Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

We ndina unapambana kupotosha
 

Attachments

  • Screenshot_20240326-182554~2.png
    235.6 KB · Views: 3
Lengo la Hamas ni kufuta dola ya Israeli
Hapana haipo hivyo hata wazungu hao wamarekani wanajua nani mkorofi sema tu ndio maswala ya interest check comments za wamarekani leo baada ya hezbollah kurusha makombora israel
 

Attachments

  • Screenshot_20240326-175303_Facebook.jpg
    376.8 KB · Views: 3
Ni sawa tu,maana adui wa adui yangu atakuwa tu rafiki yangu.
 
Mzee wa fake newz.FSB wanasema wahusika ni Marekani, uingereza na Ukraine.
 
Hao jamaa wameandaliwa na Ukraine na wenzake kinachofuatua zelisky na wenzake kuliwa vichwa.
 
Mtoa mada una tatizo kubwa sana la chuki na waislamu. Sipati picha unaishi vipi na jamii hii huko uliko.
Mbaya zaidi ulikalilishwa chuki vibaya na kamwe huwezi kujifunza ingawa una mengi ya kujifunza
Ana chuki na uislam,ila hajawahi kushika bunduki kumuua muislam, anaishi nao poa kabisa,na hujawahi kupata malalamiko yoyote juu yake kuwatisha,kuwatweza,au kuwaua waislam,muulize anawezaje kuishi na watu ambao kutwa kucha wanamtisha,wanamtweza kwa kumuita kafir,na wapo tayari kumuua in any given chance? Kuna u islam,na kuna waislam kama mimi,na kuna wahalifu wanaoutumia uislam kwa manufaa yao tu,think big.
 
Ila imani hizi dah!!!

Unajua unaweza mtu ukajiuliza haya yaliandikwa mwandishi akiwa ktk hali gani,mlevi,depressed au alikuwa sadist?lengo aliwalenga watu wa dunia gani?au alitegemea watakaoyasoma watakuwa na upande wao wa kuishi tofauti na wasioyasoma?

NB;lengo siyo kudharau imani za watu,nimejaribu kuwaza kwa sauti tu.
 
Usimpangie Putin cha kufanya yeye anaanzia magaidi walipokuwa wanakimbilia baada ya tukio wamenasa mawasiliano muacheni Putin afanye kazi yake.
Kazi ameshaifanya na amegundua islamic state ndiyo waliohusika,islamic state wamekiri kuhusika,unataka nini tena?
 
Kazi ameshaifanya na amegundua islamic state ndiyo waliohusika,islamic state wamekiri kuhusika,unataka nini tena?
Acheni habari za uongo.hawa FSB wameshafanya uchunguzi na kujua hao magaidi ni kina nani
 
Umejichanganya, ni wapi kwenye quote yako imesema "wakiwapinga waueni? Badala yake inasema wakiwakataa ONDOKENI, waislam wanafanya hivyo? Sasa hivi vikundi kama IS,AL-SHABAAB,HAMAS nk vinataka nini?
 
Yani na wewe ndio hovyo kabisa dunia nzima imemgeuka na kumdharau wewe ndio unasema watamuelewa acha ushabiki maandazi
Dunia nzima ipi mazee? Ni vinchi vi 4 au vitano tu ndiyo vime sign pertition agaist israel, hivi kwa nini egypt alikataa kuwapokea wakimbizi kutoka palestine?
 
Russia majeshi ya nchi mbili yanapigana, huku israel anapambana na raia wasiokuwa na silaha ambao wanadhulumiwa haki yao ya kujitawala kwa zaidi ya 75 years huku dunia ikikaa kimya
Kwa nini dunia imekaa kimya?jiulize
 
Dunia nzima ipi mazee? Ni vinchi vi 4 au vitano tu ndiyo vime sign pertition agaist israel, hivi kwa nini egypt alikataa kuwapokea wakimbizi kutoka palestine?
dont talk about petition viongozi na wananchi wa mataifa yote makubwa hadi bwana trump kalaani vita hivi vya israel , nimekuwekea hapo chini comments za wamarekani wakiwashangaa israel na hizo habari za nchi tulipewa na mungu ni upuuzi ambao wajinga kama wa huku africq ndio wanasupport upumbavu huu
 
Umejichanganya, ni wapi kwenye quote yako imesema "wakiwapinga waueni? Badala yake inasema wakiwakataa ONDOKENI, waislam wanafanya hivyo? Sasa hivi vikundi kama IS,AL-SHABAAB,HAMAS nk vinataka nini?
Dah! Iwapo maandishi rahisi tu yamekushinda kuelewa, hakika Tanzania tuna safari ndefu sana kama taifa.

Anyways, namshukuru sana Dkt. Sa100 kwa ajili ya komenti yako.
 
wewe ni mpuuz , unaambiwa kuhusu waislamu kuchinja watu na sio ushawishi wa dini , hata ukatoliki usingekwepo ushawishi wa dini nyingibe ungekwepo tu kwenye hii dunia ingawaje ni mtumishi ila sijawai pangiwa na Papa kwenye majukumu yetu , elezea dini gan nyingine inaua zaid ya waislam I.e Alshabab , Boko Haram , ISIS , Adf , IS Central Africa , Al Ansar , Hamas , Al Qaida , Houth , Janjaweed , Seleka , Hizbollah etc

HUU UTUMBO WAKO NI SW NA KUSEMA UNALAZIMISHWA KUVAA KANZU
 
Ukraine anahusika na lazima alipe gharama za kujihusisha katika mpango huo na mshirika wake wa upinde 🌈
 
Unastaajabu mtoto wenu wenyewe kutenda ujangili?

Malezi yenu na makuzi yenu ndiyo hayo. Kajifunzia kwa mzazi wake Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…