vitakuja vyama vyote afrika hii unavovijua ila ccm kutoka ni ngumu mno! infact ni chama cha 10 duniani kina mchango mkubwa sana kwenye siasa za afrika, kama unasubiria kitoke aisee we andaa tu sehem ya kuzikwaBasi usiwe na shaka kwanini uwe mtu wa kupinga mabadiliko?
Kama hujaiba una wasiwasi gani?
Tanzania sio lazima iongozwe na CCM acha nature ifanye kazi yake kama muda wa mabadiliko umefika hakuna kitakachozuia nimekuwekea hapo clip ya Gadaffi aliyewaita watu wake panya maana hata majuzi watanzania waliitwa kenge.
Then whatmzee ccm ni dude lingine, KANU walizingua wao wenyewe ila ccm ni lidude likubwa kutoka sio leo wala kesho, and unaweza cheki list ya vyama vyenye nguvu duniani ccm ipo apo #10
"Dude lingine" bila jeshi?
It is a gun that carries power, and not some green uniforms or t-shirts.
The earlier you understand this, the better.
Kuna aina mbili za Revolutions.Military intervention haifanyiki kwa style hii. Hata Ibrahim Traore angetumia style hii asingeweza kuikomboa Burkina Faso!
you have to make peace with reality, akuna mtu anaweza kuitoa ccm madarakani or else utakua depressed kila skuThen what
EEEeeeeHHHEEEeeeh!Kasema ukweli na uwazi utaponya, sasa mbona unaficha ukweli huo? kauli ipi?
NNi mwanzo.Military intervention haifanyiki kwa style hii. Hata Ibrahim Traore angetumia style hii asingeweza kuikomboa Burkina Faso!
Akili za namna hii zinawahusu waovu pekee wanaofaidika na hilo jina la chama ambacho wamekiteka.you have to make peace with reality, akuna mtu anaweza kuitoa ccm madarakani or else utakua depressed kila sku
ZakeHuyu Tesha kwani sare kazipata wapi za JWTZ?
the earlier the betterAkili za namna hii zinawahusu waovu pekee wanaofaidika na hilo jina la chama ambacho wamekiteka.
fanya kaziFala kweli ww inaoesha familia yako iko kwenye mrija wa ccm
Hivi hawa walikuwa wanadai nini? Walikuwa wanataka mapinduzi kwa ajili gani?Huyo mjeshi ni kiazi sana kuja kwenye media, wangepanga kimya kimya
Walikuwepo wenzake waliojielewa sema mweNzao alilewa na kuvuruga mishe yote mwaka 1983..
- Lieutenant Eugene Maganga
- Captain Suleiman Metusela Kamando,
- Captain Zakaria Hans Pope ,
- Captain Vitalis Gabriel Mapunda,
- Captain Dietrich Oswald Mbogolo,
- Lieutenant Kajaja Badru Rwechungura,
- Captain Hatty McGhee
- Capteni Mohammed Tamim
Unazo dalili za kuvurugika tumbo na kuanza kuharisha. HHuu ni mwanzo tu.the earlier the better
Atatiwa misukosuko sana. Haya mambo yanahitaji mtu uwe very, very careful. Recklessness inaweza kukugharimu sana!EEEeeeeHHHEEEeeeh!
Haya ni maajabu ya waTanzania! Hebu fikiria, mkuu 'TUJITEGEMEE',
NNi mwanzo.
Hata wanaosemwa kuwa "wajinga/wapumbavu" wakiyasikia haya na wao wataanza kuchemsha akili zao.
Siyo lazima yawe mapinduzi ya kijeshi.
Kwa wale tulioshi maisha ya kumuona baba yako amevaa nguo zina viraka na kila siku unamsindikiza kwenye duka la kaya kusubiria unga wa yanga tulijua hao vijana kwanini walijitoa mhanga.....Hivi hawa walikuwa wanadai nini? Walikuwa wanataka mapinduzi kwa ajili gani?