Kaa kimya usirudie kudandia mada za wanaume wenye akili.
Huna akili,japokuwa una smartphone.
Kaa kimya usirudie kudandia mada za wanaume wenye akili.
Hujaipata. Hoja hapa ni mama kufulia nguo za ndani barazani.Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Nafikiri hoja hapa sio kutokosoa mambo ya kikatiri ya awamu ya tano. Kwa nini ayasemehe huko Usa?..
Mkuu ulishawahi kumsikia mtu aliyeitwa Oscar Kambona ?Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kaka NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi watanzania huku wazungu wakitucheka.
Mkuu upo sawa. Lakini mimi nimeweka hii mifano kuthibitisha tu kuwa hata hayati Nyerere aliwahi kushutumiwa na wasaidizi wake juu ya ukaidi.
Kuna hotuba nakumbuka Nyerere alikuwa anawaambia wanaomwita mbishi, alisema. (Kwa nukuu isiyo sahihi)Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kaka NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi watanzania huku wazungu wakitucheka.
Na mama anapaswa kuwa na 'position' yake wakati anahojiwa...Maza amekosoa utendaji wa Jpm hata hapa nyumbani. Umesahau kauli kwamba ktk awamu ya 5 kulikuwa na nidhamu ya woga...
Yes hili litabaki katika legacy yake unless aombe radhi...Kuhusu matamshi dhidi ya Lissu, Maza alikosea sana. Binafsi nililaani kauli ile na nitaendelea kulaani. Maza hakutakiwa kusema maneno yale ukizingatia kwamba alimtembelea Lissu hospitalini alipokuwa akijiuguza.
Mwanakulitafuta mwanakulipata,hii ni awamu ya sita,na Kila awamu na kitabu chake,usilazimishe kitabu Cha 5,kikawa kitabu Cha 6.🤸Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Tatizo nyie ni watu wenye upeo wa kuangalia umbali vidole vya miguuni mwenu tu, au/na ni watu ambao hamjui kumu-interpret mtu.Kumbe wewe bado hujui kwa nini anafanya hivyo?
Huu ni wakati wake wa kujijengea jina, sifa ya kuwa kiongozi mzuri (anadhani hivyo).
Huko alikokwenda kuyasemea haya kuna maana kubwa kwake. Ni kwa wakubwa wa dunia, kwa hiyo hao wakimkubali, anajihisi wengine wote watamtambua.
Huyu ni kiongozi hafifu sana.
Hivi ulishamsikia Pence akilalamika juu ya Trump, pamoja na uhayawani wote wa Trump? Hata Biden haendi Ulaya kulalamika juu ya mtangulizi wake.
Hujui kuwa ukweli unaponya na pia unamafunzo ya kuziacha njia zilizo mbaya na kuzifuata njia mpya zilizo Bora zaidi na zenye manufaa🤔Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Tatizo nyie ni watu wenye upeo wa kuangalia umbali wa vidole vya miguuni mwenu tu, au/na ni watu ambao hamjui kumu-interpret mtu.
Huyo Magufuli alikuwa wa namna hiyo ya kuwananga watangulizi wake, zile kauli za serikali yangu, serikali ya Magufuli, Mimi ndio jiwe, Mimi jembe na maneno mengine kama haya ni ishara ya kuwakosoa waliomtangulia.
Kama utakuwa na kumbukumbu hayati Mkapa aliwahi kumkemia kwa sababu hiyo, alimwambia kuwa wewe ni rahisi kwa ticket ya chama, chama kilikupendekeza ugombee haukugombea kama mgombea binafsi, serikali yako ni serikali ya wananchi na kwakuwa nchi hii ni ya vyama vingi ni serikali ya CCM.
Kwanini Dr. Magufu hakwenda kuwakosoa watangulizi wake Ulaya? Sababu kubwa aliogopa kwenda Ulaya na kwingeneko kwa kuwa kuongea kiingereza kwake ilikuwa ni shida mno, na kwa vile mwenyewe alijifahamu kuwa hata akiandikiwa mara nyingi alikuwa hasomi sana yaliondikwa. Lazima shida ingepatikana kwenye kuchomekea ambayo alitamani kuchomekea.
Ni kichaa tu na uhayawani ile tu kutamka jina NYERERE unapomjadili Magufuli.Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Magufuli alikithirisha kibri, nayeye Alikuwa bingwa wakuwananga viongozi wenzie waliopita,Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Magufuli mbona yeye alikuwa anamnanga Kikwete na wote waliopita adharaniAfanye kazi asipoteze muda kwa kumjadili hayati kwa Sasa km alikuwa hakubaliani na itikadi ya mtangulizi wake alitakiwa kung'atuka mapema,kitendo Cha kwenda kunang'a hayati ughaibuni Ni kukosa busara za kiongozi