Cactusamani
Member
- Feb 25, 2021
- 15
- 18
Una sali? Basi mlilie Muumba wako, tubu pale ulipokosea. Isaiah 43:25-26Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
"Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako."
Mke amependa zaidi ya dunia, kuliko kujua umuhimu wa ndoa yenu spiritually.