Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Kabla hajaolewa alinambia ...yeye skuhiz hapend tena ..yaan hata akipata mtu hawi na ile furaha na kuwa free kama ilivokua zaman enz zetu so anaolewa na jamaa basi tu sabab jamaa anampenda sana na jamaa ni mtu wa kanisan sana...nkasema duh..huwez amin demu kaolewa harus ya kifahar lakin hata kupost harus hapost. Nkamuuliza mbona harus sion kitu anasema wee acha tu nkasema huyu vip?weird
 
Ila kuoa ukiwa na unafuu wa maisha naona ndio risk zaidi bora uoe ukiwa huna hela tu [emoji28][emoji28][emoji28] unajua kweli mnapendana
Siku zote ukiwa huna pesa na ukapendwa na Mwanamke,Basi jua kabisa hilo penzi ni la kweli,na hata akikuletea Mimba wakati uko teeh,ujuwe kabisa hiyo Mimba ni ya kwako kweli! Pesa nayo siyo nzuri sana katika Maisha yetu, maana huweza kukuletea mke fake au marafiki fake! Watu wanataka hiyo pesa yako tu,lakini wwe wala hawakuwihitaji kabisa, ndiyo maana pesa ikikauka na wao hao wanakauka kwako!!
 
Uko sahihi maana sijawahi ona kapuku kabambikiwa mimba ila wenye mihela wanabambikiwaga sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama wewe siyo chanzo cha ndoa kuvunjika, basi mwache aende , muda utaongea
 
Hao watakuwa wazungu tu hao,ndio wenye mambo ya kipumbavu duniani hapa,hao ndio wanaopeperusha 'rainbow flag'
Sio wazungu tu hata sisi nchi zetu hizi ndicho kinachotokea sasa, unaona majadiliano ya vijana wengi hata hapa jamvini wanasema hawana mpango wa kuoa.

Hata katika maisha ya kila siku ndoa zinapungua sana kadiri siku zinavyosogea. Ke wanazalishwa na kutelekezwa
 
Hapo ni kuwa unataka kuwapatanisha wewe mwanamke mpaka anaenda kuishi na mwanaume mwingine bado unaona hapo anahoja ya kukueleza ukaja na conclusion hata ukija kuisikia upande wake? never under the earth
 
Wengi manao mtetea mtoa mada hamjaskiliza upande wa pili.

Cc: mbalizi1, Extrovert, financial services
Upande wa pili wa kazi gani mzee? Jamaa amekiri kuwa alipendekeza matako kama kigezo cha kumuoa huyo mwanamke sasa hapo kuna haja ya mjadala kweli ama hujui tabia za wanawake wenye matako na shepu nzuri zilivyo ukiwa huna kitu?
 
Umeeleweka vilivyo ndugu.

Kuna mwanamke nilimtongoza-ga miaka imepita akanikataa, nilikuja kukutana naye baada ya miaka kibao kupita akanichangamkia pamoja na kuwa alinieleza kuwa ameolewa nilimfumua papuchi vilivyo kiasi akanogewa akawa mtumwa sasa, kila wakati alilazimika kusafiri kuileta siku nikambadilikia hakuamini hadi keshokutwa. Kila akinitafuta analalamika nilimwonjesha nikamuacha wakati bado ana uhitaji
 
Binadamu wa ajabu sana. Malipo ya kumpenda mtu na kumuheshimu inakuwa ni kukukomoa ili hali hujamfanyia baya lolote.
Kaka binaadamu ni kiumbe hatari kuliko hata wanyama wa porini. utamfanyia wema wa kila aina, ila siku mambo yake yakiharibika bado atataka na wewe uharibikiwe. Furaha yake inakua sio yeye mambo yake kukaa sawa ila furaha inakua wewe pia kuharibikiwa. Ukiuliza sababu hakuna majibu.

Mfano familia zetu hizi, pambana na hali yako unavyojua, wao watakusaidia kwa maneno tu "Dah jamaa unapambana kweli, ipo siku mungu atakufungulia we endelea kupambana tu na wala usikate tamaa". Sasa subiri mambo yakae kwenye mstari, mpaka ndugu wanageuka maadui bila sababu, utasikia "Jamaa anaringa sana siku hizi, yani toka mambo yamemkalia sawa haonekaniki na wala simu hapokei, jamaa ana asili ya roho mbaya sana, hata familia yao wana asili ya roho mbaya kuanzia bibi yao na babu yao, kwanza walikuaga wachawi kijijini, subiri mambo yaharibike ndio atakoma".
 
Hahahaha.dih...haina kuremba hyo
 
Mule mule
 
Man, hiyo ng'ombe itajiridisha tu baada ya kuwa used huko iendako, wengi tumepitia mambo kama hizo, kama watoto washafikia miaka 5 kuendelea utatonoa tu, kaza wekeza kwa watoto, huyo nguchiro achana nae, chukulia kama alishafariki tangu mwaka juzi, ukizidiwa tafuta tu pusi ya kuosha rungu kisha endelea na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ