Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Rais Samia

Huko AR kaandaliwa uchochoro tu wakuondokea... Samia alishajuta big time kurudisha hili garasa!! Angemuondoa tu hovi bila kitu ingeleta kelele na maswali mengi juu ya uwezo wa Samia kwenye teuzi!
Watanzania tunajua mna chuki roho mbaya mmejaa rushwa na roho kwantu mbwa nyie
 
Nilijua ile nafasi haimtoshi.
A town kapelekwa kuharibikiwa mwenyewe.
Nature imuengue asijesema wanamuonea.
Kwishney huyu
 
Haha Arusha tumeletewa kirobo kilichopo ndani tutajua mbeleni
 
Madon wa Ara Chuga wajiandae kumneemesha, huyu jamaa kwenye kujineemesha ndio eneo lake la kujidai
 
Huko AR kaandaliwa uchochoro tu wakuondokea... Samia alishajuta big time kurudisha hili garasa!! Angemuondoa tu hovi bila kitu ingeleta kelele na maswali mengi juu ya uwezo wa Samia kwenye teuzi!
Ni sahihi, akiwa RC ni rahisi kubwagwa chini.

Kule kwenye uenezi nafikiri hadi vikao ndio aweze kuondolewa.
 
Mbona majuzi alimsifia kuhusu ziara zake? Hata uko kapelekwa kimkakati kabisa…..
Nafikiri tukiacha kumchukia ndio atakosa chakula lakini tukiendelea kumchukia ndio basi tena……
Tatizo watu wanacheza na siasa za ccm. Wapinzani ndo kabisa, badala ya kuiwajibisha serikali, utaona wanabeba mabango ya kumzomea makonda kuondolewa uenezi. Badala ya kupiga kelele kuh kikokotoo, tozo, bei ya mafuta, bima ya afya iliyovurugwa, bandari, hatua kuh ripoti ya CAG, na sheria mbaya ya mishahara kwa wenza wa viongozi wakati hali za wananchi ni ngumu, sana sana utawasikia viongozi wa upinzani wanadai stahiki zao za ubunge baada ya kufukuzwa bungeni pa.oja na matibabu ya lissu!!
 
Hakika lakuvinda halina ubani,unaweza kusema hivyo kwa huyu dogo.

Baada ya kukabidhiwa usemaji wa chama akawa sasa ni mtu wa kutanua kifua na kuwashurutisha mawaziri.

Juzi tu akamtisha mdogo wake mfanyabiashara na kumwambia sasa utanijua,unajua mimi ni nani ndani ya chama?

Juzi juzi pale Kipawa anamfananisha Rais Samia na marehemu kuwa kila anachofanya Rais wa sasa ni kumuiga marehemu Magufuli.

Kitendo cha kumsema Rais wa nchi kuwa kila anachokifanya ni Sawa na alichofanya marehemu ni kumvunjia heshima kiongozi aliyepo madarakani.

Hili litakuwa ni fundisho kubwa Sana Kwa huyu kijana maana sasa anenda kuwa uraiani na kuhangaishana na kina Lema mitaani na jila lake la Bashite linaweza kutumika sasa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna point hapo..... Bunge lake ccm limeshindwa kuwajibisha unataka nani aiwajibishe?
 
Unajua haya mavyeo usijifanye mfia nchi au chama kuwa neutrol inatosha, sikuona sababu ya kumsemea mama kuhusu kulinganishwa kwa jpm na mama, kama mhe Rais linamkera yeye atalisemea.
Now you talk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…