidi USA.Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Absolutely correct. I concur with you.Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Kama unachosema ni kweli !!!. Mbona alipotaka kuivamia Taiwan, USA walikuwa very clear. Walisema "Don't dare to do". Hawakuishia hapo wakasogeza meli zao za kivita.China na Rusia wameisha mjua muamerika anapenda kutumia nchi zingine kutimiza malengo yake, nao hawataki kumpa nafasi hiyo, hivyo wanamtaka yeye Mwenyewe. Akiingia anga zao wanaye.
yaani hassan nasraallah wamekusanya vipande vipande tu. na alikuwa kwenye handaki chini.Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria na mamlaka lina ukubwa wake.
Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia.
Kuna mataifa ya Kiarabu ambayo kwa kweli yanafurahia kile ambacho Israel inakifanya Mashariki ya Mbali. Yanataka hali hiyo ibaki kama ilivyo. Mnakumbuka vita ya Ghuba? Iraq chini ya Saddam ilipokuwa inauwa Waislamu wenzie? Makafiri ndo walienda saidia. Mataifa mengine ya Kiarabu yalinyamaza.
Russia inashindwa kutoa full support kwa Iran maana naye ana kijipu uchungu cha Ukraine kinamsumbua.so ana wasiwasi sana.
Marekani na washirika wake amekaa anatizama kinachoendelea but akipata pa kuingilia kuingia miguu yote ataingia.akipata sababu. Putin mjanja ashagundua. Siku hizi hamumsikii akitoa vitisho kwa NATO. Toka marehemu yule jangili alipotaka ingia Russia kumuondoa Putin jamaa aligundua. Hayupo strong kama alivyodhani.
Mnawasikia Korea? Kuduku. Mnamsikia akibwabwaja? Ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Hata zile show off za kuonesha silaha. Mnaziona sana siku hizi? Mnawaona Marekani wakionesha? Hawafanyi hivyo
Mlishawahi zisikia Bunk Busters? Sidhani. Wanasema zipo silaha nyingine hazijulikani Duniani. Zimekaa tu standby kusubiri sababu ya kutumika.
Kama unachosema ni kweli !!!. Mbona alipotaka kuivamia Taiwan, USA walikuwa very clear. Walisema "Don't dare to do". Hawakuishia hapo wakasogeza meli zao za kivita.China na Rusia wameisha mjua muamerika anapenda kutumia nchi zingine kutimiza malengo yake, nao hawataki kumpa nafasi hiyo, hivyo wanamtaka yeye Mwenyewe. Akiingia anga zao wanaye.
Walimtambua kidevu chake tu siyo kwa sura. 😂😂yaani hassan nasraallah wamekusanya vipande vipande tu. na alikuwa kwenye handaki chini.
Hata wazungu huwa wanatushangaaa kweli. Na uwanja mzima unashangilia mtu kuvunja tofati kwa mkono au meno. Tunasifu eti tuna makomandoo wazuri sana.Sisi si tuna jeshi huwa linavunja mawe kwa meno siku ya muungano, why lisiende kuwasaidia Iran?
Kwa hiyo US yupo tayari kwa vita ila China inaogopaKama unachosema ni kweli !!!. Mbona alipotaka kuivamia Taiwan, USA walikuwa very clear. Walisema "Don't dare to do". Hawakuishia hapo wakasogeza meli zao za kivita.
Swali ulitaka USA ipi tena? au kuna USA mbili.
Makafir ndiyo akina nani?Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria na mamlaka lina ukubwa wake.
Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia.
Kuna mataifa ya Kiarabu ambayo kwa kweli yanafurahia kile ambacho Israel inakifanya Mashariki ya Mbali. Yanataka hali hiyo ibaki kama ilivyo. Mnakumbuka vita ya Ghuba? Iraq chini ya Saddam ilipokuwa inauwa Waislamu wenzie? Makafiri ndo walienda saidia. Mataifa mengine ya Kiarabu yalinyamaza.
Russia inashindwa kutoa full support kwa Iran maana naye ana kijipu uchungu cha Ukraine kinamsumbua.so ana wasiwasi sana.
Marekani na washirika wake amekaa anatizama kinachoendelea but akipata pa kuingilia kuingia miguu yote ataingia.akipata sababu. Putin mjanja ashagundua. Siku hizi hamumsikii akitoa vitisho kwa NATO. Toka marehemu yule jangili alipotaka ingia Russia kumuondoa Putin jamaa aligundua. Hayupo strong kama alivyodhani.
Mnawasikia Korea? Kuduku. Mnamsikia akibwabwaja? Ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Hata zile show off za kuonesha silaha. Mnaziona sana siku hizi? Mnawaona Marekani wakionesha? Hawafanyi hivyo
Mlishawahi zisikia Bunk Busters? Sidhani. Wanasema zipo silaha nyingine hazijulikani Duniani. Zimekaa tu standby kusubiri sababu ya kutumika.
Unalionea wivu jeshi wewe!Ni la sita/six/sis/gana na limwe kwa ubora duniani.🤣🤣🤣🤣Hata wazungu huwa wanatushangaaa kweli. Na uwanja mzima unashangilia mtu kuvunja tofati kwa mkono au meno. Tunasifu eti tuna makomandoo wazuri sana.
Uimara wa jeshi ni kuwa na vifaa vyenye high technologies siyo meno au ngumi. Mtu anapanda cheo kwa kuvunja tofauri kwa neno siyo kwa skills za kivita.
Kumpidid ndo vita gani hiyo mkuu?China mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita
Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
Wanasema china ana jeshi la maroboti, ikitokea vita hawezi kupata hasara kubwa ya roho za watuChina mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita
Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
Mrusi ana akili sana anajua akiingia Trump vita Ukraine itaisha ila atawapelekea moto waislam pale mashariki ya kati kwa hio na yeye anaangalia manufaa yake,,,isitoshe pale Lebanon Israel anapigana na waislam wa Hezbollah ambao ni wapalestina waliopewa hifadhi enzi hizo Lebanon kipindi hiko Lebanon ni nchi ya kiarabu ila ni ya kikristo,,,,wapalestina kusaidiwa Lebanon wakaja kuzaliana na kutaka kuwapiku wenye nchi yao na kuanzisha Hezbollah..........kwahio kwa upande wa wagalatia ambae hata mrusi yupo humo Israel kushinda ipo kwenye manufaa yake,,,,,democrats na wakina Bidden ndo walifocus sana ukraine kuliko mashariki ya kati ndo maana hadi Netanyahu akamaind akaenda nae kufanya maongezi na mrusi,,,,Plan kwa sasa vita ya Ukraine iishe kupitia Republicans ambae ni Trump ndo maana wanahangaika sana kumuua Trump,,, akishaingia Trump hata Iran anaweza akachapwa huku mrusi anamuangalia tu maana yeye kazi yake Ukraine kamaliza kwa msaada wa haohao wayahudiRussia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria na mamlaka lina ukubwa wake.
Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia.
Kuna mataifa ya Kiarabu ambayo kwa kweli yanafurahia kile ambacho Israel inakifanya Mashariki ya Mbali. Yanataka hali hiyo ibaki kama ilivyo. Mnakumbuka vita ya Ghuba? Iraq chini ya Saddam ilipokuwa inauwa Waislamu wenzie? Makafiri ndo walienda saidia. Mataifa mengine ya Kiarabu yalinyamaza.
Russia inashindwa kutoa full support kwa Iran maana naye ana kijipu uchungu cha Ukraine kinamsumbua.so ana wasiwasi sana.
Marekani na washirika wake amekaa anatizama kinachoendelea but akipata pa kuingilia kuingia miguu yote ataingia.akipata sababu. Putin mjanja ashagundua. Siku hizi hamumsikii akitoa vitisho kwa NATO. Toka marehemu yule jangili alipotaka ingia Russia kumuondoa Putin jamaa aligundua. Hayupo strong kama alivyodhani.
Mnawasikia Korea? Kuduku. Mnamsikia akibwabwaja? Ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Hata zile show off za kuonesha silaha. Mnaziona sana siku hizi? Mnawaona Marekani wakionesha? Hawafanyi hivyo
Mlishawahi zisikia Bunk Busters? Sidhani. Wanasema zipo silaha nyingine hazijulikani Duniani. Zimekaa tu standby kusubiri sababu ya kutumika.
Umesahau na waandamaji wa face book na jf hukoBongo tuna wachambuzi wa kila aina kuanzia michezo,vita ya urusi na ukreini vita ya hamas na israeli yahn mpaka raha.
Huwezi kuona USA au Israel jeshi linafanya mambo ya kijinga hivyo wao ni technology basiHata wazungu huwa wanatushangaaa kweli. Na uwanja mzima unashangilia mtu kuvunja tofati kwa mkono au meno. Tunasifu eti tuna makomandoo wazuri sana.
Uimara wa jeshi ni kuwa na vifaa vyenye high technologies siyo meno au ngumi. Mtu anapanda cheo kwa kuvunja tofauri kwa neno siyo kwa skills za kivita.
Iran anapata support ya China, Russia na Korea kaskaziniIsrael hawezi kuishiwa au kupungukiwa na chochote kwa sababu anapewa sapoti na mataifa yote makubwa Duniani yenye nguvu zote za Uchumi na za Kijeshi !
Na zaidi ya hapo hata Baadhi ya Waislamu hata wa hapa Bongo ukiingia huko YouTube Wanasemaga ni bora Wayahudi kuliko Mashia 😳🙄 !
Kwahiyo maana yake ni kwamba wanawaunga mkono Wayahudi 😁
Dunia Rangilangire !
Ukistaajabu ya Mussa ………………………. ). 🙏