Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

Nilienda ile Op ya kwanza kabisa ya kwa Mujibu kabisa na jambo nilitoka nalo ni kuwa siwezi kuruhusu ndugu yangu wa kike au binti yangu akaenda kwenye hayo mafunzo ..

Mtoa uzi yuko sahihi sana kwenye baadhi ya point zake...Mpeleke mtoto wako wa kike au ndugu yako for your own risk.

Mambo ya kwenda kuvuna mahindi na kuandaa mashamba kwa ajili ya vigogo ambao hawana uchungu wowote na watanganyika ya kazi gani.?

Jambo jingine ni kuwa kila binti au kijana wa kiume alivuliwa nguo zote na kukaguliwa akiwa mtupu...Hii moment iliwavuruga sana mabinti.

Bado ile moment ya vibint vidogo kutakwa na Maafande kwa nguvu ambao wengi ni watu wa zima sana..
 
Uko sahihi Mkuu juulize tuu hawa viongozi walioko sasa madarakani wengi wao walipitia hayo mafunzo Je wanauzalendo gani juu ya Mama Tanzania.?

Vipi kuhusu Wabunge walikuwa wanapelekwa huko wanauzalendo gani.?

Ni moment ya kupotezeana rasilimali muda.
 
Acheni siasa zenu za kijinga mpaka mambo ya msingi ya nchi kwani jkt imeanza leo mpaka ulete povu lote hilo?
Si bora huku ni wahitimu wa kidato cha 6 tu nchi nyingine ni kwa kila raia ni lazima kupata mafunzo ya kijeshi bila kujali na ukithubutu kukwepa jera inakuhusu.
Huyo binti yako unaye sema ataenda kunyanyaswa kijinsia si ajabu kukuta amesha liwa na wanaume si chini ya 15 tena wengine wanaokuzidi umri mpaka ww baba yake.
 
Unajua maana ya JKT..?

Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "

Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
JKT sio tuisheni mkuu. Ni makambi ya mateso kama yalivyo makambi ya mateso ya Gwantanamo
 

Unyanyasaji wa kijinsia mara nyingi hujitokeza pale mwanamke/binti akileta tabia za kimalaya Malaya

Uko jeshini, shuleni, chuoni unaleta u-slayqueen, binti hutembei kwa heshima, unarembua rembua unamrembulia Nani,

Ukijiheshimu utaheshimiwa.
Unarembua rembua unafikiri Kila MTU mvumilivu(anavumilia ujinga) wengine wanakunyorosha

Hata huko chuoni ukisikia rushwa za ngono sijui nini mara nyingi zinatokea kwa mabinti wasioji-keep kama wadada wenye kujiheshimu.
 
Kama una mtoto wa kike mpeleke tu JKT mkuu. Ila nakushauri kabla ya kumpeleka huko mpime mimba na UKIMWI. Akirudi mpime pia. Asipokuwa ameambukizwa moja ya hayo magonjwa mawili au yote mawili kwa pamoja, njoo unishukuru.
 
Pole sana mkuu. Haya ni mojawapo ya madhara makuu ya JKT. Kama una mtoto wako wa kidato cha sita usithubutu kabisa kumpeleka huko kwenye makambi ya mateso na uovu.
 
Umeongea point nzuri sana.
Nilipitia jeshi na sitaweza kumtaka mwingine apitie mateso ya kipuuzi namna ile
Jeshini kuna mambo ya kipuuzi sana, hasa kwa maofisa wa chini. Wanaolifaidi jeshi ni wale maofisa wenye vyeo vikubwa. Jeshini kuna upumbavu mwingi sana mkuu.
 
Bnt ukiwa legelege lzm utagongw tu

Ova
 
Unalazimisha kupeleka vijana JKT wakitoka huko wanakuta, watawala hawana falsafa ya uzalendo, mifumo haifanyi kazi, rushwa imetamalaki kila pahala na ajira za kupeana vi memo.
Mwisho wa siku anagundua kuwa uzalendo feki aliofunzwa huko JKT hauna maana yoyote, mtu kama huyu kweli ni rahisi kuingizwa kwenye vikundi vya kufanya maovu.
Haya mambo ya kupeleka vijana kwenye jeshi yanafanya kazi kwenye nchi zenye viongozi wanaotambua wajibu wao kwa wananchi.
 
Bora enzi zetu mambo hayo yaliondolewa
Wengine wazazi wetu walitamani tupelekwe huko
😄 tukanyooshwe

Ova
 
Unajua maana ya JKT..?

Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "

Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Mbona karibia mafisadi wote na waliouza rasilimali za nchi kiholela wamepitia JKT na wengine kuwa maafisa wa jeshi kabisa??
 
Kama una mtoto wa kike mpeleke tu JKT ni mkuu. Ila nakushauri kabla kabla ya kumpeleka huko mpime mimba na UKIMWI. Akirudi mpime pia. Asipokuwa ameambukizwa moja ya hayo magonjwa mawili au yote mawili kwa pamoja, njoo unishukuru.
Binti yako kama anatabia za kimalaya ukimwi na mimba atazipatia hata akiwa nyumbani kwako ungetafuta kusingizio kingine ,labda za kutoona faida ya hiyo jkt ungekuwa na hoja lakini sio hicho kisingizio cha kipumbavu ulicho kisema.
 
Hao gen z waende JKT kwa lazima,Wana mapungufu mengi mno
Watoto wa kike kutiwa huko kambini na trainers hutokana na kupenda kwao urahisi,ipo kesi bulombola 2012 afande alimbikiri binti,aliadhibiwa
 
Binti yako kama anatabia za kimalaya ukimwi na mimba atazipatia hata akiwa nyumbani kwako ungetafuta kusingizio kingine ,labda za kutoona faida ya hiyo jkt ungekuwa na hoja lakini sio hicho kisingizio cha kipumbavu ulicho kisema.
JKT ina faida sana kwa hiki kizazi,hiki kizazi kina mapungufu mengi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…