HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Bado sijafikia point ya kuu-doubt uelewa wako nahisi nipo bado ktk nafasi nzuri ya kukuelewesha.

Sikusema yupo sahihi au hayupo sahihi nilimwambia kwanini alichoki-post ktk post yake ya kwanza kwenye huu uzi hakuandika anachohisi alikiona kibaya ili kiwe msingi wa hoja yake?akaja na story za kuandika kidogo kisha kuanza kusema nitarudi kama wafanyavyo waandika hadithi wa humu yaani alichokishuhudia akiwa aged 7/8 leo aandike post #1 to #5 kama siyo uwongo nini?

HATARI: Zama za wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati msingi wa hoja zangu upo ktk post hii nikimjibu post yake hii HATARI: Zama za wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Unionyeshe wewe nilipotetea huu ujinga maana sikumbuki kufanya hivyo.
 
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.
 
Ok, Ok, Ok..!!! TUACHIE UKATOLIKI WETU..!! Nyie wekeni zama mpya huko kwenye imani yenu. Hivi hamfiki mbinguni/firdausi mpaka muwashambulie wakatoliki?
Achana na hao watu mkuu,kila mtu asimame ktk njia anayoona yeye inamfaa hawa watakuchosha akili tu.
 
Sitaki kuwakwadha watu mkuu, acha nibaki nayo tu
Ndiyo unazidi kuwapa watu hofu wewe kama ulishaamua kuandika andika!!!

Hapa ndo na mimi nathibitisha nilichosema kwamba umejitungia maana umejua ukiandika utazidi kubanwa na wanaojua yanayofanyika Sakristia.

Kwani ulikuwa unapata faida gani kuandika ambayo huyajui just kupata likes kutoka kwa watu ambao wala wasingekusaidia japo hata chupa ya maji???
 
Ndiyo unazidi kuwapa watu hofu wewe kama ulishaamua kuandika andika!!!
Wewe ndie ulieniambia niandike nikaanza kuandika alafu baadae wewe wewe ndie uliekuja kunizuia nisiandike kwa madai kwamba naandika uongo, we mtu una akili kweli au una matatizo ya akili?

Emu niache soon utaingia kwenye ignore list
 
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.

jibu ni kwamba huko kwny dhehebu lenu la kipagani ndiko mnakodanganyana kwmb petro na paul walikuwa wakatoliki ndo maana hapa unakurupuka eti walizkwa vatcan na vatcan ndko aliko mpinga KRISTO papa si huwa mnafundshana papa wa kwanza alikuwa petro wkt si kweli. Kukalia karoti? Huko kwenu ndo viti vyenu eeh bs utambue si wote tuna utamadun huo.
 
Wasabato ni wataalamu wa dawa za mitishamba, mambo ya imani mtawaonea.
Ninae kaka yangu mmoja akianza kukwambia hiyo mbingu yao ya kufikirika huwa namwangalia kisha namwambia "Bro,sema umefata nini tumalizane uwahi" maana once mtu akishaingia humo anakuwa narrow minded kiasi vitu seriously anachukulia juu juu tu.

Hata uwezo wa kufikiri hushuka.
 
Ndo maana nimekwambia be specific, lakini bado unaandika kama mkalia magunia ya karoti.

Alafu mbona unaandika maneno mengi kama jinsi B.

Jinsi A huwa direct to the point.

Unaandika mlolongo wa pumba hata kuweka paragraph na vituo hujui, huko shule ulienda kuuza maandazi?

Peter na Paul walizikwa wapi? Na citation plz.


*Lakini wakati unajibu ukumbuke kwamba huna akili.
 
Wewe ndie ulieniambia niandike nikaanza kuandika alafu baadae wewe wewe ndie uliekuja kunizuia nisiandike kwa madai kwamba naandika uongo, we mtu una akili kweli au una matatizo ya akili?

Emu niache soon utaingia kwenye ignore list
Sikukwambia usiandike nikuzuie kuandika namiliki server za JF mimi?

Nilichokwambia ni nilihisi ulichokuwa uandike baada ya post yako ya kwanza kingekuwa cha kutunga.wewe maliza gazette lako ukalale maana umewaamsha watu ari ya kusikia uchafu wa Catholic kisha unajitenga pembeni.

Hiyo paragraph ya mwisho,unanijua au tunajuana kiasi iwe kuingia kwenye ignore list yako ni issue sana kwangu?
 
Siku zote mpango wa mwanadamu hufeli.
Yesu alishaondoa huo utaratibu wa kutubu kwa mwanadamu isipokuwa kwa Mungu pekee.
 
Wewe ulishazuia nisiandike natunga uongo sasa unaniambiaje niendelee, mkuu unajua unachokiandika lakini au unaandika ili uonekane na wewe umeandika?
 
Siku zote mpango wa mwanadamu hufeli.
Yesu alishaondoa huo utaratibu wa kutubu kwa mwanadamu isipokuwa kwa Mungu pekee.
Kaka Glenn,

Swala la imani ni swala pana sana.

Mfano. Wayahudi bado wanaamini katika torati, na hawakubali hata kidogo kwamba YESU alishakuja.

Ila wanaamini YESU atakuja.

Kwa msingi huo, hawaamini kabisa agano jipya, katakata.

Na ukumbuke huko ndo chimbuko la imani.
 
Sawa, kwahyo anayesamehe dhambi ni Mungu au padri?
 
Kanisani katoliki for life
 
Kesi ya Padre mmoja au wachache haibadili ukatoliki
Kwa sasa Kesi za uchafu wa mapadri ni nyingi mnoo na ziko dunia nzima. Tuseme ukweli tu, mapadri wengi wa kizazi hiki hawajatulia. Kuna wazinzi, walevi, wafiraji, wabakaji, mafisadi mpaka wauaji. Kwangu mimi hilo sio la ajabu kwa sababu, mapadri ni watu sawa sawa na watu wengine, ni waumini kama maumini wengi, hivyo uchafu unaofanywa na watu wengine au waumini wengine unaweza kufanywa vile vile na Padri kwa kiwango kile kile au zaidi. Tatizo liko pale ambapo muumini anapolazimika kutubu dhambi zake mbele ya Padri ambaye naye ni mchafu. Hii unaiona ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…