Oduru
JF-Expert Member
- Jul 19, 2020
- 1,175
- 2,279
Umeelewa mlinganisho wa hizo picha mbili au unakurupuka tu
Umeelewa mlinganisho wa hizo picha mbili au unakurupuka tu
Kuna ushahidi?Rostam azizi ndiyo inchaji wa huo mpango wa kuunda upinzani feki dhidi ya wananchi ...the true meaning of STATE CAPTURE
CCM imekataa kbs uchaguzi inataka uchafuzimtu mwenye akili timamu ataendaje kupiga kura wakati washindi tayari wanajulikana systemetically? Huo utakuwa ni ujuha kwenda kupoteza muda kupanga foleni kupiga kura wakati mshindi anajulikana. REFORMS kwenye mfumo wa uchaguzi inahitajika
Kumbe viti vya Ubunge ni vya kupewa. Sasa Uchaguzi wa nini?Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka
Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama.
CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata MILELE hutumia Kila mbinu wanayona inafaa bila kujali madhara ninini
CCM na serikali yake sio waumini sana wa kutumia miguvu ya police ila ikibidi wanatumia mradi tu kujihakikishia ulinzi wa himaya yake wako tayari kupiga kupora na hata kuuwa ili kulinda madaraka ingawa mpango huu una adhari kubwa kimataifa Sasa wanakuja na mbinu mpya na hii mbinu mama ni muumini wa mbinu hii yaani kumuhonga mpinzani wako akubali kukunga mkono bila wafuasi wake kugundua na hili alilifanya kwa Mbowe ktika mpango fake wa 4R
Sasa Chadema Iko na wapinzani wa kweli wasiohongeka na wasumbufu kweli kweli ambao ni tishio kwa khatima ya mama yetu mpendwa
Hii ndiyo sababu ya mama kwa kushirikiana na Mbowe na wafuasi wake kuhamishia mipango ya 4R fake kupeleka CHAUMA kwa Spunda Maubwabwa na huu mpango umesukwa ukasukika sitaki kumaliza maneno ila mikutano ya Siri inaendelea ikisimamiwa na ikulu na wakuu wa vyama vya ACT CHAUMA NCCR na CUF
Naarifiwa kuwa wapo pia wabunge wa CCM watajiunga na mpango kazi huu baada ya bunge kuvunjwa mtifuano mkubwa ni idadi ya viti mama alivyowaahidi kuwapa yaani viti 35 baadhi ya vyama vinaona hivyo ni viti vichache wanataka viongezwe Hadi vifike 100 .
Kiini macho tuuu mtanzania atakaye ACHA kazi zake aende kupiga kura ni boya kbsKumbe viti vya Ubunge ni vya kupewa. Sasa Uchaguzi wa nini?
inajua kabisa ikifanya uchaguzi itapumzishwa mazima wala haitainuka tena. Zama zake zitakuwa zimepitwa na wakatiCCM imekataa kbs uchaguzi inataka uchafuzi
Wanaweza pewa hata mia ila watu kutoka ccm wakaenda kugombea huko.Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka
Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama.
CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata MILELE hutumia Kila mbinu wanayona inafaa bila kujali madhara ninini
CCM na serikali yake sio waumini sana wa kutumia miguvu ya police ila ikibidi wanatumia mradi tu kujihakikishia ulinzi wa himaya yake wako tayari kupiga kupora na hata kuuwa ili kulinda madaraka ingawa mpango huu una adhari kubwa kimataifa Sasa wanakuja na mbinu mpya na hii mbinu mama ni muumini wa mbinu hii yaani kumuhonga mpinzani wako akubali kukunga mkono bila wafuasi wake kugundua na hili alilifanya kwa Mbowe ktika mpango fake wa 4R
Sasa Chadema Iko na wapinzani wa kweli wasiohongeka na wasumbufu kweli kweli ambao ni tishio kwa khatima ya mama yetu mpendwa
Hii ndiyo sababu ya mama kwa kushirikiana na Mbowe na wafuasi wake kuhamishia mipango ya 4R fake kupeleka CHAUMA kwa Spunda Maubwabwa na huu mpango umesukwa ukasukika sitaki kumaliza maneno ila mikutano ya Siri inaendelea ikisimamiwa na ikulu na wakuu wa vyama vya ACT CHAUMA NCCR na CUF
Naarifiwa kuwa wapo pia wabunge wa CCM watajiunga na mpango kazi huu baada ya bunge kuvunjwa mtifuano mkubwa ni idadi ya viti mama alivyowaahidi kuwapa yaani viti 35 baadhi ya vyama vinaona hivyo ni viti vichache wanataka viongezwe Hadi vifike 100 .
Hivi tiss uwa wapo kwa maslai ya nani ni ya nchi kweli?Ni mpanga unaosukwa kwa umakini mkubwa na wale cream wa TISS wanashiriki kwa umakini wa Hali ya juu
wewe una ushahidi kuwa hausiki?Kuna ushahidi?
Unataka ushahidi gani ? Kwani mwenyewe aliwahi kumsikia akikanusha ...akanushe kwanza ndiyo mdai ushahidi .Kuna ushahidi?
Kumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.Unataka ushahidi gani ? Kwani mwenyewe aliwahi kumsikia akikanusha ...akanushe kwanza ndiyo mdai ushahidi .
Kila mnachogusa tunacho na vikao vyenu tunakaaKumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.
Watu watajibu mangapi?
Majibu Bora kwa mpumbavu ni kumkalia kimya tu.
Sikuwema akikaa kimya nimesema kama anabisha ili kutoa ushahidi ni lazima kwanza mtuumiwa akatae ..jamaa aliulizia ushahidi ...hata mahakamani lazima mtuumiwa wamuulize kama anakubali au kukataa.....huyo rostam anajulikana ccm yote mambo yake ...Kumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.
Watu watajibu mangapi?
Majibu Bora kwa mpumbavu ni kumkalia kimya tu.