miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji1666][emoji1666]Hapana dada angu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1666][emoji1666]Hapana dada angu
Awe mpole amsamehe mkewe wayajenge upya.Simpatii picha vile anapitia huu mjadala hapa ana recall matukio huku chozi likilowesha screen ya device anayoitumia
Itategemea na ni kiasi gani moyo wa mkewe ulipondeka, mwanamke akiamua kurevenge anaweza akakuua na hata chozi lisimtokeAwe mpole amsamehe mkewe wayajenge upya.
Kuchapiwa ni siri ya ndani
Naiheshimu sana iyo principle.Hahahah mzee kakupanga vizuri, ukiwa na hela ukimpora mtu demu wake jua ipo siku utafulia na mwanamke huyo atarudi kwa mumewe utalia kinoma[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni ukweli mchungu, itakiwa aumeze ivyo ivyo ulivyo.We jamaa sio mtu mzuri aseeee, utamuua huyu mleta mada maake unagonga nyundo za kichwa[emoji1]
Umemfanya aukimbie uzi,mwanzo alituweza kweliHapana mkuu, na wala hatufahamiani.
Nimepitia tu makaburini ndo nikakutana na hayo maswahiba ya mtoa mada long time ago.
Anatafuta huruma uyo,Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Pole sana mkuu, magumu katika maisha yanatuimarisha, kama una elimu nzuri nenda offisi yoyote kaombe kufanya kama volunteer siku za usoni watakupa ajira nenda kwenye banks, usikae nyumbani tu ndiyo unaongeza tatizoAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Ha ha ha....Ndiyo mkuu[emoji23][emoji23]
Kama nick wa pili tu
Unataka ukamtoe upweke [emoji4][emoji4]Pole sana mkuu ndio ukubwa, kwa hyo umekuwa single father.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nishakaangwa nikatia akili, tukayajenga upya na ndoa sahv ina amani tele.Lazimaaa. Halaf ni mtu mzima kabisa huyu[emoji23][emoji23]
Ila hapa munamsema na kumcheka katika umri ambao yeye pia alikua anayafanya haya. Fainali ndo imekuja vibaya hv. Na nyie mtakaangwa kwa mafuta hayahaya pia wakati ukifika
Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Nakwambia mama watoto pale mwanamke nimepata.Hongera sana sana sana sana ndugu yangu. Huyi ndo ndugu yako. Mpende sana na mjali sana. Epukeni kuwapa nafasi walimwengu.
Atakua kajifungia ndani anatubuNashangaa leo siyo siku ya ibada na simwoni[emoji23]
Amen!
Bro huyu mwanamke kanizimisha ndoto zangu nyingi saana hususani za kielimu na biashara. Nashukuru Mungu am free now I can move on!
Na nitapata maendeleo kweli kweli
Kabisa,Kweli kabisa mkuu.. ..Ukimfanyia mwenzio ubaya, tegemea nawe yatakukuta, hata kama si kwake basi kwa watoto/dada zake.
Ahsante mkuu DeepPond