Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

1.) Vaccine au Anti-viral, ni ya Corona hiyo ndio hoja, ya Corona.

2.)Nimepost package aunthentic kama ilivyo, sijasema wala kutaka kuaminisha zaidi ya kile kilichooneshwa kwenye package.

3.) Hapa ndio penyewe, ni kigezo gani kimetumika kutoa ufadhili kwa nchi za AU zenye watu wenye ngozi nyeusi pekee? Mfano why South Africa ipo na Libya haipo? Au hao waarabu hawapo AU?
 
hii video imefichua kwamba ni kawaida ya hao wazungu kuleta chanjo za majaribio huku Afrika halafu wanawapa watu wao chanjo hewa,
Kawaida ya kina nani? Hvi umewahi fanya tafiti? Kuna kipengele kinaitwa generalisation!! Huwezi tumia case study moja kugeneralise topic nzima. Hyo ni error kubwa sana

Ssa ww unatumia mfano wa taasisi za vichochoroni kugeneralise kwamba mainstream health institutions kma CDC-Us ndio wanafanya huo uchafu? Hii ni mis information unayoleta nashangaa TCRA hawafiki huku.
 
Ndugu yangu, hao ni scientist nguli huko Ulaya, na ndio wamekuwa wakisimamia hizo tafiti, na wamesuggest kwamba kifanyike kile ambacho wamekuwa wakifanya, sasa sijui unatakaje. Au lugha iliyotumika ndio shida?
 
Huo msaafu ni upi?
 
1. Kwenye sheria ukishasema hii ni konyagi... Ikionekana ni maji huwezi sema eti zote ni jamii moja kisa rangi!! Kubali kwamna caption imepotosha kwamba chanjo zimeletwa kwa ajili ya Africa hapana ni Anti Virus yaani kwa mgonjwa tu tena wa level ya mwisho!!! Ikimaanisha waafrika 0.00002% ndio wako eligible kuitumia.

2. Package ni authentic ndio ila hujapost na package ya same dawa inayopelekwa Canada. Kuna heading nliwahi kusoma inadai mchezaji kafungiwa kisa kunyoa mywele..... Mie nkafungua link kumbe kafungiwa sababu ya kunyoa nywele kwenye eneo ambalo kuna strict lockdown rules!! Yaani unatoa habari biased ilo kupotosha. Kwanni usingesema kwa caption kwamba hii ni batch ya Africa ila zipo za kuelekea kwingine?

3. Kma ww umesoma takwimu za WITS au world bank mara kibao reference ya GDP ni sub sahara na north africs ziko treated tofauti. Same to takwimu za ukimwi na uchumi...... Hta umaskini ikipihwa average ni sub sahara kivyake na North kivyake hili kwa mtu yeyote ambaye ni mchambuzi wa ripoti analielewa. Kwahiyo sio hoja unless ungehoji kwanni takwimu zimebagua sub sahara ila sio kuibua hapa kwamba tumetengwa. Still unarudia kosa lile lile
 
Ndugu yangu, hao ni scientist nguli huko Ulaya, na ndio wamekuwa wakisimamia hizo tafiti, na wamesuggest kwamba kifanyike kile ambacho wamekuwa wakifanya, sasa sijui unatakaje. Au lugha iliyotumika ndio shida?
Scientist nguli kivipi? Niambie wapo taasisi gani alafu tugoogle market share yao!! Yaani leo AZAKI ikitoa tafiti ndio msimamo wa nchi nzima?

Kuhusu lugha mbona unakimbilia huko..... Kma unajiamini I challenge you tu-debate hii mada kwa kiingereza mwanzo mwisho ili tuone kma lugha ni changamoto kwa nani haswa!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Comrade kuna tatizo kwenye hii lugha yetu, msahafu ni kitabu kitakatifu, so hapo hakijatajwa either ni Biblia au Quran so tuwe wapole.
So ndio nimeshangaa watu walivyokuwa Wana react .. Bila Shaka hawajui maana ya msahafu ninini!!?
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Taratibu za kidini haziruhusu sababu jamaa kaolewa na mwanaume mwenzake then wanashika Quran haina hata taswira njema
Kuapa kwa kitabu cha dini ni takwa la kisheria, quran au bible hiyo ni imani Ya muapaji. Sasa kama ni mkosaji kwa dini yake, hayo serikali haiwahusu, ni kati yake na Mungu wake. Ni kama vile tu muislam yeyote akitaka kuapa haulizwi kama ameoga janaba au Hapimwi pombe[ambayo ni makatazo kwa kushika quran].
 
Boss mbona upo upande wa gays boss au na wewe sio jinsia yetu huwa hatuhukumu ila lazima uwe na msimamo
 
1.) Nimeshakueleza, na narudia, ni ya Corona, be it Vaccine au Anti-Viral drug, ni ya Corona. Lengo kuu lilikuwa ni kuonyesha discrepancies katika ugawaji wa hizo zana (vaccine/ anti-virals) kwa watu wa Afrika wenye ngozi nyeusi.

2.) Hiyo package ya hiyo dawa ya kupelekwa Canada wewe ndio upost kama unadhani ipo au umewahi kuiona, ila nimepost package authentic kama ilivyo, na si feki.

3.) Kama Criteria ni kuwapa Subsahara na kuwaengua North Africa, nitakuuliza, kati ya Mali na Libya ipi ipo North na ipi ni Subsahara (South of the Sahara) , na kwanini?.(Rejea ramani ya sahara desert). Pia, uchumi wa South Africa na Libya upi upo juu, na upi unastahili ufadhili?



 
Haha. Mwanafunzi anamkosoa mwalimu wake!

Mijitu nyumbu nyumbu hii, wao kila kitu wanabugia tu.

Hawajui hata chimbuko na dhima ya hizi dini za kikoloni. Wao ni kumeza tu!

Ooohh ati shoga hapaswi kuapa kwa Quran na biblia! Anaandika kwa mamlaka kama ka-mungu fulani kalichosimikwa na kutawazwa!

Huko Tanganyika Rais anaweza kuamrisha MAMIA ya wanaoandamana WAUWAWE kwa risasi, halafu kesho yake anashika biblia anaapa tena kwa bashasha kabisa!

Ni unafiki ulioje WAUWAJI wanaweza kuapa kwa biblia huku wanatabasamu na kupigiwa makofi, lakini huyu mzungu anayeishi maisha yake anaambiwa ati hapaswi kushika biblia!

Kama dini zinawajaza watu utaahira wa aina hii, basi kwa hakika zinapaswa kufutiliwa mbali na kuwa legislated as a criminal offense.

Hizi biblia na Quran ni chanzo cha GHASIA na UWENDAWAZIMU katika jamii! Zinawafanya watu kuwehuka na kupoteza fahamu.
 
Boss mbona upo upande wa gays boss au na wewe sio jinsia yetu huwa hatuhukumu ila lazima uwe na msimamo
hahaha, mimi navutiwa na wanawake tu. Vipi wewe upo upande wa wanaoruhusu utumwa na kuoa mabinti wa miaka 9.

Msimamo wangu ni kuwa mambo ya imani ya mtu binafsi so long hayathiri maisha ya wengine, hiyo ni juu yake na Mungu wake.
 
Walichosema ni kwamba, kifanyike kile ambacho wamekuwa wakifanya, na hao ni prominent scientists katika moja ya vituo vya utafiti huko ufaransa, na ndio wamekuwa wakiendesha na kisimamia baadhi ya hizo tafiti ambazo walifanya huko nyuma, sasa kama wao ndio walikuwa wakifanya hicho kitu, na wamefanya rejea katika televisheni wakijadili na kushauriana wafanye kama ambavyo wamekuwa wakifanya katika tafiti za HIV, unahitaji nini tena? Maana lugha kumbe sio tatizo..., je, huna bundle la kuangalia hiyo video?
 
hahaha, mimi navutiwa na wanawake tu. Vipi wewe upo upande wa wanaoruhusu utumwa na kuoa mabinti wa miaka 9.

Msimamo wangu ni kuwa mambo ya imani ya mtu binafsi so long hayathiri maisha ya wengine, hiyo ni juu yake na Mungu wake.
Mimi ni mkristo kwanza issue ni kuhusu mtu kuwa gay na kujihusha na maneno ya Mungu hii HAIKUBALIKI
 
Mimi ni mkristo kwanza issue ni kuhusu mtu kuwa gay na kujihusha na maneno ya Mungu hii HAIKUBALIKI
Kwa hiyo waasherati, wazinzi, walevi, wafitini, waongo, wachawi n.k wao ndio wanahaki ya kujishughulisha na Mungu? If, so huyo Yesu [unayemuamini] hata sijui kama unajua kuwa alikuja kwa ajili gani.

unanifanya niamini kuwa washika ndio most inhuman people. Mtazamo wako huu, napata shida kukutofautisha na wanazi au boko kharam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…