Hataki kunipa talaka

Unadundwa alafu upo tu!.. subili aje akuue au akupe ulemavu Wa maisha alafu aoe mke mwingine ndo utajua..
 
Unadundwa alafu upo tu!.. subili aje akuue au akupe ulemavu Wa maisha alafu aoe mke mwingine ndo utajua..


unataka uwe attacked humu na [HASHTAG]#akili[/HASHTAG] unazo eh??tunaambiwa sisi tunamshauri vbyy,,,mm usinipige aic,nimesema mm kuna mtu nimemharibia had siku yake,kituko
 
unataka uwe attacked humu na [HASHTAG]#akili[/HASHTAG] unazo eh??tunaambiwa sisi tunamshauri vbyy,,,mm usinipige aic,nimesema mm kuna mtu nimemharibia had siku yake,kituko
Wapuuzi hao kuna matukio kibao ya wanawake kuuwawa au kuachwa na ulemavu alafu MTU anatetea upuuzi.wanawake nao tujitambue uvumilivu una mipaka yake wanaobaki kuteseka ni watoto wako wanaume wachache sana wanaweza kulea watoto.
 
Wewe ni wakili mwanamke au ni wafu wanazikana?
 
hilo neno aic maana yake nini mamii?
 
Mpe wewe taraka kwakua ndio muhitaji wa taraka
 
Pole kwa yaliyokukuta wengne wanacomment kukukejeli cuz hayajawakuta. Wala usiachane nae anyway umemuambia nae akakujibu vibaya siyo kwamba hajui kwamba kakosa anajua ila ameona atumie defence mechanisms ili msilumbane sana. Kama unaweza kupotezea we potezea tu ila akikaa sawa mwambie alichofanya siyo fear hawa waupande wa pili niwatata sna chamsingi potezea maisha yasonge kwan ukitaka rafiki asiye na dosari hutampata utaishi mpweke maisha yako yote. Pole sana bibie yt ni majaribu muombe mungu hilo jaribu litapita salama.
 
Talaka si jambo la kumshauri mtu,hairuhusiwi
 
We utakuwa uliolewa bila kujiandaa, yaani unataka talaka kuvunja ndoa kabisa kwa kukuta chats ! Au hujui maana ya talaka
 
ina maaana hujaona aliposema anapigwa?/au hujui maana ya kichapo??naona nikiendelea nkujibizana na ww nitraendelea kukudharau,,haya umeshinda ww,msome mamy k tena uelewe acha kukurupuka basi

Ananipiga, tena hata mbele za watu wengine, nimevumilia, sasa kama kapata mwingine ndio namuachia nae zamu yake aje ayaone.
 
Pole sana mkuu ila ni iv mwanaume hajishushaji kirais ivyo ila pale ulipo gundua anacheat na yy kajua umejua hyo mambo itakua kashaacha we tulia myajenge mambo ya wewe kukomalia talaka hyo ni kuanzisha ligi, mana najua kudai talaka ni kutaka mgawane mali ila madhara yake huyajui tu
 
Ananipiga, tena hata mbele za watu wengine, nimevumilia, sasa kama kapata mwingine ndio namuachia nae zamu yake aje ayaone.


kuna mtu humu aliniattack balaa kuwa hupigwi ngoja aje aendelee kukushauri,pole sn
 

Punguza ghadhab.

Usiachane na mumeo kwa whatsapp na wewe anza ku chat nae kimahaba.
 
Kwanza nilicho gundua wewe ndio sababu ya mumeo kuwa na michepuko hufai kuitwa mke inaonekana una matatizo ndani mwanaume ametafuta pa kumuliwaza maana mwanamke aliye toka kwenye familia inayo jitambua hawezi kupost maisha yake ya mdoa kwenye mitandao wakati wazazi wapo kwanini usilipeleke kwa wazazi. Ulilete hum wewe ni punguwani ningekuwa namjua mumeo ninge mwambia akupe taraka hufai hata kidogo
 
God bless the women kwa kweli!
Huyu hahitaji talaka. Anachotaka kutoka moyoni mwakev ni kuombwa msamaha tu, baaasi. I hope all men are taking notes here.
Yap yap kamsamahaa kiduchu tuu. Iloo janaumee naloo falaaa tuu kumsound mkewe linashindwa linanunaa
 
Kaa Chini uzungumze nae au tafuta mtu wake wa karibu anae muheshimu sana, umuelezee kisa chote, then aende kusema nae ili aache tabia hiyo. Miaka 7 katika ndoa ni michache sana, pia kaa ufikirie ni wapi ulipokosea hata mume wako akatoka nje kwani wengi wenu mkishaolewa mnachukulia mazoea tu, hamuoneshi yale mapenzi mdio kuwa nayo kabla ya ndoa, na hata mnapotakiwa kwenye tendo mnaleta story za kuchoka.
 
Wakishambeba akawekwa lokapu akikaa nyumbani siku mbili akaparara,pesa yakulaa ikaisha anakwenda mwenyewe kumchomoa. Swalaa azungumze nae tuu yaishee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…