Haya mambo magumu sana mkuu π π πKwahyo Mungu anahitaji msimamizi hapo katikati ili asamehe? (padri).
Yani nataka kujua kabisa core function ya padri hapo maana umesema hasamehi
Mkuu definition ya imani.Haya mambo magumu sana mkuu π π π
Mtu anaweza kusema OK, tumu-exclude huyo padre na ushiriki wake wote, twende kwenye logic.
Kwann unaabudu na kutubu dhambi kwa Mungu ambaye hujawahi kumwona wala hakuna aliyekurithisha hajawahi kumwona? Ulimwaminije bila clear proof?
Sasa atheist akikuita taahira kwa kumuabudu Mungu ambaye hujawahi kumwona na maandiko yenu yanasema hakuna atakayemwona mpaka afe utakataa?Matahira hayo achana nayo
πππππKwahyo wakuu mkishamuambia padri yeye ndo anaenda kumwambia mungu au?
Na ukumbuke yeye uliyemuuliza atakwambia ni swala la kiimani, na hivyo hawezi kukupa jibu, na wewe hutoweza kumpa jibu. Mtabaki tu kwenye never ending arguments.Mkuu definition ya imani.
Ni kuwa na uhakika wa jambo bila kuwa na ushahidi.
Mada nimeipata nimeandika kwa wale ambao wameongelea mengine nje ya mada hiiNdugu yangu umeelewa mada?
Mada ni kama kuna mantiki ya kuendelea na utaratibu wa mkatoliki kutubu mbele ya Padri wakati mapadri wengi wana sifa mbaya, wasiotunza siri nk
Obviously ume-panic!!!Wewe nishakuelewa mkuu nyinyi ndio wale wale mnaojifanya mnalipamba kanisa mkiwa nje ila mkiingia ndani mnalichafua tena mnalichafua vibaya, sikuandika kupata chochote hata bando nililojiunga nimenunua kwa pesa yangu sijakuomba hata senti moja na kingine sijajiunga JF kwa sababu ya kupata likes pale ninapoandika jambo, maelezo yako yanaonyesha ni jinsi gan ulivyo narrow minded, uwe na mipaka katika kile unachokiandika alafu unazidi kuwaaibisha na wengine kwa kujionyesha jinsi mlivyo, mnapenda
sana kuonekanaa nyinyi ndio wakweli zaidi ila wengine ni waongo, that's bad biblia haifundishi hivyo labda hio kampuni yenu ndio inayowafundisha hivyo
Wayahudi hawaamini yesu atakuja,wanamchukulia Kama mvurugaji,mtoto wa zinaa,wao wanamsubiri masihi waoKaka Glenn,
Swala la imani ni swala pana sana.
Mfano. Wayahudi bado wanaamini katika torati, na hawakubali hata kidogo kwamba YESU alishakuja.
Ila wanaamini YESU atakuja.
Kwa msingi huo, hawaamini kabisa agano jipya, katakata.
Na ukumbuke huko ndo chimbuko la imani.
Si huwa anakujibu pale umesamehewa..so kawasiliana na mungu au yeye ndiyo kasameheAnayesamehe dhambi ni Mungu kazi ya Padre ni kuwa shahidi na kusimama kama muongozaji tu that's why ukishamaliza anakwambia nenda kasali sala moja mbili tatu the rest yanabaki kwa Mungu mwenyewe.
Clear proof ni nini!?Haya mambo magumu sana mkuu π π π
Mtu anaweza kusema OK, tumu-exclude huyo padre na ushiriki wake wote, twende kwenye logic.
Kwann unaabudu na kutubu dhambi kwa Mungu ambaye hujawahi kumwona wala hakuna aliyekurithisha hajawahi kumwona? Ulimwaminije bila clear proof?
Milele Amina.Wakatoliki unaweza ukawaponda weweeeee tukabaki tunakuangalia
Hatunaga shida na mtu.
Siwezi nikajiita mlokole halafu baadaye nakunywa pombe kwa kujificha.
Tumsifu Yesu Kristo
Acha kujifanya kwamba wewe ndio unaejua sana unazidi kujipaka kinyesi unajichafua mwenyewe, narudia tena nyinyi mnaojifanya mnalipamba kanisa mkiwa nje nyinyi nyinyi ndio wa kwanza kulichafua kanisa mnapokua ndani tena mnalichafua vibaya, ndani ya kanisa kuna machafu mengi yanafanyika ila wapo wanaofunika na kuacha maisha mengine yaendelee ila kila mtu akiamua kusema yatasemwa mengimara hujaniomba hata cent blah blah blahs humu sote tupo kuelimishana na kueleweshana vizuri tukiwa tunaandika ukweli maana maandishi tunayoandika hapa yatabaki vizazi na vizazi.
Bado ukipeleka hoja yako kwenye context pana lina-fit.Mada nimeipata nimeandika kwa wale ambao wameongelea mengine nje ya mada hii
Binafsi kutubu mbele ya padri mwisho ilikuwa kwenye sakramenti ya kipaimara sijawahi rudia mpaka kesho
Ndo maana nikasema haya mambo watu wanabishania wakidhani ni maraisi sana, lakini ni mapana na mazito sana.Wayahudi hawaamini yesu atakuja,wanamchukulia Kama mvurugaji,mtoto wa zinaa,wao wanamsubiri masihi wao
Kuna kitu ulipitishiwa ukaona hata sintoweza kulimudu acha nitulie umefanya vyema mnoSamahani kwa ntakayoyasema hapa hii inanihusu na nasema ukweli
Nakumbuka kuna kipindi nilikua napenda sana masuala ya upadre hususani ubraza na yale maisha ya utawa vile mapadri wanavyoishi yaan nilikua napenda sana ilinivutia kuona wale mabraza jinsi wanavyovaa na kupendeza zile nguo zao za kimisionari
Basi nikaenda kuomba kuanza kujifunza kusimamia kanisani pale mbele, enzi hizo nakumbuka nilikua mdogo sana nilikua km na miaka 7/8 hivi nilimwambia mzee mimi napenda sana kuhudumia kanisani mzee akakubari ila kipindi hicho mzee alikua busy sana kukaa nae mezani ilikua imezidi sana dakika 5 yeye ni mtu wa kazi na kazi na yeye muda wa kukaa na sisi labda wiki end
Basi nikapeleka barua kwenye jumuiya kutoka kanisani ikaenda ikasainiwa na mwenyekiti safi nikarudisha kanisani nikaanza mafundisho ya kutumikia, I am telling you niliweza kuhudhulia wiki moja tu narudia tena nilihudhulia mafunzo ya kutumikia wiki moja tu baada ya hapo nilikaa pembeni mwenyewe yaani niliacha mwenyewe bila kulazimishwa na mtu
Mzee aliponiona sihudhurii tena yale mafundisho akaanza kunihoji vipi mboni hauendi tena kujifunza kutumikia kanisani, umeacha? Nikamwambia mzee nimegairisha sitaki tena kusikia habari za kutumikia kanisani, kuanzia hapo nikaanza kuchukia zile habari za kutumikia na wale mabraza pamoja na wale wanaotumikia kanisani nikawa siwakubari tena km jinsi nilivyokua nawakubari pale mwanzo kabla sijajiunga na mafundisho ya kutumikia kanisani
Niliona nini? Hio ni Siri yangu..
Clear proof ni nini!?
Kama wewe ni mkatoliki na unauliza hilo swali basi nadhani unatakiwa kurudi mafundisho uanze kusoma katekismo. Hatutubu kwa padre Bali kwa Mungu na padre pale yupo kama shahidi na anatoa maelekezo ya malipizi kama alivyoambiwa mtume Petro kwamba atakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa na atakalolifungua duniani mbinguni limefunguliwa.Umuhimu wa Padre unabaki palepale.Uchafu au skendo za baadhi yao hauondoi uhalali na umuhimu wao katika kutoa sakrament ya upatanisho. Kama ni hivyo basi hata kwenye kufungisha ndoa wasiwepo! Maana ni baina yenu wawili, au kwenye maazishi au shughuli zingine za kiroho.Kwa sasa Kesi za uchafu wa mapadri ni nyingi mnoo na ziko dunia nzima. Tuseme ukweli tu, mapadri wengi wa kizazi hiki hawajatulia. Kuna wazinzi, walevi, wafiraji, wabakaji, mafisadi mpaka wauaji. Kwangu mimi hilo sio la ajabu kwa sababu, mapadri ni watu sawa sawa na watu wengine, ni waumini kama maumini wengi, hivyo uchafu unaofanywa na watu wengine au waumini wengine unaweza kufanywa vile vile na Padri kwa kiwango kile kile au zaidi. Tatizo liko pale ambapo muumini anapolazimika kutubu dhambi zake mbele ya Padri ambaye naye ni mchafu. Hii unaiona ni sahihi?
Sijakuelewa mkuu,Kuna kitu ulipitishiwa ukaona hata sintoweza kulimudu acha nitulie umefanya vyema mno