Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

mtu mwenye akili timamu ataendaje kupiga kura wakati washindi tayari wanajulikana systemetically? Huo utakuwa ni ujuha kwenda kupoteza muda kupanga foleni kupiga kura wakati mshindi anajulikana. REFORMS kwenye mfumo wa uchaguzi inahitajika
CCM imekataa kbs uchaguzi inataka uchafuzi
 
Kumbe viti vya Ubunge ni vya kupewa. Sasa Uchaguzi wa nini?
 
Wanaweza pewa hata mia ila watu kutoka ccm wakaenda kugombea huko.
 
Tutaanzisha
No reform no vote
 
Unataka ushahidi gani ? Kwani mwenyewe aliwahi kumsikia akikanusha ...akanushe kwanza ndiyo mdai ushahidi .
Kumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.
Watu watajibu mangapi?
Majibu Bora kwa mpumbavu ni kumkalia kimya tu.
 
Kumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.
Watu watajibu mangapi?
Majibu Bora kwa mpumbavu ni kumkalia kimya tu.
Kila mnachogusa tunacho na vikao vyenu tunakaa
 
Kumbe mtu akishutimiwa jambo la uongo, akikaa kimya, uongo unageuka ukweli.
Watu watajibu mangapi?
Majibu Bora kwa mpumbavu ni kumkalia kimya tu.
Sikuwema akikaa kimya nimesema kama anabisha ili kutoa ushahidi ni lazima kwanza mtuumiwa akatae ..jamaa aliulizia ushahidi ...hata mahakamani lazima mtuumiwa wamuulize kama anakubali au kukataa.....huyo rostam anajulikana ccm yote mambo yake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…