Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Sasa wwe mwenzako mwanzo mwisho kaandika Kiswahili,wwe unamjibu na kiswanglishi, au ndiyo unataka kututisha sisi tulio soma shule za Kayumba!?

Oyaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani yupo na watoto
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.

Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.

Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.

Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.

Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.

Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.

Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Dah nahisi ungevumilia tu sababu ya watoto nawe uonyeshe hujali mapenzi yake angerudi wakati nawe huna haja naye
 
Hahahah mzee kakupanga vizuri, ukiwa na hela ukimpora mtu demu wake jua ipo siku utafulia na mwanamke huyo atarudi kwa mumewe utalia kinoma[emoji28][emoji28][emoji28]

Daahh nimecheka kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]ko ndo kusema demu karudi kwa mmewe ndio maana jamaa analia humu muda huu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Tafuta hela, pesa na money uwe nazo kwa ukaribuuuuu kabisa... achana na kitu kinaitwa mwanamke mkuu
 
Huyu hajui ndoa yaweza kuvunjika Hadi uzeeni mwache ajishaue tu, Kuna ndoa ya mke 65 na 75 mume imevunjika na talaka juu
Anajitoa tuu ufahamu. Hivi huwa wanaune ndo walivyoumbwa ama tatizo ni nn. Mbona huwa hawatakagi jiona na makosa yao
 
Daahh nimecheka kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]ko ndo kusema demu karudi kwa mmewe ndio maana jamaa analia humu muda huu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Eeh jamaa analia kichizi na hamna kitu atafanya😂😂😂
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.

Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.

Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.

Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.

Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.

Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.

Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Pole,kuteleza si kuanguka,piga moyo konde na uanze upya,mola atakufungulia njia ya mafanikio na hutaamini
 
Unajua unaweza sema nakuza Mambo,huyu mwanamke ni wa ajabu Sana Yan kipindi anafanya kazi mi nazurura na bahasha tu lkn Kama anataka kutoa hela kwenye akaunt yake(ya mshahara) basi lazima anipe taarifa,Yan hela ni zake lkn ananiomba atoe,just imagine.Hii imenifanya niwe muwazi Sana kwake anajua mshahara wangu na kadi za atm tunaweka pamoja na namba za Siri tumepeana.
Kaka usimsifu sana mkeo shetani anakusikiliza vizuri tu, siombi ulete uzi kuwa tulikuwa tunatunza ATM pamoja, KUMBUKA MWANAMKE ALIPATA UJASIRI WA KUONGEA NA NYOKA LIVE PALE BUSTANI YA EDEN. Mwombe Mungu shetani asikumbuke faili la ndoa yenu.
naishia hapa
 
Back
Top Bottom