Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Kwahyo mwamba kajazia nyama kwenye replies tofauti na alivyoeleza hapo juu?
Yes mkuu. Halaf watu wamefukua alivyokua anamnyanyasa mkewe na kusifia michepuko. Na ana kibamia pia ila mke alikua akimvumilia mpk kujichua ili ajiridhishe mbele yake. Anaplay victim tu. Ogopa sana teknolojia na Mungu. Na ni zaman kaanza. Na alikua anajisifia..na anagonga wake na madem wa washkaji zake qaliozidoana kipato
 
Daah ntarud kusoma upya[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wenye moyo huo ni wakutafuta na tochi
 
Daah ntarud kusoma upya[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaan usome kwa utulivu kabisaa mkuu. Wanaume muache kuplay victims. Majority huwa hamsemagi ukweli juu ya mambo yenu ni kurusha lawama tu kwa wenza wenu. Jamaa aliketa mpk nyuzi humu za ubaharia wa jinsi ya kutumia bamia lake... anapiga za kibaba paroko kama mwijaku[emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa maoni yangu kile kitendo cha kwenda kwa mwanamme mwingine kama mwenye kuleta mada anasema kweli basi haya uliyosema sikubaliani nayo. Angesema anakwenda kupanga na kuendelea na maisha yake basi ningkubaliana na usemi wako huu.
mkuu kama nilivyosema siwezi judge kabla ya kusikia toka both sides, you never know hata huyu muleta mada alisafumaniwa na huyu ex wake, au huyu ex alikuwa na usahidi tosa huyu muleta mada alikuwa na mchepuko, mambo ni mengi sana mkuu, dont beleive eveything one says
 
Atakae kuwa na utetezi wa kijanjajanja mshindi hata kama ana kosa, kusuluhisha mahusiano ya watu ni kazi sana tuwaachie viongozi wa dini maana wakiwa mbele ya kiongozi wa dini hata hofu ya Mungu inawatanda
wabongo wangapi wana hofu ya mungu siku hizi, hukuona maaskofu wachungaji wakumusangilie magufuri, huoni hata moja ya wanaojiita askofu aliibiwa kura na kuteuliwa na mukurugenzi kwa amri ya mweda zake, hofu ya mungu imetoweka hapa kwetu bongo
 
Pole Mkuu,

Nimepitia hayo miaka michache iliyopita, awali nilikuwa na hofu ya Maisha yajayo hasa kwa upande wa watoto.
nilikwenda Mahakamani na walinishangaa kwamba mwanaume anaomba kumtaliki mke, sasa niko huru.Na uchumi umefurika mpaka nashangaa kwa nini sikufanya maamuzi haya tangu 2015 huko. Upande wa pili mbali ya kazi ya serikali, biashara na wanaume wa hapa na pale lakini naona yuko hoi!

mchungaji wangu, alisema "hakuna kipindi kigumu kwa mwanadamu kama kutafuta mtu wa kuishi naye kwani waweza chagua rafiki wa maisha yako au msalaba wako"

nyakati hizi za uchumi mgumu, ndoa nazo ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…