Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka
Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama.
CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata MILELE hutumia Kila mbinu wanayona inafaa bila kujali madhara ninini
CCM na serikali yake sio waumini sana wa kutumia miguvu ya police ila ikibidi wanatumia mradi tu kujihakikishia ulinzi wa himaya yake wako tayari kupiga kupora na hata kuuwa ili kulinda madaraka ingawa mpango huu una adhari kubwa kimataifa Sasa wanakuja na mbinu mpya na hii mbinu mama ni muumini wa mbinu hii yaani kumuhonga mpinzani wako akubali kukunga mkono bila wafuasi wake kugundua na hili alilifanya kwa Mbowe ktika mpango fake wa 4R
Sasa Chadema Iko na wapinzani wa kweli wasiohongeka na wasumbufu kweli kweli ambao ni tishio kwa khatima ya mama yetu mpendwa
Hii ndiyo sababu ya mama kwa kushirikiana na Mbowe na wafuasi wake kuhamishia mipango ya 4R fake kupeleka CHAUMA kwa Spunda Maubwabwa na huu mpango umesukwa ukasukika sitaki kumaliza maneno ila mikutano ya Siri inaendelea ikisimamiwa na ikulu na wakuu wa vyama vya ACT CHAUMA NCCR na CUF
Naarifiwa kuwa wapo pia wabunge wa CCM watajiunga na mpango kazi huu baada ya bunge kuvunjwa mtifuano mkubwa ni idadi ya viti mama alivyowaahidi kuwapa yaani viti 35 baadhi ya vyama vinaona hivyo ni viti vichache wanataka viongezwe Hadi vifike 100 .