Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Swali la PUTIN linajibika

Kwanza aomdoe waislamu wakweli, kwani wao wametumia njia hiyo kwamba urusi asingekuwa makini na ugaidi kwasababu ya mfungo wa ramadhani
 
Putiin ni mzungu anataka kuwajua hao wazungu waliowanunua Waislam kifanya ugaidi Urusi hapo ndiyo patamu kasema wazi hao waliowatuma atafanya adabu ya wazi na dunia itasikitika 😂
Anapiga mikelele tu

Wanaume wameingia Moscow na kumtenda kama alivyofanya Hamza pale pale Osama bin laden alipoulipua Ubalozi wa USA
 
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Hilo kundi la ISIS ni mali ya US kwa hivyo kwa kutumia pesa hashindwi kuwatuma popote anapotaka.
Ndio maana US huwa na ripoti za eneo alipowatuma kabla hata tukio halijatokea.
Urusi hata akisema waliotekeleza wana majina na asili za kiislamu lawama zake zote ni kwa wale waliowatuma na ndio anaoshughulika nao.
 
Wamiliki, walezi na wafadhili wa ISIS wanajulikana, ni Iran
 
Hilo kundi la ISIS ni mali ya US kwa hivyo kwa kutumia pesa hashindwi kuwatuma popote anapotaka.
Ndio maana US huwa na ripoti za eneo alipowatuma kabla hata tukio halijatokea.
Urusi hata akisema waliotekeleza wana majina na asili za kiislamu lawama zake zote ni kwa wale waliowatuma na ndio anaoshughulika nao.

Hilo kundi la ISIS ni magaidi wa dini ya kiislamu, hufuata maagizo ya mtume wenu kuchinja kila siye wa dini hiyo, mtaendelea kukataa ila tunashuhudia wenyewe jinsi uislamu ni ugaidi unaokera dunia.
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
 
Putin aendelee kupiga palepale kwenye ugoko wa ukraine
 
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Mkuu
Vita huwa ina matokeo ya kushangaza na kuogofya.

Hizi shughuli za kutumia silaha wanazofanya zinahatarisha maisha ya wengi hata sisi huku.

Ni afadhali tukahubiri amani
 
Atandikwe tu Ukraine mpaka ashike adabu,ameshirikiana nayo magaidi au ajashirikiana nayo magaidi atiwe adabu mpaka atambue kuwa Russia ni kaka mkubwa.
 
Putin alisoma apa ndio maana anashangaa kashambuliwa na waislamu kipindi Cha ramadhani

Koran 9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia...

Alwaz
 
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Fala tuu huyo ,wamemkomesha baada ya kuona Yuko busy na Ukraine.

Pili USA alimuonya akajifanya ana intelijensia Kali ,Kiko wapi Sasa 🤪🤪
 
Mkuu
Vita huwa ina matokeo ya kushangaza na kuogofya.

Hizi shughuli za kutumia silaha wanazofanya zinahatarisha maisha ya wengi hata sisi huku.

Ni afadhali tukahubiri amani

Tunahubiri amani ila kunao wanaendeshwa na mahubiri ya chuki kwenye dini yao

Back
Top Bottom