Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Sahihi 100%
 
Yani ni ngumu sana hii hali imepelekea uoga sana wa watu kuoa aisee! Maana mtu unatamani uoe ila kipato hafifu unaona ntaenda kuteswa tu na huyu mwanamke!
Lakini ni hali halisi ya mabadiliko ya maendeleo ya binadamu. Kuna baadhi ya nchi ukizungumzia suala la ndoa watu wanakushangaa wanakuona kama una mambo ya kizamani / kishamba, wao wanachojali ni kupata watoto na kuwalea katika mfumo ambao baba na mama kila mmoja ana maisha yake binafsi hakuna kufuatiliana.
 

[emoji2] Eti kambwa
 
Safi huo ndiyo uanaume msimamo, asije kukupa magonjwa bure tena atulie na mumewe
 
Hao watakuwa wazungu tu hao,ndio wenye mambo ya kipumbavu duniani hapa,hao ndio wanaopeperusha 'rainbow flag'
 
Duh mkuu , ila kuna wanawake ni wastaarabu na wavumilivu kuna mifano nnaijua dada alimvumilia babe wake akiwa hana kitu huku yeye kidogo alikua amepata kazi nakwambia alikua anamsapoti babe wake hadi pale mambo yalipokaa sawa. So ni kweli kuna wasioweza kuvumilia msoto ila pia kuna wenye utu na wavumilivu. Ila huyo x wako mmh si kaolewa huyo wahy anatengeneza mazingira ya kupasha kipolo? Hizi ndoa hizi πŸ˜ͺ
 
Safi huo ndiyo uanaume msimamo, asije kukupa magonjwa bure tena atulie na mumewe
Ndo hvyo..huwa nawaza meng..yaan uskute huko kaukwaa ugonjwa anataka aje anipe mim...na amezaa na huyo jamaa..ana kitumbo flan cha chin..yaan inshort amechuja...yeye kila siku anataka nimtumie picha za mpenz wangu nilienae nasema wew usije niharibia pumbav kabisa...yaan nataka ateseke kwerikweri
 
Anamiss mkito.com huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwa hii story ya dadaako umenishawishi asa ole wako we usiwe kama dadaako nakukimbia mapema tu staki stiress
 
Kwa hapo nimeelewa point yako vizuri mzee baba! Nilikuwa nashindwa connect
 
Kama kweli ni Mkeo wa ndoa uliyepewa na wazazi wake,Mimi naomba Mungu akurejeshee mkeo! Na Mungu ni Mwaminifu atamrejesha tu,huyo ni shetani ambaye ametumia shida yako kukunyanganya mke.
Naomba Mungu avuruge uhusiano wa huyo mkeo na huyo bwana anayetaka kukuchukulia mkeo kuanzia sasa! Wakose amani ya kukaa pamoja mpaka mkeo akumbuke kukurudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…