[emoji2][emoji2]mi nikajua izo busara zote tayar umeshaolewa bhana?Aminaaaa. Nipate mume sasa na mimi.. akiwa na kibamia ajiheshimu kabla niivute iwe ndefu kama sikio la wale watu wa west africa
Sasa wwe mwenzako mwanzo mwisho kaandika Kiswahili,wwe unamjibu na kiswanglishi, au ndiyo unataka kututisha sisi tulio soma shule za Kayumba!?
Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Hahahah mzee kakupanga vizuri, ukiwa na hela ukimpora mtu demu wake jua ipo siku utafulia na mwanamke huyo atarudi kwa mumewe utalia kinoma[emoji28][emoji28][emoji28]
Anajitoa tuu ufahamu. Hivi huwa wanaune ndo walivyoumbwa ama tatizo ni nn. Mbona huwa hawatakagi jiona na makosa yaoHuyu hajui ndoa yaweza kuvunjika Hadi uzeeni mwache ajishaue tu, Kuna ndoa ya mke 65 na 75 mume imevunjika na talaka juu
Halafu wengine wanajiongelesha tu. Kwa hela gani?[emoji706][emoji706] wengine kudanga tu. Kwamba hakuna ambao wake zao wanawatunza? Udangaji wao hawauoni kabisaKwahiyo baba angu unamaanisha hatuwezi kuwavumilia mkiwa hamna pesa? Tupo na nyie for money tu? [emoji848]
Bado unashupaza shingo mkuu na uchafu wako wote huo? Ama kwako kumbe uchafu uliokua ukiufanya ndo sahihi?Wanawake wengi ni wapumbavu
[emoji1666][emoji1666][emoji817][emoji736]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana kwa kweli...[emoji2][emoji2]mi nikajua izo busara zote tayar umeshaolewa bhana?
Ndio hapo 🤣🤣Sasa wwe mwenzako mwanzo mwisho kaandika Kiswahili,wwe unamjibu na kiswanglishi, au ndiyo unataka kututisha sisi tulio soma shule za Kayumba!?
Eeh jamaa analia kichizi na hamna kitu atafanya😂😂😂Daahh nimecheka kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]ko ndo kusema demu karudi kwa mmewe ndio maana jamaa analia humu muda huu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
HehehehKaka ule uzi wa jela bado naukumbuka, sitaki hata kupasikia.
[emoji35][emoji35][emoji35]Wanawake wengi ni wapumbavu
Pole,kuteleza si kuanguka,piga moyo konde na uanze upya,mola atakufungulia njia ya mafanikio na hutaaminiAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.
Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.
Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.
Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.
Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Hujiona wao ni malaikaAnajitoa tuu ufaham. Hv huwa wanaune ndo walivyoumbwa ama tatizo ni nn. Mbona huwa hawatakagi jiona na makosa yao
Kaka usimsifu sana mkeo shetani anakusikiliza vizuri tu, siombi ulete uzi kuwa tulikuwa tunatunza ATM pamoja, KUMBUKA MWANAMKE ALIPATA UJASIRI WA KUONGEA NA NYOKA LIVE PALE BUSTANI YA EDEN. Mwombe Mungu shetani asikumbuke faili la ndoa yenu.Unajua unaweza sema nakuza Mambo,huyu mwanamke ni wa ajabu Sana Yan kipindi anafanya kazi mi nazurura na bahasha tu lkn Kama anataka kutoa hela kwenye akaunt yake(ya mshahara) basi lazima anipe taarifa,Yan hela ni zake lkn ananiomba atoe,just imagine.Hii imenifanya niwe muwazi Sana kwake anajua mshahara wangu na kadi za atm tunaweka pamoja na namba za Siri tumepeana.
Mkuu umetishaMi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.
Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.
Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.
This is KARMA
cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1View attachment 1827299View attachment 1827300
Mpwa, umekutana na mmoja akakutenda, niamini sio wote wako hivyo. Pole kwa hio changamoto but najua atarudi tuYap now am single father ambaye nachukia kitu kinaitwa mke