Hatimaye ndoa yangu imevunjika

....Mkuu, kuna uwezekano pia kwamba hizo sms haandikiwi na huyo mwanaume bali anaandikiwa na huyo aliyekuwa mbwa wake ili kumrusha roho!
Ni kweli kwamba kuna wanaume wajinga miongoni mwetu lakini kwa ujumla wengi wetu huwa hatufikii hapa pa kuwananga wanaume wenzetu eti kwa sababu tumewachukulia wake zao...ingawa kama nilivyosema, wajinga hawakosekani miongoni mwetu!!
 
Ndo ashakuwa single father hivyo mhurumieni

...Kuwa single father sio swala la kuhitaji kuhurumiwa!
Wa kuhurumiwa ni hicho kijibwa kilichhondoka!
Kwa nini Uhurumiwe?
Wewe umebaki na maisha yake. Wewe ndio umebaki na watoto watoto wako. Yeye ndiye kila akilala ni lazima awakumbuke watoto wake ambao amewatosa bila kosa lolote ila kwa sababu tu baba yao sasa hana mbele wala nyuma!!
Mkuu ajitahidi tu asonge mbele na maisha yake na watoto wake tu. Hao ndio ndugu zake. Huyo kidampa atarudi tu....!!
 
.. Umenena Neno, Mkuu [emoji120]
 
Siku hizi wanawake ndo hawaeleki kabisaaaa, ukiwa maskini ni shida atadanga na mwishowe utapewa makavu mpaka unyooshe mikono, pia ukiwa tajiri napo shida kwamba eti upo biiize mda mwingi hadi huna mda nae kwa hiyo atasaka shamba-boy au msela tu mwenye mda wake wa kutuliza kiu yake... we fikiria eti mke wa Bill Gate na mke wa Tajiri la Amazon walidai talaka, sasa hapo fedha zina msaada gani kwenye ndoa..!!?
 
Samahani dada, una mdogo wako wa kike aliye single? [emoji4][emoji4]
 

Na hawakosi eti[emoji2960]
 

Nilitaka nimshauri hivi namm[emoji2958]
 

Cjui wakoje et[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…