Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Amen!
Bro huyu mwanamke kanizimisha ndoto zangu nyingi saana hususani za kielimu na biashara. Nashukuru Mungu am free now I can move on!
Na nitapata maendeleo kweli kweli
 
Swala la maradhi mpaka sasa sielewi maana alikua ananizuga kunipa sex every day hadi kwenye hedhi ili kunifumba macho niamini kakolea nikaumwa balaa.... Sijui itakuaje ila binafsi kwakua nilitulia kwenye ndoa Mungu atanisaidia
 
Ndo maana nasema Ronaldo hajakosea kabisa
 
Pole mkuu.. inaumiza sana kuona watoto wanalelewa na mzazi mmoja na zaidi kama hukuzaliwa katika familia yenye mitala,basi uchungu zaidi ni pale watoto wanapochanganya matumbo ya mama. Hakunaga umoja
Binafsi nililelewa na single mother hivo niliomba isitokee kwa wanangu lakin ndo hivo Mungu ameruhusu
 
Swala la maradhi mpaka sasa sielewi maana alikua ananizuga kunipa sex every day hadi kwenye hedhi ili kunifumba macho niamini kakolea nikaumwa balaa.... Sijui itakuaje ila binafsi kwakua nilitulia kwenye ndoa Mungu atanisaidia
Nina rafiki yangu wa karibu, sio kuhadithiwa ni kushuhudia, alifanyiwa vituko hivo vya kufanya tendo la ndoa mpaka siku za hedhi kwa miezi 8 mfululizo. Siku walipoachana yule mwanamke akamtumia kipimo chake alichopima miezi 8 nyuma cha HIV kikisoma ameathirika pamoja na tarehe. Na akamuambia hakuanza dose za ARV kwa makusudi ili amgawie na yeye hayo maradhi.

Jamaa alichanganyikiwa akawa anaongea peke yake, ndugu na marafiki ilibidi tusaidiane kumpeleka kwa daktari wa saikolojia akatibiwe. Dokta alifanikiwa kumshawishi apime ili ajitambue kama ni muathirika aanze kutumia dawa, baada ya kupima kipimo kilitoka HIV NEGATIVE. Baada ya mwezi mmoja akapima tena akakutwa HIV NEGATIVE. Baada ya miezi mitatu akapimwa tena akakutwa HIV NEGATIVE.

Na yeye akamtumia vipimo vyote yule aliekua mke wake, haikupita miezi mitatu yule mwanamke alikonda na kuwa kama mdoli.

#Mungu yupo, halali wala hapumziki, na anawalinda waja wake kwa njama mbaya.
 
Pole sana najua hio kitu inauma.... Jikaze tu ndo uanaume huo. Kinachouma zaidi watoto but fikiria kwanza, bado nafasi zipo keep it up songa
 
Kama ulikua hujui basi tambua kufunga ndoa kwa mwanaume sasa ni bonge la risk

Maana wanawake wengi kwa sasa hawana hisia za upendo na hata malezi yao ni mwendo wa kujazwa sumu juu ya wanaume mpaka wanapoolewa ndio maana huwezi kuta mwanamke anamsema positive mme wake in public

Kwa sababu wanaingia kwenye ndoa kama anaingia vitani sasa wewe unakuja kiamani lazima tu upigwe na akili zako za 90
sisi bachera huo mchezo tushausoma tangu zamani sana ndio maana tumequit ndoa

Yote kwa yote pole mkuu unachopitia ila zangati kwa sasa achana kusikiliza na kuangalia vitu vinavyohusiana na mapenzi ili ujiweke sawa kwanza
 
Kila siku tunawahubilia humu kuwa mwanaume jipende kwanza wewe ....ndugu zako ni hao wanao ..... Huyo mkeo muda wowote kama alikua Mke Wa Juma basi anakua Mke Wa john hamuelewi na kutuona sisi ni wambea tunachonganisha ndoa zenu.

Narudia tena
Mwanaume simamia sana ulicho nacho dhidi ya mkeo ....maana hiyo ndio faraja yako na nguvu yako kwa huyo mkeo , hawa wanawake sio watu wazuri ni kama Bomu muda wowote linalipuka Ila ndio haijulikani SAA ngapi .
 
Kwahiyo amlete mke wake jf aje aseme jambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…