#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Hata hao mama si wote mkuu. Kuna mama alifiwa na mume. Alitelekeza watoto watatu kwa babu na bibi wazaa baba. Alitorokea mjini. Ameolewa huko.
Katika jitihada za watoto kuhangaika kumtafuta, siku moja mtu mmoja akamwonesha mmoja wa wale watoto mama yao alipo.
But mtoto alipokwenda na kujitambulisha kwa mamaye, alijibiwa kuwa katika maisha yake hajawahi zaa mtoto zaidi ya wale wa kwa mumewe (mume mpya).
Alimkana kabisa mwanae, na hadi leo wanahangaika na maisha mama akila bata na mume mpya.
Huyu naye ni tumwite mama mzazi?
Sent from my Infinix X680 using
JamiiForums mobile app