HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Kwani hii dini yenu haiendi na wakati?

Kumbe na yenyewe inabadilika mura unavyoenda kama vifungu vya katiba?

Ni wakati sasa muse na rasimu yenu kama ya warioba kubadilisha taratibu za dni yenu
 
Wewe hujui unachokiongea mkuu, tena usinitake niongee nitamwaga kila ushenzi unaofanyika kule utashikwa na aibu

Wewe jamaa bana unamtisha nani bado hujakomaa kiimani tambua padre/watawa ni binadamu kama wewe wanaingia dhambini jiulize kabla ya kuwananga humu umewaombea mara ngapi
 
Wewe jamaa bana unamtisha nani bado hujakomaa kiimani tambua padre/watawa ni binadamu kama wewe wanaingia dhambini jiulize kabla ya kuwananga humu umewaombea mara ngapi
Sijawananga mkuu, ila nashukuru kueleza ukweli kwamba wao pia ni watenda dhambi wakubwa lakini wanatuungamisha yaan mchafu anamsafisha mchafu kwa uchafu kisha wote wanaendelea kua wachafu

Sorry for this comment usikunje sura..
 
Unaonaje ukwaambia na Waislam waache kupeleka watoto wao Madrasa maana kuna waalimu wa madrasa wanaolawiti watoto.
Kosa la Padri kuwa mlawiti ni sawa na mwalimu wa madrasa kulawiti wanafunzi wake.
Njoo na mbadala wa namna ya kuondoa hili tatizo na sio kushambulia Imani ya watu wengine.
 
Reforms zinahitajika sana Katoliki
 
Mi Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.
Mantiki ya kuungama mbele ya padri ni nini?
Nikisema na Mungu kwa habari ya toba pamoja na kuwaomba msamaha niliowakosea au kurudisha nilichoiba sitasamehewa?
 
Mi
Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.
Mantiki ya kuungama mbele ya padri ni nini?
Nikisema na Mungu kwa habari ya toba pamoja na kuwaomba msamaha niliowakosea au kurudisha nilichoiba sitasamehewa?
We si mkatoliki......
Na labda mkatoliki jina.
Biblia ipo clear kkabisa kwenye hili....
 
Nyie ongeeeni weee, semeni weeee lakini sisi hatuna hata habari na maisha yanasonga.
 
Kwanza ulichoandika ni mtizamo wako binafsi, kanisa katoliki haliwezi kubadilishwa na mtazamo wa mtu au watu. Kwanza watu hawangumi kwa padre wanaungama kwa Mungu. Padre ni mshuhudiaji tu wa ungamo ambalo hufanywa na mtu mwenyewe. na Wala siye anayeondoa dhambi, anyeondoa dhambi ni Mungu.

Pili hujui chochote kuhusu sakarament ya kitubio ndio maana umeandika ulichoandika. Ulichoandika sicho kinachofanyika kwa maneno mengineni hujui Theology of sacrament.

Tatu Kuna option ya kwenda makanisa mengine ambayo hayaungami kwa padre itumie hii itakusaidia.
 
Mi
Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.
Mantiki ya kuungama mbele ya padri ni nini?
Nikisema na Mungu kwa habari ya toba pamoja na kuwaomba msamaha niliowakosea au kurudisha nilichoiba sitasamehewa?
Acheni ujuaji kulichafua kanisa,
Lazima mwanaume kuwa na msimamo mnajifanya ooh mm n mkatoliki sasa wewe kama unanaona kanisa halikufai si unajiondoa tu madhehebu yapo kibao?
Hakuna anayekulazimisha kuwa mkatoliki .
 
kwani kutubu ni kumuabudu binadamu tena[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]....ukiwa na philosophy, psychology, bible knowledge, na vingine itakusaidia sana kujudge hivi vitu..ila kama una engineering itakupa shida

Biblia gani inasema nikatubie kwa kiongozi wa dini..

Yesu yupo alibeba na anaendelea kubeba dhambi zetu.
Toba ya kweli Ni ya mdhambi na Mungu na sio kumhusisha kiongozi
 
Pole.
 
Kwa hali ya sasa unaweza kutubu kwa Mbakaji watoto. Yaani mtu mhalifu kupita wewe.

Kuungama kumepitwa na wakati kabisa.
 
Safi Kabisa.Huyu mtoa uzi anadhani Sakramenti ya Kitubio ni km Sera za Wanasiasa ambazo wanaweza kuendeleza au kuzibadilisha muda wowote.
 

Najua hii huwezi kusema uliona nini??coz humo ndani kuna mambo ya ajabu sanaaaa,nakuomba usiseme coz kila mtu aendelee na imani yake !!
 
Wanafiki hamuishagi.Hii ni gia ya Wengi wanaouchukia Ukatoliki,stori kama hii au inayofanana na hii wewe ni kichwa cha ishirini,na nikijaribu kufutilia kiundani huwa nakuta Si Kweli bali ni Propaganda chafu ili kuchafua Kanisa Katoliki.
 
Umeona eenhh?!.Yaani kosa la mtu fulani lisababishe Kanisa kufa,Kweli?!!.
 
Hii si ndo ile dini ambayo walitaka kumpa mchawi nyerere utakatifu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…