Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulimalaani asingefika mbaliHakika lakuvinda halina ubani,unaweza kusema hivyo kwa huyu dogo.
Baada ya kukabidhiwa usemaji wa chama akawa sasa ni mtu wa kutanua kifua na kuwashurutisha mawaziri.
Juzi tu akamtisha mdogo wake mfanyabiashara na kumwambia sasa utanijua,unajua mimi ni nani ndani ya chama?
Juzi juzi pale Kipawa anamfananisha Rais Samia na marehemu kuwa kila anachofanya Rais wa sasa ni kumuiga marehemu Magufuli.
Kitendo cha kumsema Rais wa nchi kuwa kila anachokifanya ni Sawa na alichofanya marehemu ni kumvunjia heshima kiongozi aliyepo madarakani.
Hili litakuwa ni fundisho kubwa Sana Kwa huyu kijana maana sasa anenda kuwa uraiani na kuhangaishana na kina Lema mitaani na jila lake la Bashite linaweza kutumika sasa.View attachment 2949650
Kwa unyonge sana mkuu wanguNdivyo vinampa ulaji, la sivyo usingemuona sehemu yoyote ktk mamlaka
Inamaana wewe huoni wapinzani wanapokuwa wakikosoa au bas tu unajitoa akili?Tatizo watu wanacheza na siasa za ccm. Wapinzani ndo kabisa, badala ya kuiwajibisha serikali, utaona wanabeba mabango ya kumzomea makonda kuondolewa uenezi. Badala ya kupiga kelele kuh kikokotoo, tozo, bei ya mafuta, bima ya afya iliyovurugwa, bandari, hatua kuh ripoti ya CAG, na sheria mbaya ya mishahara kwa wenza wa viongozi wakati hali za wananchi ni ngumu, sana sana utawasikia viongozi wa upinzani wanadai stahiki zao za ubunge baada ya kufukuzwa bungeni pa.oja na matibabu ya lissu!!
Hili nimelielewa.....kwamba reference na jpmKitendo cha kumsema Rais wa nchi kuwa kila anachokifanya ni Sawa na alichofanya marehemu ni kumvunjia heshima kiongozi aliyepo madarakani.
DAB: Unanijua Mimi nani?Hakika lakuvinda halina ubani,unaweza kusema hivyo kwa huyu dogo.
Machalii wa R wataishi nae freshi tu maana jamaa amewekeza Arusha sana si mgeni kule.Zile drama za Dar es salaam sasa kuhamia Arusha ma chalii wa R kazi kwenu
Hakika lakuvinda halina ubani,unaweza kusema hivyo kwa huyu dogo.
Baada ya kukabidhiwa usemaji wa chama akawa sasa ni mtu wa kutanua kifua na kuwashurutisha mawaziri.
Juzi tu akamtisha mdogo wake mfanyabiashara na kumwambia sasa utanijua,unajua mimi ni nani ndani ya chama?
Juzi juzi pale Kipawa anamfananisha Rais Samia na marehemu kuwa kila anachofanya Rais wa sasa ni kumuiga marehemu Magufuli.
Kitendo cha kumsema Rais wa nchi kuwa kila anachokifanya ni Sawa na alichofanya marehemu ni kumvunjia heshima kiongozi aliyepo madarakani.
Hili litakuwa ni fundisho kubwa Sana Kwa huyu kijana maana sasa anenda kuwa uraiani na kuhangaishana na kina Lema mitaani na jila lake la Bashite linaweza kutumika sasa.View attachment 2949650
Hili nimelielewa.....kwamba reference na jpm
Itakuwa marehemu amechukia, atafananishwaje wakati tukishakubaliana hafananishwi na yeyote! Si aliyepita aliyepo au ajae anaweza kufanana na marehemu kiutendaji! Hili hata mbingu na ardhi vinafahamu.Juzi juzi pale Kipawa anamfananisha Rais Samia na marehemu kuwa kila anachofanya Rais wa sasa ni kumuiga marehemu Magufuli.
yaani ulivyovitaja vimemponza nini sasa kwa mifano 🐒Hakika lakuvinda halina ubani,unaweza kusema hivyo kwa huyu dogo.
Baada ya kukabidhiwa usemaji wa chama akawa sasa ni mtu wa kutanua kifua na kuwashurutisha mawaziri.
Juzi tu akamtisha mdogo wake mfanyabiashara na kumwambia sasa utanijua,unajua mimi ni nani ndani ya chama?
Juzi juzi pale Kipawa anamfananisha Rais Samia na marehemu kuwa kila anachofanya Rais wa sasa ni kumuiga marehemu Magufuli.
Kitendo cha kumsema Rais wa nchi kuwa kila anachokifanya ni Sawa na alichofanya marehemu ni kumvunjia heshima kiongozi aliyepo madarakani.
Hili litakuwa ni fundisho kubwa Sana Kwa huyu kijana maana sasa anenda kuwa uraiani na kuhangaishana na kina Lema mitaani na jila lake la Bashite linaweza kutumika sasa.View attachment 2949650
Hapo ni mwendo kupiga tik-tak za hatari na kuanza kujimilikisha billions. Sema atulie sasa maana ndio last kick yake. Akipigwa nje sahizi ndio bas tenaMadon wa Ara Chuga wajiandae kumneemesha, huyu jamaa kwenye kujineemesha ndio eneo lake la kujidai
Sasa rasmi kuwa Jina lake la Bashite linarudi midomoni mwa watanzaniaNdivyo vinampa ulaji, la sivyo usingemuona sehemu yoyote ktk mamlaka
Inategemea na aliyepo madarakani atalipokea vipi mzeeItakuwa marehemu amechukia, atafananishwaje wakati tukishakubaliana hafananishwi na yeyote! Si aliyepita aliyepo au ajae anaweza kufanana na marehemu kiutendaji! Hili hata mbingu na ardhi vinafahamu.
Hujui nafasi ya kuwa mwenezi wa chama tawalayaani ulivyovitaja vimemponza nini sasa kwa mifano [emoji205]
mtu alikua mtumishi wa chama na hivi sasa ni mtumishi katika serikali [emoji205]
Huyo huyoooooUnamaanisha DAB?