Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kilimahewa sehemu gani mkuu?Hahaha we acha tu ndugu, Kuna mama mmoja mchanganyiko wa muhaya upande wa mama yake na msukuma upande wa baba yake loooooh! Nilikumbana naye kilimahewa Mwanza pale aseeee ni shida kubwa! Halafu anajua kutifuana maana amekaa sana na wazaramo na wamakonde, yaani mtu utadhani kashushwa tu toka juu