Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #721
Sio kila uzi unaopandisha unamuhusu muhusika moja kwa moja au kipindi usika.Pacha wakoo... kweli nimeamini uko denial stage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila uzi unaopandisha unamuhusu muhusika moja kwa moja au kipindi usika.Pacha wakoo... kweli nimeamini uko denial stage
Unaonekana wewe ni muhanga.[emoji23][emoji23] akili za kivulana usipoachana nazo zitalugharimu. Wanaume wenzio wanakiri wewe umekaza. Ni huyu huyu mleta mada mwenzenu alikua analeta dharau ndoani pake mpk hali iliyofikia hivi sasa. And seemingly mkeo anateseka sana kama umeoa kwa akili na mawazo kama haya. Kujipa umalaika tu huwa hamjambo. Lawama ziende kwa wababa zetu kwa kutotimiza majukumu yao ndo matokeo yake kama hv
Sure japo kwenye kuoa sitifanya haraka iviSiwezi kuvaa viatu vyako ila maisha hayako hivyo.
Kwa sababu ya mjinga mmoja ndio uchukie wanawake wote? Kula maisha mzee usimpe nafasi binadam mwenzako akutese. Mwache aende na wewe endelea na yako.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwa
Mwanamke alikua ananisema saana kwa jamaaDuuuh!!! Kiburi na ujasiri wa kuropoka hayo yote anakitoa wapi huyu jamaa??? ni mshenzi Sana huyo jamaa!!!!
Wakati na mdate hakua pisi kali inayojua mji ila baada ya kumnonesha ndo ameleta dharauUsihuzunike sana mzeee pisi kali zinahitaji hela kwa maana alifata hela sasa zimeisha inabidi aangalie upande wa pili,hiyo ndo maana halisi ya pisi kali
Yap now am single father ambaye nachukia kitu kinaitwa mke
Nitasubiri wakue kidogoMke ndiye mliyetengeneza naye hao watoto.
Pia unaweza kuhitaji mke mwingine kuwalea vizuri.
Pole Mkuu,
Nimepitia hayo miaka michache iliyopita, awali nilikuwa na hofu ya Maisha yajayo hasa kwa upande wa watoto.
nilikwenda Mahakamani na walinishangaa kwamba mwanaume anaomba kumtaliki mke, sasa niko huru.Na uchumi umefurika mpaka nashangaa kwa nini sikufanya maamuzi haya tangu 2015 huko. Upande wa pili mbali ya kazi ya serikali, biashara na wanaume wa hapa na pale lakini naona yuko hoi!
mchungaji wangu, alisema "hakuna kipindi kigumu kwa mwanadamu kama kutafuta mtu wa kuishi naye kwani waweza chagua rafiki wa maisha yako au msalaba wako"
nyakati hizi za uchumi mgumu, ndoa nazo ni ngumu
Anataka nimpangishie eti hana pakukaa.
Jamaa Hana maisha sema ni vile Mimi Nina majukumu makubwa kifamilia.Hahahahahaha mchepuko hauwezi kumtunza tena? Baadhi ya KE hawa ni wapuuzi sana. Jamaa limeshapiga papuchi vya kutosha sasa linamtema kiaina.
Jamaa Hana maisha sema ni vile Mimi Nina majukumu makubwa kifamilia.
Sasa kipindi yupo kwangu si ilikua mseleleko kwake kwakua mahitaji muhimu yote yaliishia kwangu...
Ila mi naona bado labda ananu act'ia tuu
Hayo sasa yako. Na ni juu yako. Umekosea ila mkeo amechemka sana. Njia alizotumia akiamini anakukomoa anajikomesha mwenyewe. Kurudi najua atarudi tu akiwa hoi. Ameshindwa kuwa mjanja kbs. Kiujumla nachoweza sema hakuna mapenz tena kati yenu. Ulimzingua kwa wakati wako na ye anafanya sasa kwa wakati wake. Kosa moja halihalalaishi kosa lingine. Na wewe usifikiri kukiwasha unakomoa mtu. Kama wanao unawapenda wapende kwa kutoshambulia mbususu ovyo. Itakugharimu zaidi. Kama mama tu hana uchungu wa kulea wanae wewe ukayakwaaa maradhi huko kimebaki nini. Ni hayo tu, haikuhalalishii wewe kuwa malaika.Unaonekana wewe ni muhanga.
Hata ukivuta nyuzi zangu sijawahi kuji mwambafai kumdharau mke wangu so usinichanganyie mambo yako
Kwa hiyo kinyago ulichokichonga mwenyewe kimekushinda?Wakati na mdate hakua pisi kali inayojua mji ila baada ya kumnonesha ndo ameleta dharau
Mungu akujaalie wa kuendana na wewe[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kwa kweli...
Karudi na kibrii.. ila bora amerudi. Niliogopa pia[emoji28]Nafurah sana mtoa mada amerudi[emoji2]
Asante kwa kututia moyo... Haya mambo haya ndio maana wanaume wengi wanawahi kufa.Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Hapana niliamua tufike huku makusudi ili niwe huruKwa hiyo kinyago ulichokichonga mwenyewe kimekushinda?
Hasa sisi wakristo na zaidi mwanamke akijua mumewe ni family man basi utafanyiwa vitimbi balaaAsante kwa kututia moyo... Haya mambo haya ndio maana wanaume wengi wanawahi kufa.