Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

pole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Sasa wwe mwenzako mwanzo mwisho kaandika Kiswahili,wwe unamjibu na kiswanglishi, au ndiyo unataka kututisha sisi tulio soma shule za Kayumba!?
 
Mwanamke anaangalia future hata miaka kumi mbele, akiwa na matumaini kuwa japo umefulia lakini anaona yapo matumaini ya wewe kupata hela tena ndipo utakiona hicho kinachoitwa mke kuvumilia mume asiye na pesa. Lakini akiwa na uhakika kuwa umeishagota na hakuna hope ya kuibuka then hakyna mke atamvumilia mume wa aina hiyo.

wanaume pesa yetu ndiyo inayoshikilia ndoa na si vinginevyo, mke akibaki na mume wakati hana hela ni kwa kuwa mke hana alternative.
Dah hawa mbuzi kwahio wanatulia timming tu!
 
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Hata hao mama si wote mkuu. Kuna mama alifiwa na mume. Alitelekeza watoto watatu kwa babu na bibi wazaa baba. Alitorokea mjini. Ameolewa huko.

Katika jitihada za watoto kuhangaika kumtafuta, siku moja mtu mmoja akamwonesha mmoja wa wale watoto mama yao alipo.

But mtoto alipokwenda na kujitambulisha kwa mamaye, alijibiwa kuwa katika maisha yake hajawahi zaa mtoto zaidi ya wale wa kwa mumewe (mume mpya).

Alimkana kabisa mwanae, na hadi leo wanahangaika na maisha mama akila bata na mume mpya.

Huyu naye ni tumwite mama mzazi?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huyo mama lazma atakuwa ni mchaga tu 😂😂😂
 
Kama ulikua hujui basi tambua kufunga ndoa kwa mwanaume sasa ni bonge la risk

Maana wanawake wengi k
wa sasa hawana hisia za upendo na hata malezi yao ni mwendo wa kujazwa sumu juu ya wanaume mpaka wanapoolewa ndio maana huwezi kuta mwanamke anamsema positive mme wake in public

kwa sababu wanaingia kwenye ndoa kama anaingia vitani sasa wewe unakuja kiamani lazima tu upigwe na akili zako za 90
sisi bachera huo mchezo tushausoma tangu zamani sana ndio maana tumequit ndoa

Yote kwa yote pole mkuu unachopitia ila zangati kwa sasa achana kusikiliza na kuangalia vitu vinavyohusiana na mapenzi ili ujiweke sawa kwanza
Dah wakuu mbona tunatishana aisee 😅😅😅 nafikiria nikamlipie financial services mahari ila sasa mbona hivi tena?
 
Pole sana mkuu, kwenye matatizo ndipo unapowatambua watu wanao kujali, watu ambao ni muhimu kwenye maisha yako,

Bro hapo hukua na mke, wala usiwaze, hasira zako zihamishie kwenye kutafuta pesa na kuwapenda wanao,

Good luck brother.
 
Your right japo nafasi hio sidhani kama unaweza kupata.

Ila jua sisi ni wakristo inapotokea mwenzako anasema ametoka nje ya ndoa sababu kutafuta faraja kwakua si mjali (kumtoa date) na yeye ana uhitaji mkubwa wa pesa or kwa sababu yeyote ile kutoka nje ya ndoa tunaamini si suluhisho.

Nilimwambia aande nyumbani kwao apumzike akasema hapana atapanga kumbe shida aendelee na hawara wake waishi pamoja kama sasa wanavyoishi
Kaka uliowa Mdangaji, sema alikua kaficha tu makucha yake, shukhuru Mungu amekuokoa baada ya kupa kamtihani kadogo,je ungepewa mtihani wa maradhi ingekuwaje!?
 
Nina rafiki yangu wa karibu, sio kuhadithiwa ni kushuhudia, alifanyiwa vituko hivo vya kufanya tendo la ndoa mpaka siku za hedhi kwa miezi 8 mfululizo. Siku walipoachana yule mwanamke akamtumia kipimo chake alichopima miezi 8 nyuma cha HIV kikisoma ameathirika pamoja na tarehe. Na akamuambia

#Mungu yupo, halali wala hapumziki, na anawalinda waja wake kwa njama mbaya.
Dah ni noma kweli mungu yupo katikati y giza nene huwa yupo macho!
 
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Hata hao mama si wote mkuu. Kuna mama alifiwa na mume. Alitelekeza watoto watatu kwa babu na bibi wazaa baba. Alitorokea mjini. Ameolewa huko.

Katika jitihada za watoto kuhangaika kumtafuta, siku moja mtu mmoja akamwonesha mmoja wa wale watoto mama yao alipo.

But mtoto alipokwenda na kujitambulisha kwa mamaye, alijibiwa kuwa katika maisha yake hajawahi zaa mtoto zaidi ya wale wa kwa mumewe (mume mpya).

Alimkana kabisa mwanae, na hadi leo wanahangaika na maisha mama akila bata na mume mpya.

Huyu naye ni tumwite mama mzazi?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kitu Kama hichi kilimtokea afande sele, baada ya kushinda mfalme wa rhems, mama yake kajirud.
 
😂😂😂😂😂 sasa kumbe we ulimaindi ma.tako mzee baba? Tushawaambia sana humu oa mwanamke mwenye tabia nzuri nyie mnachagua wenye matako makubwa ooh tabia tutarekebishana😅😅😅 umeona kazi hio sasa?!!!
Sasa kuna maana gani ya kuoa mwanamke ambaye hana tako wakati wewe hicho ndicho upendacho?
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.

Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
kweli kabisa changamoto sio mwisho wa maisha ni safari tu unapitia
kuhusu kua na vyanzo vya mapato ni kumfungulia mke biashara ukiwa na maana apate maitaji yake na familia endapo baba atakwama ila iko tofauti kwa dada zetu akiwa na biashara umempa ww anaota mapembe na kiburi hawezi kukuvumilia hata miezi mitatu kipindi hauna kazi utasikia siwez kua baba katika hii familia wakati anaelewa unayopitia
ila nahisi tumeumbwa tofauti mwanaume anaweza ishi na mwanamke ambae hana biashara wala kazi maisha yote ila mwanamke miezi tu inamshinda cha ajabu anaringa na kitu ulicho mpa ww.
 
kosa hela ujue rangi halisi ya ndani ya ufedhuli wa hawa viumbe KE

japo hii ni stori ya upande mmoja
Story imekamilika niliposoma jamaa alipenda matako makubwa 😅😅😅 wala haina haja ya mjadala mrefu wote tunajua akili za wanawake wenye matako makubwa sasa changanya na kufulia uone povu linatoka kwa kiwango gani 😅😅😅
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.

Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Hashtag hyo nimeielewa snaa..na ndo msimamo wangu huo..nashangaa mtu yuko radhi akosane na ndugu zake.mama yake baba yake kisa mke wake hapend ndugu..mama.e...nasemaje....huo ni udhaifu
 
Kama ulikua hujui basi tambua kufunga ndoa kwa mwanaume sasa ni bonge la risk

Maana wanawake wengi k
wa sasa hawana hisia za upendo na hata malezi yao ni mwendo wa kujazwa sumu juu ya wanaume mpaka wanapoolewa ndio maana huwezi kuta mwanamke anamsema positive mme wake in public

kwa sababu wanaingia kwenye ndoa kama anaingia vitani sasa wewe unakuja kiamani lazima tu upigwe na akili zako za 90
sisi bachera huo mchezo tushausoma tangu zamani sana ndio maana tumequit ndoa

Yote kwa yote pole mkuu unachopitia ila zangati kwa sasa achana kusikiliza na kuangalia vitu vinavyohusiana na mapenzi ili ujiweke sawa kwanza
Usiseme huwezikuta mwanamke anamsema mme wake positively, wapo kama mimi hata kama mume wangu ana mapungufu ni lazima nimfunike kwa public, ntamsema vizuri, ntamfanya aonekane mwanaume kamili. I never speak negative about my husband, tatizo mnajumlisha jinsia yote!! Unaambiwa kama umekuta na aliyekengeuka ni huyo cyo wote!!
 
Back
Top Bottom