Kaa kimya dogo , huujui mziki wa China kwenye vita ,kaangalie walimfanyia nini mmarekani kwenye Korean war .
Au unafikiri ile north and south Korea ilitokea miracles Tu kuwa vile .
Fuatilia pia usome historia yao kwenye vita ya Vietnam , vietcongs silaha na trainers walikuwa ni wachina na walifanya hivyo kumnyoosha mmarekani na walifanikiwa .
Unapoongelea China usidhani unaongelea least developed country ,China ni military power kubwa na wako well equipped kwemye espionage kuliko unavyoweza kudhani , kama unafuatilia mambo ,fuatilia espianage activities na spying za mchina kule Marekani na kwingineko , wamedukua mpaka public infrastructure za Marekani na washirika wake ,na inaaminika hata na wamarekani wenyewe kwamba miundombinu ya nchi yao iko vulnerable kwa mchina .
Hadi kampuni kubwa zimedukuliwa na hao watu , wana mamilioni ya wanafunzi wameingia kule kufanya spying miaka mingi ,kiufupi wanajua inside out ,si wajinga wale