Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

Ni kichaa tu na uhayawani ile tu kutamka jina NYERERE unapomjadili Magufuli.

Nyerere utamfananisha na akina Nelson Mandela, Kwame Nkrumah au Mahtma Gandhi.

Hiyo takataka haifai hata kuifananisha na BW Mkapa au JKikwette SIKUBALIANI kabisa
Hapa dawa uharakishwe mchakato wa kuipata katiba mpya ,hatuhitaji kutafuta namna ya kutofautisha mbivu na mbichi,kwani zenyewe zitajianika hadharani 🤔
 
Magufuli alikithirisha kibri, nayeye Alikuwa bingwa wakuwananga viongozi wenzie waliopita,

Nanyi wafuasi wa Magufuli kutwa mnamtukana Samia, Sasa na sisi tutaeleza bayana mabaya ya huyo mungu wenu,mkae mtulie haswaa
Dawa tuipate katiba mpya ubishi wote kwisheye🏃🏃🏃
 
Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.

Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.

Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Aliyazungumza hayo akiwa tayari amestaafu ina maana alijitathmini. Magufuli hakupata muda wa kujitathmini alitwaliwa mapema. Hata mkapa na mwinyi nao walikiri baadhi ya madhaifu yao wakiwa tayari wamestaafu. Bado mzee wa msoga nadhani atakua anafanya timing.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Haambiliki, mchongameno, majina haya alipewa mitaani, kuhusu kumpa za usoni naye alipewa pamoja na kukasirika kwake.
 
Utamsigina Nyerere wakati akiwa hai? Hayo maneno ya haambiliki yalifahamika baada ya yeye kufariki..

Swala wapi pa kuongea ni kesi nyingine ila ukweli ni kwamba Mwendazake alikuwa Rais wa hovyo Sana,mwenye kiburi na aliyedharau na kudhalilisha wenzake.
 
Aliyazungumza hayo akiwa tayari amestaafu ina maana alijitathmini. Magufuli hakupata muda wa kujitathmini alitwaliwa mapema. Hata mkapa na mwinyi nao walikiri baadhi ya madhaifu yao wakiwa tayari wamestaafu. Bado mzee wa msoga nadhani atakua anafanya timing.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Bado bwana yule alitawaliwa na jeuri tu isiyokuwa na maana yoyote.Na iwe funzo kwa wengine.Unapoeleza kwamba JK anafanya "timing",mbona hashutumiwi kwa kiasi hicho?Tujifunze kuushi "kibinadamu" ili ubinadamu ututetee baadaye bila kung'ang'aniza kujitetea wenyewe.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Ligasi ya kiongozi wa malaika inatetewa kwa kila mbinu. Poleni sana sukuma gang.
 
Nafikiri chifu kaamua kumuumbua kibajaji aliyeropoka bungeni kuwa "chifu na jiwe kitu kimoja"
 
..tena Maza amemsitiri sana Jpm.

..angeweza kutoa siri zote mpaka za mambo ya kikatili ya awamu ya 5 lakini amekuwa mstaarabu kusema alichosema.
Akisema huko alafu inakuaje sasa,wazungu watamuonea huruma au?,waafrika tuna shida sana
 
Nafikiri hoja hapa sio kutokosoa mambo ya kikatiri ya awamu ya tano. Kwa nini ayasemehe huko Usa?

Kwa uwezo wako mdogo unadhania kama kuna ukatiri ulifanyika awamu ya tano hausiki?

Alisemaje juu ya Lissu? Hakusema kuwa kama alipigwa risasi na askari wa Tanzania basi ansingepona maana askari wa Tanzania hawezi kukosa shabaha na kupoteza risasi 36.

Tindo tumia akili.

Mtu mshenzi anapaswa kusemewa popote.

Halafu mnapoambiwa tudai katiba mpya itakayopunguza madaraka makubwa ya rais, mnajifanya wananchi wanataka maendeleo na sio katiba. Sasa umebaki unalialia hapa. Kumbuka CAG professor Assad alisema bunge ni dhaifu akiwa nje akawajibishwa huku kilio ni kuwa kwanini kasemea hayo nje ya nchi. Leo hii rais kafanya kile kile alichofanya Assad, ila kwakuwa ana madaraka makubwa ccm mnayoona sifa kuendelea kuwa nayo, basi wote mtaufyata. Dai katiba acha kulialia, vinginevyo dhalimu ataendelea kupewa ukweli wake popote hapa duniani.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
So far Nyerere si wa kufananisha na Rais mwingine yoyote, Period.
 
Tofauti na wewe ni mapumbu tu ndiyo unaringia. Ina nini kichwani wewe ambacho unamzidi mwanamke?
Hilo pumbu lina effects hadi kichwani. Kua na pumbu tu kuna relationship kubwa na maamuzi kichwani kwa hiyo hicho ndicho nachomzidi.

Mwanamke ni mwanamke tu. Ndio maana hata Marekani wanakesha na kuomba Biden asije kufa akiwa mamlakani yule mama akachukua nchi, hawataki itokee kabisa na wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.

Madhara mojawapo ndio haya, mwanamke haaminiki, anaweza kuropoka chochote mahala popote maana ni watu wanaotumia hisia zaidi kuliko akili.
 
Back
Top Bottom