cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kuna Uzi ulianzishwa wa kupiga wanawake Kuna mwanaume akaenda kupiga mpenzi wake mahusiano yakafa akaja humu Analia lia na kujuta kudaganyika kisa Uzi, huwezi ishi kwa zama hizi na mwanamke ka enzi za mababu kamwe yatakushinda. Pia kila tukifamyacho huwa na matokeo kikiwa kizuri kitakuwa na positive results, na kikiwa kibaya obvious kitakuwa na negative results.Eeh, yaan kama hujachanga na zako umeisha. Jueni mbinu zenu za kizamani wanaume zimepitwa na wakati. Sema KARMA iheshimiwe sana. Inakujaga muda hata hutegemei na hujajiandaa. Ukiwaona wanavyotukandia na kutusimanga sasa.. mxieew.