Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Yes. Na sijisikii vizuri kumcheka kwa kweli[emoji26] Mungu anisamehe kwa hili. Ni shule tosha kwetu sote. Kila jambi ktk jamii liwe negative ama positive ni shule kwetu sote.

Ubaya sasa, mwanamke akasema baasi ni anamaanisha kweli kweli...
Mungu atusamehe, ila tuna la kujifunza kwa mtoa mada.

Ata mama samia anasema,
Historia yako itakuandama.

Ni kama yaliyomtokea P.funk kwa binti yake.

P.funk akiwa producer maarufu alikua anamkula kajala akiwa mwanafunz mpk akampachika ujauzito (mimba ya paula) shule ikamshinda akawa mdangaji maarufu.

Sahivi na mwanae paula wahuni wamemkula akiwa mwanafunzi na shule imemshinda.

Na kibaya zaidi wanamkula na kumrushia video mitandaoni.

P.funk amebaki kutoa laana zisizo kichwa wala miguu kwa paula na mama yake akisahau nae kaanzia huko huko walikofikia wenzie.
 
Anakuz00m tu kwa sasa, usipobadilika atakutandika revenge moja ya hatari hadi ushangae. Na ke wengi siku hizi ukiwazingua akiamua kusepa hana time na watoto ni anaondoka zake kuhusu watoto ataugulia maumivu yao mbele kwa mbele
Na kibaya zaidi revenge za wanawake anakufanyia ukiwa huna ela ili ikuume zaidi kama ilivotokea kwa mtoa mada.

Mwanaume unaposalitiwa ukiwa huna ela, inauma zaidi kuliko kusalitiwa ukiwa na ela.

Ukipigwa pigo ukiwa na ela,
angalau machungu unaweza kwenda kuyapozea bar upunguze mawazo.

Ila pigo likikukuta ela huna,
Unakua wakubaki tu ndani Depression inakutafuna huna hata pa kwenda kupata faraja.
 
Mungu atusamehe, ila tuna la kujifunza kwa mtoa mada.

Ata mama samia anasema,
Historia yako itakuandama.

Ni kama yaliyomtokea P.funk kwa binti yake.

P.funk akiwa producer maarufu alikua anamkula kajala akiwa mwanafunz mpk akampachika ujauzito (mimba ya paula) shule ikamshinda akawa mdangaji maarufu.

Sahivi na mwanae paula wahuni wamemkula akiwa mwanafunzi na shule imemshinda.

Na kibaya zaidi wanamkula na kumrushia video mitandaoni.

P.funk amebaki kutoa laana zisizo kichwa wala miguu kwa paula na mama yake akisahau nae kaanzia huko huko walikofikia wenzie.
What goes around comes around, sio!
 
Daah, what a sad story..

Yaani huwa naamini 95% ya migogoro ya kifamilia huwa mwanaume ndo muasisi. Yaan lazima alishapiga matukio ya kutosha mke anaangalia tu. Sasa ukomo wa uvunilivu ukifikaga ndo mbaya. Yaani mwanamke anakua jeuri haijapata tokea.

Nawaangaliaga wanaume mitandaoni wanavyoongea ongea nasema hawa wajinga hawa waache. Nachosikitika ni aina gani ya kizazi tunalea. Kama nyie vijana wa kiume mnapinga haya sijui ndoa kwa tabia zenu mbovu na kukwepa majukumu ya kifamilia tunalea aina gani ya kizazi cha baadaye hasa wavulana? Vijana wa sasa ni tatizo sana. Hawataki kiwa responsible kwa uchafu wao. Daima ni kuwa bitter na kuwaona wenzao ndo wabaya. Yaan wanaume ni malaika kila uendako... madai yao tatizo ni ke. Hapohapo hawapo responsible kwa maisha yao wenyewe achilia mbali ya partners wao na familia kwa ujumla.

Niwaase wanawake wenzangu kuchagua partners walio responsible na kujielewa. Hii tabia ya kufanya mwanamke ndo awe baba qa familia wa familia ifike mahali wanaume mujitafakari sana sana sana. Tamaa mbaya sana. If u wanna be a real man then be one. Tabia za kudanga danga kama mvulana wa chuo achaaaa
 
Back
Top Bottom