DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Uyu mtoa mada kavuna alichopanda, sioni sababu ya kumtetea.Uko sahihi maana sijawahi ona kapuku kabambikiwa mimba ila wenye mihela wanabambikiwaga sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu mtoa mada kavuna alichopanda, sioni sababu ya kumtetea.Uko sahihi maana sijawahi ona kapuku kabambikiwa mimba ila wenye mihela wanabambikiwaga sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni Mambo ya kisheria kumbuka hajaleta kesi kwako kuamuaPole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Asante team ya makaburini 😅😅😅 kazi nzuri sana! Kumbe huyu mwehu alikuwa anatuinjoy tu humuThis is karma.
Malipo Ni hapa hapa duniani.
Inavoonekana mtoa mada alipokua na hela alkua kiboroDinda.
Sasa pesa zimekwisha,
Michepuko imemkimbia na nyumban huduma inasua sua.
Afu mwanamke MWENYEWE Ni pisi Kali, wahuni wamempandia Dau.
Na inavoonekana mtoa mada alipokua na pesa alkua na tabia kuwagongea wanaume wenzake Anaofahamiana nao madem wao.
Sasa na yeye pesa zilipokwisha, sahivi wanamgongea MKE wake, na maneno ya shombo wanamrushia.
Cc: mbalizi1, Rohombaya, mtimawachi, Hornet miss pablo cariha, onlyalvira, BAK, HARUFU, Extrovert, cocastic, Mshana Jr, View attachment 1827370View attachment 1827371
Nimeona mazingira yake kumbe alikuwa mshenzi tu kwa mkewe 😅😅😅Uyu mtoa mada kavuna alichopanda, sioni sababu ya kumtetea.
Uko upande upi mtani[emoji23][emoji23]Imekula kwake kibwengo huyu
Jamaa ni mwanaume mwenzetu ila alifeli sana kwenye ndoa yake.Upande wa pili wa kazi gani mzee? Jamaa amekiri kuwa alipendekeza matako kama kigezo cha kumuoa huyo mwanamke sasa hapo kuna haja ya mjadala kweli ama hujui tabia za wanawake wenye matako na shepu nzuri zilivyo ukiwa huna kitu?
Mi hata sielewi ila mtoa mada ni shwaini tu kumbe alifanya uhuni bana hata simtetei ye avune alichopanda 😅😅😅Uko upande upi mtani[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Asante team ya makaburini [emoji28][emoji28][emoji28] kazi nzuri sana! Kumbe huyu mwehu alikuwa anatuinjoy tu humu
Hahahah atakula alipopeleka mboga hivi huu umalaya sijui watu wanahangaikaga nn wakati mtu ana mke mzuri 😅😅😅Jamaa ni mwanaume mwenzetu ila alifeli sana kwenye ndoa yake.
Matatizo yote kayasababisha yeye, asitafute huruma humu.
Aibu niliona mimi yani 😅😅😅[emoji23][emoji23]
Ogopa sana Mungu na Teknolojia.
R.I.P. Ruge
Umeongea ukweli mtupu. Pamoja na kumuumiza niliyenaye japo ana mapungufu, lakini ananipiga tafu kipindi hiki kigumu.Unajua ninasomaga threads za wanaume wengi humu naishiaga kucheka sana?[emoji23][emoji23]
Majority wanachoandikaga huku si uhalisia. Wnaaishi maisha tofauti sana. Wanyanyasaji sana. Opportunists, wachepukaji wakubwa. Wengine hupata support kwa partners wao ila dharau zimewajaa mpaka makalioni. Sisi wanawake huwa tuu wavumilivu sana. Unakua na mtu, unampenda kwa dhati sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila na wewe si unapita mule mule kama jamaa? Si na wewe unasasambua sana mbususu ama?[emoji23][emoji23] muda wako waja pia maaninaaa zenu. Dawa tuwe na pesa tuu tuwaoeMi hata sielewi ila mtoa mada ni shwaini tu kumbe alifanya uhuni bana hata simtetei ye avune alichopanda [emoji28][emoji28][emoji28]
Sio wa kuonea huruma uyu,Mzee wa kufukua makaburi arooo, kumbe naye ni mchepukaji aroooo, pumbavuuuu zake
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wamefukua makaburi hukoMi hata sielewi ila mtoa mada ni shwaini tu kumbe alifanya uhuni bana hata simtetei ye avune alichopanda [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23] ubaya zaidi ana kibamiaaaaaaaaaa. Na mbinu za kivita anazijua. Chepuko la kimataifa likafanya yakee[emoji23][emoji23]Aibu niliona mimi yani [emoji28][emoji28][emoji28]
Uyu jamaa kufulia inawezekana ni kweli kafulia,Mara nyingi mabinti wa style iyo huwa wanaenda kuangukia pabaya na kupelekea kuachika.. ..mke/mchumba wako unampiga chini alafu unakimbilia kuolewa na mtu mwingine kisa eti umefulia n.k! Uliemwacha huenda akawa ni bora zaidi ya uyo unaemfuata/unaeolewa nae.
Hahahah kiba100 ni msala aisee! Kisha akaamua achepuke dah 😅😅😅[emoji23][emoji23] ubaya zaidi ana kibamiaaaaaaaaaa. Na mbinu za kivita anazijua. Chepuko la kimataifa likafanya yakee[emoji23][emoji23]
Nachosemaga..
UKIPENDWA PENDEKAAA
Wanaume tutulie na ndoa zetu.mkuu utamuua, inatosha hahahah, daah ila karma ni balaa, nitatulia na ndoa yangu siku zote
Kwani mkuu wewe ndo umekamilika? Tatizo lenu ndugu zangu huwa mumejipa ukamilifu sana. Sisi kupewa mioyo ya uvumilivu isiwape upofu. Tunaumiaga sana. Tunainvest kwenu ila nyie munahamisha.Umeongea ukweli mtupu. Pamoja na kumuumiza niliyenaye japo ana mapungufu, lakini ananipiga tafu kipindi hiki kigumu.
Wanawake mna mioyo ya huruma sana
Ni kweli mke wake hajatumia approach nzuri kulimaliza hili.Unajua ninasomaga threads za wanaume wengi humu naishiaga kucheka sana?[emoji23][emoji23]
Majority wanachoandikaga huku si uhalisia. Wnaaishi maisha tofauti sana. Wanyanyasaji sana. Opportunists, wachepukaji wakubwa. Wengine hupata support kwa partners wao ila dharau zimewajaa mpaka makalioni. Sisi wanawake huwa tuu wavumilivu sana. Unakua na mtu, unampenda kwa dhati