Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

Atajifunza ukakamavu na ujuzi
 
Wanalazimishwa?
Kwani usipoenda unakamatwa na kushitakiwa?
 
Hata kidato cha nne wanaenda JKT
 
Wanaenda kufundishwa Rushwa hasa ya Ngono. Mtu kama huyo atoke hapo afike Daslam pale IFM atawasambazia Lecturers ngono vibaya mnooo hakuna kuumiza kichwa wala kubana budget ni kupanua mapaja tu Semester zinakata na Bills zinalipwa Life linasonga.
 
Niambie Ridhiwani na Abdul walienda JKT ya wapi
Vijana lazima wawe wakakamavu inawasaidia kuwa na nidhamu maishani pia kuheshimu mamlaka zinazokuwepo.

Asilimia 99 ya Gen Z walioingia barabarani na kufanya fujo ni matunda ya ukosefu wa mafunzo ya JKT, wamekuzwa na hizi Iphone14 wamekuzwa bila ya uwepo wa sauti ya mamlaka maishani mwao.

Wamechoma moto biashara za watu wamewafilisi watu kwa ubinafsi wao halafu wanataka Rais Samia ndio apelekwe ICC kushtakiwa, very stupid minds.
 
Hii nchi wajinga ni wengi na kuwatoa tongotongo sizan km ni kazi rahisi chamuhimu mm na ww tuwalinde wanetu tu
 
Israel wanajitambua. Hapa Tanzania kuna use.ngerema mwingi sana.
 
Una uhakika na ushahidi kiasi gani na haya unayobwabwaja hapa?
 
Nonsense 🚮
 
Najua kuwa mpaka leo, Israel wanakwenda JKT yao tuliyoiga na kila kijana anaruhusiwa kukaa na bunduki yake yenye risasi za moto wakati wote, na mambo yao yako vizuri licha ya kuharibiwa jina na Netanyahu.
Usifananishe Israel na Wahuni.
Kwanza huo utaratibu wa kuruta kukaa na bunduki zenye risasi za moto muda wote kwa Tz hakuna.

Pili, mambo ni nafuu kidogo kwa wavulana, ila mabinti wanapata tabu sana huko.

Pia, hizo ngojera za uzalendo ni uongo na unafiki mtupu. Hao wajeda ni washirika wakubwa kwenye wizi wa chaguzi nchini. Wangekuwa na huo uzalendo wasingenyamazia huo uhalifu wa wazi
 
Enzi zetu aliekuwa Mkuu wa JKT alikuwa akisema, msichana yeyote anaeliwa ovyo na makamanda jeshini ni kwamba anapenda sushi. La sivyo makamanda itabidi waisulubu kombania yote, wavulana na wasichana, ili kumkomoa yeye, jambo ambalo hawezi kulalamika yeye peke yake kwamba lilisababisha aliwe.
 
Pili, mambo ni nafuu kidogo kwa wavulana, ila mabinti wanapata tabu sana huko.
Nimesema hapo juu, "Enzi zetu aliekuwa Mkuu wa JKT alikuwa akisema, msichana yeyote anaeliwa ovyo na makamanda jeshini ni kwamba anapenda sushi. La sivyo makamanda itabidi waisulubu kombania yote, wavulana na wasichana, ili kumkomoa yeye, jambo ambalo hawezi kulalamika yeye peke yake kwamba lilisababisha aliwe".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…