black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,244
Mwanamke akishakolezwa huko nje jeuri kibao ndani ya nyumba na kama aliekutana nae ana kipato kukuzid dharau zinakuwa nying Sana ndani ya nyumbaYour right japo nafasi hio sidhani kama unaweza kupata.
Ila jua sisi ni wakristo inapotokea mwenzako anasema ametoka nje ya ndoa sababu kutafuta faraja kwakua si mjali (kumtoa date) na yeye ana uhitaji mkubwa wa pesa or kwa sababu yeyote ile kutoka nje ya ndoa tunaamini si suluhisho.
Nilimwambia aande nyumbani kwao apumzike akasema hapana atapanga kumbe shida aendelee na hawara wake waishi pamoja kama sasa wanavyoishi
Wanaume tuna vumilia meng Sana ndio umri wetu wa kuish duniani Ni mfupi Sana