CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata MILELE hutumia Kila mbinu wanayona inafaa bila kujali madhara ninini
UMETISHAAAA,UMEMALIZARostam azizi ndiyo inchaji wa huo mpango wa kuunda upinzani feki dhidi ya wananchi ...the true meaning of STATE CAPTURE
Ni mpanga unaosukwa kwa umakini mkubwa na wale cream wa TISS wanashiriki kwa umakini wa Hali ya juuRostam azizi ndiyo inchaji wa huo mpango wa kuunda upinzani feki dhidi ya wananchi ...the true meaning of STATE CAPTURE
Iko waziUMETISHAAAA,UMEMALIZA
Wamesha feli ndiyo maana nguvu za mauaji zinatumika kwa sababu wao waliamini kuwa kumwaga fedha ndiyo kila kitu...sasa hivi wanatumia nguvu zaidi ya umakini na mipangoNi mpanga unaosukwa kwa umakini mkubwa na wale cream wa TISS wanashiriki kwa umakini wa Hali ya juu
Huu ni msimamo wa wengiMimi sitapiga kura
CHADEMA ikisalimika kipindi hiki basi sijui mipango ya kuwangamiza ni mkubwa mnoHii ni mbaya sana kutengeneza kinyago. Kama CHADEMA itadhoofishwa na kufifishwa kwa mbinu hii kuna hatari ya kinyago kinachotengenezwa kuja kupasuliwapasuliwa vibaya huko mbeleni. Kinyago kitapata nguvu na kujiona kiko sawa na aliyekiunda na kitataka kutunisha misuli ili na chenyewe kichukue nafasi ya aliyekiunda, ndipo utakapotokea mgogoro wa kukisambaratisha kinyago hicho ambacho ni project ya msimu mmoja tu wa uchaguzi mmoja
wamechemka vibaya sana approach yao iko wazi hata asiye na D moja anaelewa mchezo ni hila dhidi ya CHADEMANi mpanga unaosukwa kwa umakini mkubwa na wale cream wa TISS wanashiriki kwa umakini wa Hali ya juu
Hizi mbinu ni za kipuuzi kwa sababu zinaonekana wazi ni hila dhidi ya CHADEMA chini ya Lissu na Heche waliojitanabaisha hawahongeki na wana misimamo isiyoyumba kutaka reformation kwenye mambo muhimu ya nchi. Huo upinzani feki unaotengenezwa utapewa viti kadhaa ionekane wameshinda kwa uwazi na huru. Hivyo vyama vya kinaa vitapata kata na majimbo kadhaa. Utakuwa ni uchaguzi mwingine wa kushangaza tena kwa vituko na vimbwaka vyake kuhadaa wananchi na ulimwengu
Huu ni msimamo wa wengi
mtu mwenye akili timamu ataendaje kupiga kura wakati washindi tayari wanajulikana systemetically? Huo utakuwa ni ujuha kwenda kupoteza muda kupanga foleni kupiga kura wakati mshindi anajulikana. REFORMS kwenye mfumo wa uchaguzi inahitajikaHuu ni msimamo wa wengi