Hatimaye maigizo ya Makonda yamchosha Rais Samia

Huko AR kaandaliwa uchochoro tu wakuondokea... Samia alishajuta big time kurudisha hili garasa!! Angemuondoa tu hovi bila kitu ingeleta kelele na maswali mengi juu ya uwezo wa Samia kwenye teuzi!
Mna shida kweli. Mnacheza ngoma msiyoijua. Badala ya kuibana serikali na mambo muhimu ya kikokotoo, bìma ya afya, bandari, umeme, mfumuko wa bei
 
Mzee 2012 nilikuwa arusha na nilikuwa mmoja wa viongozi pale Usariva. Najua nisemacho, Makonda hana nguvu wala Heshima zaidi ya aliyokuwa nayo Lowassa huku mgombea akiwa mkwewe Sioi Sumari. Arusha sio pepesi kama ufikiriavyo mkuu.
 
Mkuu, haowatu ni watoa taarifa hakuna upinzani Tz kuna vikundi vya wahunitu.

Hawa wapiga makelele humu mabosiwao kuna kitu wanacho faidi katika upigaji ndio maana hutosikia wakipaza sauti kwa hayo uliyo yasema hapo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mzee 2012 nilikuwa arusha na nilikuwa mmoja wa viongozi pale Usariva. Najua nisemacho, Makonda hana nguvu wala Heshima zaidi ya aliyokuwa nayo Lowassa huku mgombea akiwa mkwewe Sioi Sumari. Arusha sio pepesi kama ufikiriavyo mkuu.
Nimekuuliza umewahi kuwepo kwenye chumba cha kuhesabia kura ili ujue yanayotendeka? sio wewe kuwa Arusha!
 
Kitu pekee ambacho jamaa hakujua ni kina nani wanaendesha nchi hasa! Ile juzi hotuba yake yakupokea ndege iliwavuruga sana watu... ukichanganya na kuwagusa akina Salaaah ndo kabisaaa!
Kwa sasa CCM ni chama cha watu wa Pwani,Bashite ni mtu wa Koromije hakujua hilo.

Tazama Baraza la Mawaziri Tanga,Pwani & Zanzibar wanatoa Mawaziri wangapi ?.

Tazama kwa jicho la tatu Mawaziri wanaoondolewa kama wapo kutoka hiyo mikoa pendwa.
 
Mbona majuzi alimsifia kuhusu ziara zake? Hata uko kapelekwa kimkakati kabisa…..
Nafikiri tukiacha kumchukia ndio atakosa chakula lakini tukiendelea kumchukia ndio basi tena……
Unakosea unaposema tunamchukia huyo bwanamdogo
 
Dogo hana adabu kwa wakubwa zake na bahati mbaya zaidi hajifunzi makosa.
 
Mbona majuzi alimsifia kuhusu ziara zake? Hata uko kapelekwa kimkakati kabisa…..
Nafikiri tukiacha kumchukia ndio atakosa chakula lakini tukiendelea kumchukia ndio basi tena……
Mkuu sisi tutaendelea kumchukia Ili asikose chakula. Maana tunajua tukimpenda atakufa njaa.
 
Mkuu Ngongo kama nakuelewa hivi,hebu tuone Tanga kwanza
Mawaziri kamili
1.Marope
2.Oddo
3.Mzee wa Pangani

Naibu
1.Mwana FA
2.Kitandula
Nenda mkoa wa Pwani utashangaa zaidi.Tulikuwa na Waziri wetu mmoja kutoka Chigoma wamemchomoa.
 
Mbona bado ni mkuu wa Mkoa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…