kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Anapiga mikelele tuPutiin ni mzungu anataka kuwajua hao wazungu waliowanunua Waislam kifanya ugaidi Urusi hapo ndiyo patamu kasema wazi hao waliowatuma atafanya adabu ya wazi na dunia itasikitika 😂
Hilo kundi la ISIS ni mali ya US kwa hivyo kwa kutumia pesa hashindwi kuwatuma popote anapotaka.Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================
Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.
Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Putin says ‘radical Islamists’ behind Moscow concert hall attack
Russian leader also suggests Ukraine is somehow involved in the attack without providing any evidence.www.aljazeera.com
Wanasemaga hivi:-Uisilamu siyo ugaidi, ila ugaidi hufanywa na Waislamu!
Hadharani wanalalamika chumbani wanajifunza namna Israel wanavowatia Adabu HamasTaratibu atamuelewa Netanyahu anavyopambana na ugaidi kule Gaza
Wamiliki, walezi na wafadhili wa ISIS wanajulikana, ni IranHilo kundi la ISIS ni mali ya US kwa hivyo kwa kutumia pesa hashindwi kuwatuma popote anapotaka.
Ndio maana US huwa na ripoti za eneo alipowatuma kabla hata tukio halijatokea.
Urusi hata akisema waliotekeleza wana majina na asili za kiislamu lawama zake zote ni kwa wale waliowatuma na ndio anaoshughulika nao.
Mafundisho ya kiislam ni ya kigaidi, why umlazimishe mtu kuwa na imani yako akikataa umuuwePutiin ni mzungu anataka kuwajua hao wazungu waliowanunua Waislam kifanya ugaidi Urusi hapo ndiyo patamu kasema wazi hao waliowatuma atafanya adabu ya wazi na dunia itasikitika 😂
Ni kweli na inajulikana wazi kuwa hiyo dini ya mudi ilianzishwa na RC.. Ila kwa sasa jikite kwenye madaSi ajabu historia inaonesha kwamba kuna uhusiano wa karibu kati ya Ukatoliki na Uislamu. Kimsingi, Uislamu ni zao la Ukatoliki!
Kwani yeye Netanyahu si gaidi? he is the oneTaratibu atamuelewa Netanyahu anavyopambana na ugaidi kule Gaza
Hahahahaaaa we jamaaa wewe kahNdiyo inavyokuwa hivyo.
"Usitie, usitie."
Halafu "Tia, lakini tia kichwa tu".
Halafu "Weka yoote, nipe yooote".
Atakubali ukweli tu muda ukifika.
Hilo kundi la ISIS ni mali ya US kwa hivyo kwa kutumia pesa hashindwi kuwatuma popote anapotaka.
Ndio maana US huwa na ripoti za eneo alipowatuma kabla hata tukio halijatokea.
Urusi hata akisema waliotekeleza wana majina na asili za kiislamu lawama zake zote ni kwa wale waliowatuma na ndio anaoshughulika nao.
MkuuJapo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================
Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.
Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Putin says ‘radical Islamists’ behind Moscow concert hall attack
Russian leader also suggests Ukraine is somehow involved in the attack without providing any evidence.www.aljazeera.com
Fala tuu huyo ,wamemkomesha baada ya kuona Yuko busy na Ukraine.Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================
Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.
Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Putin says ‘radical Islamists’ behind Moscow concert hall attack
Russian leader also suggests Ukraine is somehow involved in the attack without providing any evidence.www.aljazeera.com
Mkuu
Vita huwa ina matokeo ya kushangaza na kuogofya.
Hizi shughuli za kutumia silaha wanazofanya zinahatarisha maisha ya wengi hata sisi huku.
Ni afadhali tukahubiri amani
Yani na wewe ndio hovyo kabisa dunia nzima imemgeuka na kumdharau wewe ndio unasema watamuelewa acha ushabiki maandaziTaratibu atamuelewa Netanyahu anavyopambana na ugaidi kule Gaza