mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Sahihi 100%Hahahah mzee unapozungumzia kutafta mbususu hamna ambaye hatafuti ila huwezi weka malaya ndani sababu ya kukidhi fantasies zako! Mie sihitaji watoto wakose mama mwenye akili timamu [emoji28][emoji28][emoji28]! Kama hujafikiria kuoa uko sahihi mzee...
Kuna wanawake wa kuoa na malaya wa kuchezea..Learn the differences!!!