Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Duuuh!!!! Ukisikia Mungu si Athuman ndiyo hii Sasa. Hata jamaa yetu atakuwa Yuko salaama...
 
Kweli kabisa Mkuu....
 
Hapo kwa financially si kweli kwa kiasi chake. Ni matabia yenu mabovu ndo huwaangusha. Soma thread yote uone matukio jamaa aliyokua anampiga mkewe. Mnapendaga sana kujioa umalaika aisee. Ijapokua wanawake wazinguaji pia wapo
Ndoa ikivunjika, sababu kuu kwa zaidi ya 80% ni mwanamke. Mwanamke mwerevu kamwe hawezi kushindana na uanaume. Uanaume namaanisha, sio mwanaume. Uanaume tumezaliwa nao, upo ndani yetu.. shida ni kuwa, wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kwenda kupambana nao. Lazima ndoa iyumbe
 
Ndoa Ndoano poleh Sanaa na hongera kwa Moyo wa kijasiri
 
[emoji23][emoji23] akili za kivulana usipoachana nazo zitalugharimu. Wanaume wenzio wanakiri wewe umekaza. Ni huyu huyu mleta mada mwenzenu alikua analeta dharau ndoani pake mpk hali iliyofikia hivi sasa. And seemingly mkeo anateseka sana kama umeoa kwa akili na mawazo kama haya. Kujipa umalaika tu huwa hamjambo. Lawama ziende kwa wababa zetu kwa kutotimiza majukumu yao ndo matokeo yake kama hv
 
Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi huu, na wala sijayumba. Tunaishi kwa amani tu. Nasisitiza, ndoa kuvunjika kunachangiwa na mwanamke kwa zaidi ya 80%
 
Move on kaka kila kitu kwenye maisha amini huwa kinatokea kwa sababu maalumu pia
 
Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi huu, na wala sijayumba. Tunaishi kwa amani tu. Nasisitiza, ndoa kuvunjika kunachangiwa na mwanamke kwa zaidi ya 80%
Kama wewe uko matured na umekutana na matured woman be thankful. Kuwa ndoani miaka 10 si sababu kwamba sijui nini. Kwani hatuwaoni ndugu zetu ama?

Acha kutetea ujinga wa wavulana. Wanawake wnawavumilia miongo na miongo tu for the sake of their kids. Usijifananishe akili zako na wavulana. Bye
 
Mfano huyu mwamba, ana kosa gani?! Yeye kufulia tu ndo atukanwe?
 
Kabisa,
mwanamke akikasirika anakua katili sana.

Na sio ajabu uyasemayo mke wa jamaa ana ujasiri wa ajabu.

Yaan kaamua agongewe pale pale jamaa aone imuume.
Moyo wa mwanamke umeumbwa na huruma sana ila shetani akipata nafasi moyoni mwake anakuwa kimbe katili sana hata kuuwa haoni shida kwake ndiyo maana maandiko yanasema linda sana moyo wako kulindo chochote ulindacho
 
Cheki ulivyo kilaza. Hebu soma replies ndo uje ulete utelembwe wako hapa. Unafikiri tunamzabua bila sababu jamaa?
Kwahyo mwamba kajazia nyama kwenye replies tofauti na alivyoeleza hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…