Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Kwenye keyboard herufi d na s zimekaribiana, naona alitaka kuandika Sodoma na Gomora.

Ila Dodoma nako kuna vituko kama Sodoma. Hususani wakati wa vikao vya bunge.
Inatakiwa Dom nako Allah wataala ashushe gharika.
 
Wabongo na waafrika maskini choka mbaya mna chuki zisizo na msingi wowote kwa Marekani.

Huyo Mungu mbona hasira zake hazishuki juu ya Mbagala, Temeke, Tandika, Buza, River side, Sinza, Uwanja wa fisi???
Mara nyingi ni wenye imani za kutoka uarabuni.

Waarabu wanatumia maandiko ya dini kufanya watu waichukie US.
 
Wazee wa kufandia matatizo na majanga ya watu wengine kisha kuzipanlabel hasira, hizi ni natural calamities , just like tetemeko, mafuriko huko kote yanapowakuta, it naturalnoccurence
 
Mawazo ya masikini bana.
 
Kwamba huko Los Angeles ndio kuna maovu kuliko sehemu zingine za dunia? Kwamba sehemu kama dar watu hawaishi usodoma?
Mungu uchagua pa kuanzia,pia anaweza toa adhabu zikatofautiana na sehemu ingine,ye ndo uamua,hakuna wa kumpangia.
 
Wanyama, ndege na viumbe vingine vilivyoungua, navyo vimemkosea Mungu?
Na je Mungu asingewezeza kutoa aina nyingine ya adhabu, iwe fundisho kwetu, mbali na kuunguza viumbe?

Na je walioungua na kufa ndio LBGTQs au kuna ambao sio?
Na kama ndio wenyewe, moto umewamaliza?
 
Lazima wapumbavu kama wewe mjitokeze kwenye matukio kama haya. Huko Hanang nao walikutwa na hasira ya Mungu?
Na wewe acha Makasiriko kisa tu unaipenda Marekani. Akiwa ni Munga au sio yeye hata wewe huwezi kujua. Nadhani wewe ungekuwepo kipindi cha farao bado ungepinga mengi tu aliyoyafanya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…