Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

Mtu anayetafuta sifa kwa nguvu zote ikiwa ni pamoja na kutumia propaganda zisizo na ukweli, huwa hana limit ya maneno; atazungumza lolote ili mradi tu asifiwe. Siku akienda Chato atasema kuwa yeye na Magufuli walikuwa kitu kimoja, hawezi kusema hayo anayosema huko ughaibuni kam ni kweli aliyasema hakusingiziwa.
 
Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Hujaipata. Hoja hapa ni mama kufulia nguo za ndani barazani.
 
Nafikiri hoja hapa sio kutokosoa mambo ya kikatiri ya awamu ya tano. Kwa nini ayasemehe huko Usa?..

..Maza amekosoa utendaji wa Jpm hata hapa nyumbani.

Umesahau kauli kwamba ktk awamu ya 5 kulikuwa na nidhamu ya woga?

..Hata ktk suala la Covid-19 Maza amemkosoa Jpm siyo kwa maneno tu , bali kwa matendo na hatua alichokua kuhusiana na janga hilo.

..Kwa mfano, Maza anavaa barakoa, wakati Jpm alikuwa akipinga barakoa. Maza ameruhusu chanjo, wakati Jpm alikuwa akidai chanjo ni mbaya.

..Maza kufanya maamuzi ambayo ni 180 degrees kinyume na Jpm huku DUNIA nzima ikishuhudia ni jambo kubwa zaidi kuliko kauli alizotoa huko USA.

..Kuhusu matamshi dhidi ya Lissu, Maza alikosea sana. Binafsi nililaani kauli ile na nitaendelea kulaani. Maza hakutakiwa kusema maneno yale ukizingatia kwamba alimtembelea Lissu hospitalini alipokuwa akijiuguza.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kaka NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi watanzania huku wazungu wakitucheka.
Mkuu ulishawahi kumsikia mtu aliyeitwa Oscar Kambona ?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo sawa. Lakini mimi nimeweka hii mifano kuthibitisha tu kuwa hata hayati Nyerere aliwahi kushutumiwa na wasaidizi wake juu ya ukaidi.

..Na kwanini unataka kuwachagulia watu mahali pa kumkosoa Jpm?

..Kuna tofauti gani kumkosoa Jpm ukiwa hapa Tz na ukiwa Usa au popote ughaibuni?

..Kwani Maza alipomkosoa Jpm akiwa Tz, walioko ughaibuni hawakusikia ukosoaji huo?

..Je, Maza angemsifia Jpm akiwa ughaibuni ungekuwa na tatizo na usifiaji huo?

Cc Nguruvi3, Kalamu1
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kaka NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi watanzania huku wazungu wakitucheka.
Kuna hotuba nakumbuka Nyerere alikuwa anawaambia wanaomwita mbishi, alisema. (Kwa nukuu isiyo sahihi)

Mnashindwa kujenga hoja kushawishi mnachokiamini, mnaishia kusema mnaburuzwa kwenye kufikia uamuzi! Huo ni upumbavu
 
..Maza amekosoa utendaji wa Jpm hata hapa nyumbani. Umesahau kauli kwamba ktk awamu ya 5 kulikuwa na nidhamu ya woga...
Na mama anapaswa kuwa na 'position' yake wakati anahojiwa.

Kwa mfano atavutia vipi wawekezaji ikiwa hawamwelewi anasimamia wapi!

Hakuna mahali pa kumchagulia wapi na aseme nini. Dunia inaona hakuna kipya

..Kuhusu matamshi dhidi ya Lissu, Maza alikosea sana. Binafsi nililaani kauli ile na nitaendelea kulaani. Maza hakutakiwa kusema maneno yale ukizingatia kwamba alimtembelea Lissu hospitalini alipokuwa akijiuguza.
Yes hili litabaki katika legacy yake unless aombe radhi.

Naye kama Magufuli ' atadaiwa'' msamaha kutokana na kauli yake hata vizazi 10 vijavyo.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Mwanakulitafuta mwanakulipata,hii ni awamu ya sita,na Kila awamu na kitabu chake,usilazimishe kitabu Cha 5,kikawa kitabu Cha 6.🤸
 
Kumbe wewe bado hujui kwa nini anafanya hivyo?

Huu ni wakati wake wa kujijengea jina, sifa ya kuwa kiongozi mzuri (anadhani hivyo).

Huko alikokwenda kuyasemea haya kuna maana kubwa kwake. Ni kwa wakubwa wa dunia, kwa hiyo hao wakimkubali, anajihisi wengine wote watamtambua.

Huyu ni kiongozi hafifu sana.

Hivi ulishamsikia Pence akilalamika juu ya Trump, pamoja na uhayawani wote wa Trump? Hata Biden haendi Ulaya kulalamika juu ya mtangulizi wake.
Tatizo nyie ni watu wenye upeo wa kuangalia umbali vidole vya miguuni mwenu tu, au/na ni watu ambao hamjui kumu-interpret mtu.

Huyo Magufuli alikuwa wa namna hiyo ya kuwananga watangulizi wake, zile kauli za serikali yangu, serikali ya Magufuli, Mimi ndio jiwe, Mimi jembe na maneno mengine kama haya ni ishara ya kuwakosoa waliomtangulia.

Kama utakuwa na kumbukumbu hayati Mkapa aliwahi kumkemia kwa sababu hiyo, alimwambia kuwa wewe ni rahisi kwa ticket ya chama, chama kilikupendekeza ugombee haukugombea kama mgombea binafsi, serikali yako ni serikali ya wananchi na kwa nchi hii ni ya vyama vingi ni serikali ya CCM.

Kwanini Dr. Magufu hakwenda kuwakosoa watangulizi wake Ulaya? Sababu kubwa aliogopa kwenda Ulaya na kwingeneko kwa kuwa kuongea kiingereza kwake ilikuwa ni shida mno, na kwa vile mwenyewe alijifahamu kuwa hata akiandikiwa mara nyingi alikuwa hasomi sana yaliondikwa. Lazima shida ingepatikana kwenye kuchomekea ambayo alitamani kuchomekea.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Hujui kuwa ukweli unaponya na pia unamafunzo ya kuziacha njia zilizo mbaya na kuzifuata njia mpya zilizo Bora zaidi na zenye manufaa🤔
 
Tatizo nyie ni watu wenye upeo wa kuangalia umbali wa vidole vya miguuni mwenu tu, au/na ni watu ambao hamjui kumu-interpret mtu.

Huyo Magufuli alikuwa wa namna hiyo ya kuwananga watangulizi wake, zile kauli za serikali yangu, serikali ya Magufuli, Mimi ndio jiwe, Mimi jembe na maneno mengine kama haya ni ishara ya kuwakosoa waliomtangulia.

Kama utakuwa na kumbukumbu hayati Mkapa aliwahi kumkemia kwa sababu hiyo, alimwambia kuwa wewe ni rahisi kwa ticket ya chama, chama kilikupendekeza ugombee haukugombea kama mgombea binafsi, serikali yako ni serikali ya wananchi na kwakuwa nchi hii ni ya vyama vingi ni serikali ya CCM.

Kwanini Dr. Magufu hakwenda kuwakosoa watangulizi wake Ulaya? Sababu kubwa aliogopa kwenda Ulaya na kwingeneko kwa kuwa kuongea kiingereza kwake ilikuwa ni shida mno, na kwa vile mwenyewe alijifahamu kuwa hata akiandikiwa mara nyingi alikuwa hasomi sana yaliondikwa. Lazima shida ingepatikana kwenye kuchomekea ambayo alitamani kuchomekea.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Ni kichaa tu na uhayawani ile tu kutamka jina NYERERE unapomjadili Magufuli.

Nyerere utamfananisha na akina Nelson Mandela, Kwame Nkrumah au Mahtma Gandhi.

Hiyo takataka haifai hata kuifananisha na BW Mkapa au JKikwette SIKUBALIANI kabisa
 
Afanye kazi asipoteze muda kwa kumjadili hayati kwa Sasa km alikuwa hakubaliani na itikadi ya mtangulizi wake alitakiwa kung'atuka mapema,kitendo Cha kwenda kunang'a hayati ughaibuni Ni kukosa busara za kiongozi
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Magufuli alikithirisha kibri, nayeye Alikuwa bingwa wakuwananga viongozi wenzie waliopita,

Nanyi wafuasi wa Magufuli kutwa mnamtukana Samia, Sasa na sisi tutaeleza bayana mabaya ya huyo mungu wenu,mkae mtulie haswaa
 
Back
Top Bottom