DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kabisa, dunia ni duaraWhat goes around comes around, sio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, dunia ni duaraWhat goes around comes around, sio!
Atakae kuwa na utetezi wa kijanjajanja mshindi hata kama ana kosa, kusuluhisha mahusiano ya watu ni kazi sana tuwaachie viongozi wa dini maana wakiwa mbele ya kiongozi wa dini hata hofu ya Mungu inawatandaPole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Jamaa angu mmoja kipind tunaishi nae mtaani nae alkua mwalimu katafuna sana mabinti wa watu na anajisifia.What goes around comes around, sio!
Wanawake always sio wazungumzaji sana wa yanayowasibu mitandaoni au kwa watu..Daah, what a sad story..
Yaani huwa naamini 95% ya migogoro ya kifamilia huwa mwanaume ndo muasisi. Yaan lazima alishapiga matukio ya kutosha mke anaangalia tu. Sasa ukomo wa uvunilivu ukifikaga ndo mbaya. Yaani mwanamke anakua jeuri haijapata tokea.
Nawaangaliaga wanaume mitandaoni wanavyoongea ongea nasema hawa wajinga hawa waache. Nachosikitika ni aina gani ya kizazi tunalea. Kama nyie vijana wa kiume mnapinga haya sijui ndoa kwa tabia zenu mbovu na kukwepa majukumu ya kifamilia tunalea aina gani ya kizazi cha baadaye hasa wavulana? Vijana wa sasa ni tatizo sana. Hawataki kiwa responsible kwa uchafu wao. Daima ni kuwa bitter na kuwaona wenzao ndo wabaya. Yaan wanaume ni malaika kila uendako... madai yao tatizo ni ke. Hapohapo hawapo responsible kwa maisha yao wenyewe achilia mbali ya partners wao na familia kwa ujumla.
Niwaase wanawake wenzangu kuchagua partners walio responsible na kujielewa. Hii tabia ya kufanya mwanamke ndo awe baba qa familia wa familia ifike mahali wanaume mujitafakari sana sana sana. Tamaa mbaya sana. If u wanna be a real man then be one. Tabia za kudanga danga kama mvulana wa chuo achaaaa
Sasa mkuu we huwatafuni..?Jamaa angu mmoja kipind tunaishi nae mtaani nae alkua mwalimu katafuna sana mabinti wa watu na anajisifia.
Bahat mbaya mungu kamtunuku mabint 3 na dume 1.
Hao watatu hakuna alievuka form 4, wote wamepigwa mimba wamezalia nyumbani kwake.
Na Mungu aniepushie hayo yoote... zaidi anipe uvumilivu na busara.Ha ha ha....
Mungu akupe hekima, kipato huleta majivuno kama ilivyotokea kwa mleta mada.
Usijidanganye ndoa ni fedha ondoa hayo mawazo. Matajiri walioko kwenye kumi bora duniani ndoa zao zimevurugika, Bill Gate ni tajiri ndoa imemshinda, marehemu Mengi ndoa ilimshinda nakushauri ujue chanzo cha ndoa ni Mungu, mtafuteMungu kwa bidii atakupa ndoa nzuriAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Kabisa,Itategemea na ni kiasi gani moyo wa mkewe ulipondeka, mwanamke akiamua kurevenge anaweza akakuua na hata chozi lisimtoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nashindwa elewa kwanini anashupaza hv shingo. Ama ukute hata siyo yeye ameomba utengano bali ni mke aliamua baada ya kuvumilia ufala wake[emoji23][emoji23] yeye anataka comforting lies tu. Kibamia kitamgharimu sana. [emoji23][emoji23] na kuwa kote kule fundi wa kibamia baado akaachwaaaa... poooh mbakaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nishakaangwa nikatia akili, tukayajenga upya na ndoa sahv ina amani tele.
Mtoa mada arudishe majeshi nyuma, aombe msamaha wayajenge kwa mustakabali wa watoto.
Kumpata mwanamke wa kuanza nae moja, akakuelewa vwma kabisa kama yule wa mwanzo nao ni mtihani sana mkuu.
Nakwambia mama watoto pale mwanamke nimepata.
She is very calm&understanding.
Vurugu za ujana zilitaka kunikosesha mwanamke wa maisha yangu.
Mungu ampe maisha marefu
Tunaomba aje na thread mpya. Ila hapa ndo tunamsaidia kupona. Ila tunaomba asije kujiua tu maana naogopaaa kuwa sehem ya kumbully muhanga... mimi mwenyewe si mkamilifu. Mungu anisamehe tu.Atakua kajifungia ndani anatubu
Wanaume ndo mnaoua ndoa zenu na mwisho ndio huwa mnaumia Yani ukiona mwanamke una mpiga matukio ana mute anaanza kukutoa moyoni taratibu hata 5 years na siku anaondoka anakuwa ka Sha make decision harudi nyuma mazima aisee, wanaume ni vinara wa kuumiza wake zenu na mkiachwa pressure inawaua.Mkuu mimi kwa wifi yako nakuwa mnyenyekevu balaa,hata akikosea namwelekeza kwa upole naogopa hikihiki uchosema
Mkuki kwa nguruwe...,
Exactly. Tunayavumilia mnooo. Yotw hayo ni matumaini mtabadilika na kuwa na huruma kumbe ndo tunazidi wajaza kiburi... tukisema tufunguke kila mtu atakimbia...Wanawake always sio wazungumzaji sana wa yanayowasibu mitandaoni au kwa watu..
Ndio maana humu jf ni nyuzi chache sana za wanawake wakizungumzia mabaya au kulalamikia mahusiano yao.
Wanaweka sana vinyongo moyoni, ndio maana tunatakiwa tuishi nao kwa akili.
Kwa Maana watu wa vinyongo wanaweza kukulipua mda wowote ukajika NDOA imegeuka Taleban au afghanistan
Na wewe ulishawahi kuumizwa??.Safi sana. Achana na wanawake, tafuta pesa , hakuna cha maana katika mapenz kwa sasa.
Jamaa alkua mchafu sana.Haha kwani Jamaa alifanyaje aisee
Nilichogundua ni kwamba Wanawake huwa hawawezi kutunza siri za ndani.Kibaya zaidi alkua na tabia ya kutafuna mademu wa wenzake kipindi alipokua na pesa.
Na aliemchapia mke wake ni mtu anaemfahamu vilivyo, ndo maana kapata jeuri ya kumrushia shombo.
Baba yangu aliwahi niambia
"Mwanangu kumbuka sana unapokua na kipato kizuri, ogopa sana kuchukua mwanamke wa mtu uliemzidi kipato"[emoji116]View attachment 1827403View attachment 1827404
Kavuna huruma asizostahiliUmemfanya aukimbie uzi,mwanzo alituweza kweli
Yaan huo ujasiri ni mkusanyiko wa matukio waliyopigwa. Kuna wengine huenda extra mpaka na kulaza mahawara same house na mke yuko hapohapo. Very sad and bad..Kabisa,
mwanamke akikasirika anakua katili sana.
Na sio ajabu uyasemayo mke wa jamaa ana ujasiri wa ajabu.
Yaan kaamua agongewe pale pale jamaa aone imuume.