Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Rais Samia

Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Rais Samia

Huko AR kaandaliwa uchochoro tu wakuondokea... Samia alishajuta big time kurudisha hili garasa!! Angemuondoa tu hovi bila kitu ingeleta kelele na maswali mengi juu ya uwezo wa Samia kwenye teuzi!
Mna shida kweli. Mnacheza ngoma msiyoijua. Badala ya kuibana serikali na mambo muhimu ya kikokotoo, bìma ya afya, bandari, umeme, mfumuko wa bei
 
Umewahi kushuhudia yanayoendelea kwenye chumba cha kuhesabia kura?

Hasa anapokuwepo mkuu wa mkoa, wilaya, OCD na RPC upande wa mgombea wa CCM?

Lowassa alikataa hata ushindi aliopatiwa mwaka 2015, hakuwa na baya yule mzee, unadhani Makonda, na genge lake watakataa ushindi wa kulazimisha 2025?
Mzee 2012 nilikuwa arusha na nilikuwa mmoja wa viongozi pale Usariva. Najua nisemacho, Makonda hana nguvu wala Heshima zaidi ya aliyokuwa nayo Lowassa huku mgombea akiwa mkwewe Sioi Sumari. Arusha sio pepesi kama ufikiriavyo mkuu.
 
Tatizo watu wanacheza na siasa za ccm. Wapinzani ndo kabisa, badala ya kuiwajibisha serikali, utaona wanabeba mabango ya kumzomea makonda kuondolewa uenezi. Badala ya kupiga kelele kuh kikokotoo, tozo, bei ya mafuta, bima ya afya iliyovurugwa, bandari, hatua kuh ripoti ya CAG, na sheria mbaya ya mishahara kwa wenza wa viongozi wakati hali za wananchi ni ngumu, sana sana utawasikia viongozi wa upinzani wanadai stahiki zao za ubunge baada ya kufukuzwa bungeni pa.oja na matibabu ya lissu!!
Mkuu, haowatu ni watoa taarifa hakuna upinzani Tz kuna vikundi vya wahunitu.

Hawa wapiga makelele humu mabosiwao kuna kitu wanacho faidi katika upigaji ndio maana hutosikia wakipaza sauti kwa hayo uliyo yasema hapo.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mzee 2012 nilikuwa arusha na nilikuwa mmoja wa viongozi pale Usariva. Najua nisemacho, Makonda hana nguvu wala Heshima zaidi ya aliyokuwa nayo Lowassa huku mgombea akiwa mkwewe Sioi Sumari. Arusha sio pepesi kama ufikiriavyo mkuu.
Nimekuuliza umewahi kuwepo kwenye chumba cha kuhesabia kura ili ujue yanayotendeka? sio wewe kuwa Arusha!
 
Kitu pekee ambacho jamaa hakujua ni kina nani wanaendesha nchi hasa! Ile juzi hotuba yake yakupokea ndege iliwavuruga sana watu... ukichanganya na kuwagusa akina Salaaah ndo kabisaaa!
Kwa sasa CCM ni chama cha watu wa Pwani,Bashite ni mtu wa Koromije hakujua hilo.

Tazama Baraza la Mawaziri Tanga,Pwani & Zanzibar wanatoa Mawaziri wangapi ?.

Tazama kwa jicho la tatu Mawaziri wanaoondolewa kama wapo kutoka hiyo mikoa pendwa.
 
Mbona majuzi alimsifia kuhusu ziara zake? Hata uko kapelekwa kimkakati kabisa…..
Nafikiri tukiacha kumchukia ndio atakosa chakula lakini tukiendelea kumchukia ndio basi tena……
Unakosea unaposema tunamchukia huyo bwanamdogo
 
Nilimwona Makonda kwenye msiba wa Zeloth Steven nikajua aliyemteua kaingia mkenge.

Fikiria Makamu Mwenyekiti Taifa ameshafika katika eneo la msiba halafu Bashite anaingia mwishoni.Hii ni nje ya utaratibu wa protocal kwamba yeye ni boss wa Makamu Mwenyekiti?.

Matamko kwamba watu wasiende kutafuta haki Mahakamani!.

Kifupi hata hii nafasi ya Mkuu wa Mkoa aliyopewa ni kwasababu ya ubovu wa katiba yetu.

Bashite hakutakiwa kupewa nafasi yoyote ya uongozi wa umma.

Nategemea drama nyingi sana R Chuga.
Dogo hana adabu kwa wakubwa zake na bahati mbaya zaidi hajifunzi makosa.
 
Mbona majuzi alimsifia kuhusu ziara zake? Hata uko kapelekwa kimkakati kabisa…..
Nafikiri tukiacha kumchukia ndio atakosa chakula lakini tukiendelea kumchukia ndio basi tena……
Mkuu sisi tutaendelea kumchukia Ili asikose chakula. Maana tunajua tukimpenda atakufa njaa.
 
Mkuu Ngongo kama nakuelewa hivi,hebu tuone Tanga kwanza
Mawaziri kamili
1.Marope
2.Oddo
3.Mzee wa Pangani

Naibu
1.Mwana FA
2.Kitandula
Nenda mkoa wa Pwani utashangaa zaidi.Tulikuwa na Waziri wetu mmoja kutoka Chigoma wamemchomoa.
 
Yale maigizo ya Bashite ya kupanda mikokoteni,matrecta...... yamemchosha Mama wa Kizimkazi.

Ni wazi kupitia mikutano yake iliyojaa maigizo na ulaghai uliopitiliza ameonekana ni vyema akapewa nafasi level ya mkoa akapambane na mama ntilie,kupokea mwenge na kupambana na waendesha bodaboda.

Ngongo safarini Ngorongoro
Mbona bado ni mkuu wa Mkoa ?
 
Back
Top Bottom